Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Je, ushawahi kuwa na mpenzi ambaye alitokea kupendwa sana na Mama, baba au ndugu zako kupita maelezo kana kwamba hata afanye kosa lolote ni ngumu kwa ndugu zako kuamini au watakua tayar kufanya...
9 Reactions
119 Replies
7K Views
habari wadau. hii couple maarufu inayotrend sana tik tok na instagram ya vijana wanaojiita Meet Us. inafanya ma single tujione mayatima wa mapenzi. mahusiano mazuri matamu sana na muhimu hela...
5 Reactions
40 Replies
3K Views
Habari za weekend wana JF? Leo tufunguke kituko kilichowahi kukutokea wakati ukifanya mapenzi. Nianze na changu. Nakumbuka wakati nazagamua katikati ya mzagamuo mara dada kakata moto, yaani...
18 Reactions
59 Replies
7K Views
Ndoa ni mkataba wa kitapeli kwa mwanaume. Hakuna ambacho mwanaume ananufaika nacho katika ndoa wakati huo mwanamke akiitumia ndoa kimkakati inamtoa kimaisha. Ndoa ni gereza la mateso kwa mwanaume...
14 Reactions
41 Replies
2K Views
USHAURI wenu wakuu?
9 Reactions
71 Replies
2K Views
Kuna time unaweza kujikuta kwenye situation ya kumpenda mtu sana ambaye hakupendi pia unaweza kujikuta kwenye hali ya kupendwa sana na mtu usiyempenda. Naomba kushare Uzoefu kwenye situation zote...
1 Reactions
0 Replies
221 Views
Kama unahisi kabila Lina nguvu kwenye zama hizi na unafikiria kuoa , Moja ya vigezo ulivyojiwekea ni kabila basi mwanamke wa kikinga anawazidi wanawake wengi Tanzania, wanawake wa kikinga ni...
15 Reactions
50 Replies
3K Views
Kutokana na misemo kadhaaa na kupitia baadhi ya nyuzi humu ndani, kuhusiana na jamii hiyo sijaamini nilichokutana nacho. Nimeoa mwanamke mmoja Mrangi, keupe haswa. Kutokana na wanavyosemwa...
20 Reactions
113 Replies
10K Views
Kama wewe sio mtaalamu wa kupiga mipira iliyokufa , hutowaweza single maza. Unajua katika mchezo wa mahusiano sio kila mchezo MTU anaweza kuutawala wote ,hivyo kupiga mipira iliyokufa hiyo kazi...
4 Reactions
18 Replies
885 Views
Unakutana na msichana mzuri unaomba namba hana ujanja wa kukutajia,ataanza kupekenyua simu yake su ataomba ya kwako akubeep ndio upate nsmba yake. Sasa mwanke kama huyu atakumbuka kweli tarehe...
5 Reactions
22 Replies
2K Views
Dalili tano kwamba mwanaume uliye naye kwenye mahusiano ni mume wa mtu zinaweza kuwa: 1. Anapunguza Mawasiliano au Haonekani Mara kwa Mara: Ikiwa mwanaume anakuwa mgumu kupatikana au haonekani...
2 Reactions
14 Replies
2K Views
Nsikuchoshe na Usinchoshe,tusichoshane!. Kuna uzi juzi niliuanzisha hapa ulikuwa unazungumzia namna mpangaji mwenzangu yeye na mkewe wanavyonifanyia makusudi na maudhi yasiyokuwa ya lazima katika...
12 Reactions
25 Replies
5K Views
Kila nikiwa nakasalio kidogo tu, anakuwa anaongeza mapenzi ya masham sham, nikiishiwa kidogo tu, ata simu zangu nikimpigia hapokei. Huyu mwanamke nimfanyeje?
1 Reactions
9 Replies
392 Views
Jana nimemwambia My girlfriend. Kuwa sitokuwa tayari kuendelea kuwa naye. Hivyo nam release. Ili mimi nikatafute changamoto nyingine. Amelalamika na kulia sana. But nimemwambia sina namna...
17 Reactions
34 Replies
2K Views
Najua nyie ni watu wazima wenzangu mmeshanielewa. Naomba mnijibu tu.
2 Reactions
1 Replies
266 Views
Merry Christmas [emoji320] Hivi karibuni nilitembelewa na ndugu yangu majira ya saa tano asubuhi tena bila taarifa. Kwakuwa alikuja time naenda job nikamuachia maelekezo yote ya msosi...
24 Reactions
117 Replies
4K Views
Nawatakieni heri ya mwaka mpya ndugu zangu wana Jf, Mungu awalinde daima Amen
10 Reactions
43 Replies
1K Views
Unajua najiuliza , hivi nyie mliooa mliona nini kwa wake zenu that other women dont , maana mimi kila mwanamke naona the same characteristcs , yani shida shida , ukipata atleast ana a very...
4 Reactions
27 Replies
1K Views
Wasaalamu, dronedrake kiongozi wa Nyeto baba wa kataa ndoa ni utumwa. I, proton pump baba wa No Fap. Nimechunguza nyuzi nyingi za hivi karibuni zinahusu maumivu ya mapenzi zikiwemo; 1. Vijana...
5 Reactions
17 Replies
789 Views
Habari, Mimi na mwenzangu tumeishi miaka kama 13 kwenye ndoa yetu na tumebarikiwa na kuwa na watoto 2. Niseme ukweli hatujawahi kukorofishaba au kugombana tunapendana sana. Sasa wiki mbili...
16 Reactions
124 Replies
16K Views
Back
Top Bottom