Kuna maoni mseto katika kila kigezo.
Uzuri unaweza kutoweka kwa magonjwa ama ajali.
Akili inaweza isifanye kazi kutokana na mazingira na jiografia ya eneo anapoolewa.
Kipato chake kinaweza...
Inakuwaje wakuu,
Hii hali inanisumbua sana nashindwa kumsahau huyu mwanamke niliyekuwa napendana naye kipindi nipo o level. Tulishaachana na yeye alishapata mtu mwingine. Imepita takribani miaka...
Yaani hii tabia iliyoibuka ya wadada kuacha maziwa yananing'inia, inatuweka wanaume mahala pagumu sana.
Mimi nadhani kwa upande wangu makalio yalikuwa hayanisumbui sana lakini hili suala la boobs...
Leo ni mara ya nne nakunywa smart gin naona kama nakunywa maji harufu yake ipo Ila stimu zinachelewa.
Nakunywa kitu nahisi kabisa kimechanganywa na H20.
Sasa kutokana na Hiyo suspicion Leo...
Kuna mtu ana kimtandao chake kipo moshi hiki kimtandao nakitumiaga kwa matangazo ya kazi na kazi ya udalali . Sasa wanatangaza sana kazi za finance na accountants . Kidhibitisho hiki hapa ila sasa...
Ndugu zangu.
Wanawake jueni wanaume tuna moyo wa nyama na tunaumia sana ni vile tuu hatuwezi kusema hadharani.
Nimeamua kunyamaza ila moyoni na umia sana, mwanamke wangu kasusa kabisa kunitakia...
Mara nyingi mabinti huchukua tabia za mama zao aidha kwa kurithi au kuadapt hivyo ni bora kabla ya kuoa mchunguze mama mkwe maana tabia yake ndo tabia ya mkeo mtarajiwa, kama mama mkwe anachepuka...
Heri ya mwaka mpya na habari za siku nyingi.
Mwaka jana nilikutana na huyu binti wa kirangi katika mazingira yangu ya kazi, sikujua kama ni mke wa mtu tukawa kama marafiki huku nikimsaidia mambo...
Poleni na kazi wakuu!
Nimebahatika kuwa na mji wa kawaida wenye apartment. sasa kuna ndugu yangu naishi naye anampango wa kuoa mwakani ameniomba aishi hapa hapa kwenye moja ya apartment hata...
Hii ni maalumu kwa ladies wote ambao hamjaolewa.
Ni hivi, hupaswi kabisa kumwamini mwanamume anapokwambia "nakupenda" kabla hajakuoa.
Kwa kawaida mwanaume hutumia neno "nakupenda" akilenga...
1. Wale vijana msingi kiuno. Kiukweli mna kipaji cha kuvumilia masimango, kejeli za Hawa mashangazi.
2. Enzi zangu niliwahi kuwapelekea moto mashangazi Kwa idadi yanafika Saba (Kwa wakati...
mwanamke ana thamani kubwa sana na haina mfano,angalia wanaume tunawapiga,tunawatukana,tunawadanganya,tunawanyanyasa,tunawaharibia maisha,sasa cha ajabu,ndio haohao tunataka papuchi zao,tunataka...
Kila nikijaribu kuzama nashindwa kabisa, nimejaribu sana lakini nikifika karibu kuanza kuna kitu kinaniambia " acha uboya wewe".
Dada ukipata mwamba wa aina hiyo mfunge kabisa kamba.
Naandika uzi huu kwasababu nazidi kujionea baadhi ya ndoa hizi za kizazi kipya zimekuwa za ajabu sana, hata ile tafsiri ya kuvuta jiko imeanza kupotea.
Na tuache masikhara, ndoa zetu za kiafrika...
Nyie wanaume kuumbukeni kila ubaya umtendao mwanamke, na mnakuja hapa kujisifu kuwa umempakua demu, umemla jicho, umempa mimba ukamtelekeza, ndivyo hivyo hivyo mwanao wa kike atakavyotendwa.
Kwa muda sasa nimekuwa niki keleka pale wife anapotupia/vaa tisheti zangu
Na kuvimba nazo kitaa wakati huo nimemnunulia zake na anazo za kutosha na kila fashion ikitoka namchukulia ila ajabu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.