Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Baba kwani mtu akifa anaweza kumnunulia mtu zawadi?? Lilikua ni swali kutoka kwa mwanangu wa miaka 5, nilistuka kidogo kwani alikua anazungumzia mambo ya kufa. Ndiyo kwanza tulikua tumetoka...
7 Reactions
6 Replies
691 Views
Mmetoka wote chuo , halafu unataka ukute kijana uliyekuwa naye chuo awe ana kila kitu kama nyumba,gari na kazi nzuri,mbona wewe huna?Kwani unataka kuolewa na baba yako? Angalieni Dream, Vision...
4 Reactions
5 Replies
580 Views
Heri ya Mwaka Mpya, 2024. Hatimaye tumeingia kwenye mwaka unaogawanyika kwa 2, mwaka wenye mafanikio Tupa kule habari za mwaka jana, 2023, uliopita ndani ya dakika 10 zilizopita Mwanzo wa mwaka...
4 Reactions
46 Replies
2K Views
Habari zenu Wakuu wangu, Kwenye ulimwengu wa sasa kumekuwa na tabia ya wapenzi kunyonyana tupu zao wawapo faragha. Kiukweli hii tabia imekuwa ni kama jambo la kawaida kwa vijana wengi wa hovyo...
35 Reactions
163 Replies
12K Views
Hii ni opposite thread ya ile ya kula tunda kimasihara. Kuna wakati tumewahi kuwa kwenye mazingira yenye opportunity ya kula/kuliwa tunda kimasihara ila tukashindwa/kuponyoka. Binafsi...
5 Reactions
7 Replies
5K Views
NAOMBENI USHAURI...Nifanye nn? Kuna mwanamke nampenda sana saa hizi imepita miaka 5 tokea tumekuwa karibu sanaa lakini kila nikijaribu kumueleza hisia zangu ananizngua anadai haitaji kuwa kwny...
2 Reactions
16 Replies
631 Views
Katika maisha haya, najivunia vitu vitatu muhimu 3. Najivunia kuwa mtu wa watu i.e mchapakazi, mcheshi, bidii katika kazi bila kujali hasara, moyo usio na chuki, usio na hasira, usio na wivu wa...
0 Reactions
2 Replies
282 Views
Mimi 32 na Gf wangu mwenye miaka 34 tuliachana lakini bado tunaishi pamoja kwa sababu ana binti wa miaka 14 na hana pa kwenda. Ninapambana na nini cha kufanya. Tumekuwa pamoja kwa zaidi ya miaka...
6 Reactions
75 Replies
5K Views
Kuna mambo yanakera sana aisee yaani mtu unamuambia mimi na wewe tunakaa chumba kimoja na bado anataka kumleta ndugu yake na halafu mimi bado sijajipanga kiuchumi na ukimuelekekeza anasema mimi...
12 Reactions
31 Replies
1K Views
1. Kuwa na mipaka na mambo yako ya pembeni Acha kuishi kama msela ikiwa unaye mpenzi au mwenza, unapokuwa bado na mambo ya kama uko pekeako unapaswa kutambua unachokifanya pipoas kumuumiza...
3 Reactions
40 Replies
4K Views
Wanangu hawakuwa boarding school. Baba yao mdogo na dada wa kazi ndio waliowafundisha ku SEX. Tuwaombeeni sana watoto wetu, Najuta kuwatoa muhanga watoto wangu kwa ajili ya kazi yangu. Niliolewa...
18 Reactions
40 Replies
7K Views
Asalam alaykum warhmatullah wabarakatuh, Bwana yesu asifiwe, Tumsifu yesu Kristo, Mapendo! Wanaume linapokuja suala la kuvunja mahusiano kama bado game haujaijua lazima ikutese tofauti kabisa na...
11 Reactions
53 Replies
2K Views
Talking from experience... Kabla sijaoa nilipata uzoefu kidogo juu ya wanawake ambao miguu yao ni miembamba. Most of them wako harsh sana haswa kwenye swala la mapenzi, they are very fast to run...
12 Reactions
119 Replies
27K Views
Huyu mdogo wangu wa kike wa mwisho ana kitoto chake kina miaka 6. Weekend hii alikileta kije msalimia uncle. Mi sikuona shida kabisa. Wazo lilikuwa jema. Shida ikawa kwenye utekelezaji. Kile ki...
83 Reactions
128 Replies
11K Views
Nimejikuta nikijiuliza maswali mengi sana. Mida ya asubuhi wakati tunaelekea kazini tumekutana na baba mmoja akiwa anauza madodoki ya kuogea. Mara nashangaa anaitwa na kuanza kuhojiwa ubora wa...
5 Reactions
11 Replies
609 Views
Ni safari ya miaka 9 ya kufahamiana nae, ni jirani yangu kutoka huko mkoa wenye Mawe mengi zaidi. Nilimfahamu kanisani nikiwa likizo ya masomo (nimetoka advance) yeye akiwa o-level form two...
20 Reactions
93 Replies
4K Views
Nimetoka kwenye kikao cha usuluhishi usiku huu, wanandoa wanagombana kisa simu anazopigiwa mwanamke na mzazi mwenzake. Mwanamke kila akijaribu kujitetea Jamaa haelewi, anasema haiwezekani lazima...
29 Reactions
120 Replies
5K Views
Mnawadanganya kuwa ni mtindo wa kisasa ili wawakubalie, halafu wanapata shida wakijifungua. Acheni unyanyasaji ............. UWT Ludewa yakemea Wanaume wanaowaingilia wake zao kinyume na...
8 Reactions
69 Replies
7K Views
Back
Top Bottom