Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Habari wana jamii,hongereni kwa kuweza kuvuka mwaka salama. Nina rafiki yangu wa kike anafanya kazi jijini Dodoma ameolewa na jamaa mmoja wa mkoani Mara, mahusiano yao yalikuwa good sana mwanzoni...
11 Reactions
46 Replies
2K Views
Hope wote ni wazima wa afya. Wakuu Leo siku ya kumi na Moja Toka nianze kutumia pep TLD hii nikutokana nilikula pis moja iv bermaid ambayo machale yalinicheza kuwa ina weza kuwa ina moto. Baada...
23 Reactions
90 Replies
5K Views
Nitakufa kwa mawazo, Mimi ni kijana wa miaka 31 nipo single, nimepanga nyumba ya Uani, nyumba kubwa kapanga kaka mmoja ana mke na Mtoto mmoja, kwahiyo tupo wapangaji wawil tu tunaish DSM. Huyu...
30 Reactions
158 Replies
12K Views
Habari wana jf, Mimi ni binti wa miaka 26 na nipo kwenye mahusiano na Tunatarajia ndoa ila Ukweni wanaweka pingamizi sana na sijawahi fanya chochote kibaya na wala sina mazoe na wakwe zangu ila...
9 Reactions
71 Replies
4K Views
Hili jambo halija kaa sawa, Inakuaje mtu anakuja na mtu (mpenzi) nyumbani kumtambulisha, direct anasema huyu ndie mwenza nitakae kua nae Hii ipo sawa??, kumpeleka mchumba nyumbani ni kwenda...
2 Reactions
11 Replies
400 Views
Kama kuna kitu cha kifedhuli ni kubomolewa n'nya kwa ahadi ya kuolewa. Ni bora ubomolewe n'nya ukiwa unatambua kuwa unafanya ufuska, kuliko kulaghaiwa ati utaolewa. Wanaume hawaridhiki wala...
33 Reactions
188 Replies
9K Views
Habari wana JamiiForums, Mimi ni mwanamke nimeolewa ila mume wangu hataki kunihudumia tendo la ndoa, hataki kukaa karibu na mimi anaishi wilaya nyingine, lakini anajifanya Mchungaji huku anakaa...
11 Reactions
215 Replies
32K Views
Umeniita somewhere kula lunch au vinywaji na shosti yangu, msiri wangu anaomba anipe kampani siwezi kumkatalia. Na mwanaume kuniita lunch au vinywaji ina maana upo vizuri kipesa so si mbaya...
25 Reactions
157 Replies
7K Views
Habari zenu Wakuu, Nimekuwa nikiona nyuzi tofauti zikimuongelea Mwanamke kama mtu mwenye uhitaji na mwenye haki ya kutimiziwa kila analotaka kutoka kwa Mwanaume. Mabandiko ni mengi sana eg...
21 Reactions
41 Replies
2K Views
Habari zenu wadau? Nini kinasababisha baadhi ya wanawake kuwa na maji ukeni yaani wakati wa mgegedo, unasikia pacha pacha ukiwa unapeleka moto unakuwa kama unatwanga kisamvu. Siko hapa...
12 Reactions
126 Replies
33K Views
Habari za wakati huu wakuu. Katika pita pita zangu kama mwanaume ambae bado sijaoa , nimejipata matatani kwa bi dada mmoja ambae nimekuja kujua baadae kua mke wa mtu . Huyu dada kabla sijajua...
4 Reactions
60 Replies
4K Views
Nyakati hizi demu anakwambia eti "me sijiuzi ila kama hunipi hela nakupaje penzi sasa?[emoji3] That means bila kumpa hela mapenzi hayapo kabisa alafu demu huyo huyo anakwambia hajiuzi. Sasa...
13 Reactions
78 Replies
3K Views
acheni kutoa siri zenu za unyumba,mnaharibu ndoa zenu,hasa wanawake mlioolewa,inakuwaje unamwambia shoga yako hadi urefu wa uume wa mmeo?staili za mumeo zote unatoa,udhaifu wa mmeo zote...
5 Reactions
91 Replies
4K Views
Nadhani kichwa cha uzi kinajitoshereza! Mimi sio mkware! Hila mvua ikinyesha na nikawa na hali ya ka ubaridi! Halloooo! Usipime!
1 Reactions
17 Replies
783 Views
Wakuu Huyu demu anajaribu kunishawishi kuwa ananipenda, lakini kwakweli ana sura ya baba. Mlio na uzeofu na hawa ugly girls nipeni muongozo.
8 Reactions
58 Replies
2K Views
Ndugu zangu wa kiume hivi ni kwangu mimi tu au na nyinyi inawakuta manaa dah nina mpenzi japo sina uhakika kama ni wangu kweli ila nisipompa pesa naona kabisa uchangamfu wake kwangu unapungua...
16 Reactions
108 Replies
8K Views
Nimepata mchumba toka Missenyi, Kagera. Na kesho naanza safari kuelekea huko. Maombi yenu! Japo Shemeji zangu inaonekana Mashauzi Sana. Napewa yote
11 Reactions
145 Replies
13K Views
Based on true events _ Hbr ya X mass members? nina imani tuko poa Alhamdu lilah Mungu ni mwema, kuna kisa kidogo ambacho kimewahi kunitokea katika jiji hili. Sikumbuki tarehe,wala mwezi najua...
23 Reactions
285 Replies
40K Views
Hii kasumba in mlongo sasa hapa tanzania Mtu ambae hajaoa anaonekana muhuni. Mtu ambae hajaoa haaminiki. Mtu ambae hajaoa anaonekana hana akili. Mtu ambae hajaoa anaonekana mtoto. Mtu ambae...
2 Reactions
10 Replies
677 Views
Mimi ni mwenyeji kidogo JF,nakumbuka enzi hizo nauliza maswali yakijinga (hili nimekuja kulijua baadae) mpaka sasa nimekua mtu mzima kidogo kuna mambo nimeyafaham na nimeona ni muhimu kuwajuza...
12 Reactions
16 Replies
1K Views
Back
Top Bottom