Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Kama unaye Mchepuko ni vizuri kujitambua kuwa unavyo ishi naye unatumia akili au umeshatekwa akili na kuwa hamnazo; Fuatilia yafuatayo; Ukishaona unagharamia mchepuko kuliko familia yako; Jua...
5 Reactions
41 Replies
1K Views
Mipango yangu mimi pamoja na Shamsa imeingiwa kidudu maji. Tulipanga kupeana ujauzito, kisha tumtunze mwanetu mpaka pale atakapofikisha umri wa kwenda shule ili tumnunulie kiufagio na kidumu cha...
1 Reactions
3 Replies
540 Views
Kweli ukikosea step kwenye kuoa ni regret kubwa.Mshikaji wangu Rob alifunga ndoa yake Mwaka 2007, Alimwoa mdada wa kisukuma beautiful in body structure and face tall and attractive mshikaji...
15 Reactions
135 Replies
14K Views
Utasikia goma langu lililoolewa Dar, Mza au Dom limekuja kula sikukuu. Lilivyoniona tu likatabasamu na kug'ata kidole. Mara jamaa yangu nae kalipanga goma lake. Mara kuna goma langu...
3 Reactions
25 Replies
1K Views
Haharini za pilika pilika za kimaisha pole katika ujenzi wa Taifa letu pendwa chini ya Jemedari Mh Mama suluhu Hassan. Kwenye mada Yetu Leo tutaongelea swala zima la spiritual Bond kwa njia ya...
3 Reactions
11 Replies
1K Views
Nimekaa nikatafakari endapo ningemkosa huyu mwanamke nilienae, huenda ningekua na mjuto kwa kuamini kulikua na chaguo zuri ambalo sijalipata. Lakini leo nimepata kile ambacho niliamini ndio kitu...
8 Reactions
13 Replies
451 Views
Alex anaingia duka la dawa kununua kondomu. Mfamasia anamwambia kwamba kondomu zinazopatikana zipo kwenye pakiti kuanzia tatu, tisa, au kumi na mbili, na kumuuliza ni zipi anazotaka. Alex...
5 Reactions
4 Replies
721 Views
Wakuu, mwaka 2016 nilifunga ndoa ya kiserikali. Ilinilazimu kufanya hivyo kutokana na uhalisia wa mazingira niliyokuwa naishi na mwenzi wangu huyo wakati huo. Mwaka 2019 mwezi Disemba tulifanikiwa...
28 Reactions
196 Replies
14K Views
Nakumbuka niliwahi kuingia kwenye mahusiano na binti mmoja wa ki Arusha ambae tulijuana kupitia social media, yeye alikua Arusha na mimi nilikuwa Dar es Salaam. Huyu binti kwanza alikuwa...
45 Reactions
300 Replies
13K Views
Wakuu , Hivi inakuaje unamtongoza mwanamke anaishia kukutolea nje huku akikusindikiza na dharau za kutweza utu wako , Ila suddenly akijua unamiliki mtoto mzuri ambaye ni classic anakutafuta tena...
2 Reactions
19 Replies
898 Views
Boss wangu niliekuwa nampenda ametoa mahari halafu mimi peke yangu ndio nimefichwa ofisi nzima, nimeumia sana na nimelia sana mwaka wangu unaisha vibaya. Nimeongea na boss wangu nimemuuliza hana...
35 Reactions
206 Replies
8K Views
Kuna jamaa yangu hapa anajipanga kupangua hoja zinazomkabili, ilikuwaje? Mpe ushauri Jamaa ana umri wa miaka 39,mwaka jana akiwa kwenye maeneo yake ya kazi kuna binti alikuwa anapita pita hayo...
34 Reactions
167 Replies
9K Views
Fanya utakalofanya, penda utakavyopenda lakini usisahau kuwapenda wazazi wako zaidi. Mwanamke/Mwanaume unaempenda sasa hawezi kukupenda kuzidi wazazi wako, wathamini sana wazazi wako maana wao...
1 Reactions
1 Replies
237 Views
Njooni mfunguke funga mwaka hii kipi kilichokupata katika tasnia hii kikakufanya kuogopa wanaume au wanawake at njooni mfunguke wadau na wakulungwa
1 Reactions
10 Replies
515 Views
Ebwana baada ya kuuchoka ubachela nikaona nivute goma binafsi elimu yangu ni university dropout so sina professional but sijutii maana niliosoma nao wengi ganga njaa tu, so nilijikita kwenye...
24 Reactions
137 Replies
5K Views
Habari zenu Wakuu, Nimekuwa naona vijana wenzangu wakiingiza mademu/Malaya kila uchwao kwenye mageto yao bila ya kujali watu waliowazunguka. Kiukweli ni image mbaya wanajijengea kwa jamii maana...
23 Reactions
105 Replies
6K Views
Wakuu, naamini mmeakuwa na weekend njema, na mmeianza Jumatatu vyema. Back to me it was boring baada ya kukutana na hiki kisanga. For the last six months nimekuwa mtu wa kusafiri safiri kidogo...
37 Reactions
130 Replies
20K Views
Hi, Kwasababu ya huu utandawazi wa internet, redpill movement, mgtow, mambo ya LGBTQ, udangaji, atheism, umaskini na unemployment wanaume wengi watachelewa kuoa, wanawake watazidi kuona suluhisho...
9 Reactions
38 Replies
1K Views
Habari jf members Nisiwachoshe,msinichoshe twende kwenye mada kuu Kuna mwanamke anaishi na rafiki yangu wa damu kabisa bahati mbaya hatumii jf kwa sabb ya upeo wake ni mdogo yeye kutwa yupo fb...
15 Reactions
150 Replies
6K Views
Wasalamu, Tabia ya mtu ipo ndani,ila kuna mambo ya nje huashiria tabia ya ndani. Unaanzaje kudate na mwanamke mwili wake umejaa matatuu? Mwanaume kifua kimejaa matatuu? Ndugu yangu kwanza...
23 Reactions
72 Replies
4K Views
Back
Top Bottom