Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Zipo alama nyingi baadhi ni hizi hapa. [emoji533][emoji533][emoji108][emoji97][emoji97]🫂[emoji867] Hapa nahisi kizunguzungu maana sijaelewa huwa anatumiana na nani alama hizi maana hajatumia...
23 Reactions
149 Replies
12K Views
Nimuamua kushare na nyie huu ujumbe nimekutana nao sehemu ili uwe na Amani ya moyo fanya hivi; ======= Kwa wanandoa na wenye wapenzi waaminifu, uaminifu limekuwa ni jambo la msingi sana ili...
14 Reactions
317 Replies
18K Views
Wakuu, mmoja wa wapenzi wangu hunitafuta anpoona mshahara umekaribia. Yaani kuanzia tarehe 20 anakesha na mimi mpaka tarehe 26 nikipokea tu mshahara anapotea. Haombi pesa lakini binafsi huwa...
6 Reactions
24 Replies
1K Views
Habari zenu Wakuu, Nimetongoza Mwanamke anaecheza Judo 🥋 anachonifanyia sasaivi najuta. NAENDA POLISI SASAIVI KUANDIKISHA JARADA LA KUPIGWA USHAURI Wanaume wenzangu Usimtongoze Demu usiemjua.
7 Reactions
35 Replies
1K Views
Tumekua katika mahusiano toka tukiwa wadogo,... toka enzi hizo niko form4 na binti huyu akiwa form2. Ingawa tulikuwa wadogo sana,hatukujua kama tutakuja kuwa na ndoto za kuoana baadae.Lakini...
0 Reactions
38 Replies
4K Views
1. Ukipata mpenzi mnaependana sana. 2. Ukipata mtoto wako wa kwanza. 3. Ukifunga ndoa. 4. Ukinunua gari lako la kwanza. 5. Ukifaulu form4 au form 6 (vilaza wenzangu watanielewa) 6. Kuhamia...
14 Reactions
91 Replies
4K Views
Habari wana JF, Poleni na majukumu ya hapa na pale 🤝, • Nimekuwa nikifikiria na kufuatilia hili kwa miezi kadhaa sasa, nimeona mke wangu si tena yule mrembo niliyemkuta na kumtongoza. •...
37 Reactions
317 Replies
36K Views
Swala la kimapenzi ni jambo mtambuka na pana sana, sio kila jambo kwenye mapenzi linamfahaa kila mtu. Zifuatazo ni tips tu kuhusu kumfahamu mwenza wako; 1. Kuna wanawake wanaofika kileleni mara...
5 Reactions
8 Replies
911 Views
Habari zenu ndugu zangu..? Hivi bongo kuna Mabint warembo age tajwa wana ujuzi wa CODE Imean Programing.
1 Reactions
26 Replies
2K Views
Jifunze jambo katika maisha yako kupitia hii simulizi ya kweli kutoka kwa jonathan (audio)
0 Reactions
1 Replies
5K Views
Kuna tabia za wanawake wanatoa wanawapa wanaume zao kwa masharti kama vile wanawatoa msaada au wao hawahitaji sana hili tendo. 1. Mwanamke anadiliki kusema, naomba ukojoe mimi nilale yaani...
56 Reactions
591 Replies
20K Views
Tabia mbaya sana ya hawa wanawake, wanawekeza kukukamatisha mimba kiutata utata huku akijua wazi kabisa atakupiga mizinga kupitia mwanao. Ukisema basi uishi na uliye mpa mimba atakukatalia na...
2 Reactions
5 Replies
457 Views
Dah, nimekulia kwenye ukweli na uwazi ndugu zanguni. Kulaghai mtu siwezi kabisa. Kikwazo sio mimi, kikwazo ni huyo mwanamke anayenisikiliza. Huwa najiuliza sana kuwa ananichukulia vipi? Just...
5 Reactions
10 Replies
2K Views
Nilikuwa nimekaa zangu kwenye mgahawa fulani. Akaja mkaka mzuri tu na alikuwa amependeza. Akakaa kiti cha mbele yangu. "Mambo? Nimependa nikae na wewe hapa." Akaniongelesha. "Haina shida."...
120 Reactions
422 Replies
36K Views
Nina mpenzi wangu kutoka kaskazini (mchaga) ambaye kwa sasa tumetimiza mwaka 1 katika mahusiano huyu dada ni mpambanaji haswaaa nimemkuta na biashara yake hivyo anajimudu SIFA ZA HUYU DADA 1...
10 Reactions
56 Replies
3K Views
Wazee naombeni mbinu ya kumteka mwanamke hisia zake na je mwanaume anafanyaje ili awe romantic kwa mwanamke na kuweza kutunza hisia za mwanamke Mbinu niliyokua natumia mimi nikiwa kwenye group...
5 Reactions
114 Replies
33K Views
Ukiwa humu jukwaani, stori za urahisi wa upatikanaji wa wanawake Lindi zinafika elfu moja au zaidi kwa siku. Picha inayokuja kichwani ni kwamba ukifika tu wanakukimbilia......Big no! Nina wiki ya...
9 Reactions
32 Replies
2K Views
Hii inawahusu wote wanahangaika kutafuta maombezi kwa mitume na manabii kwamba waombewe ili tamaa za ngono itoweke nawaombeni mjifunze kitu hapa. Mpendwa usihangaike kukusanya sadaka ya...
26 Reactions
144 Replies
5K Views
Wakuu, hii kitu nawaambia ni kweli kabisa. Nimegundua baada ya kautafiti, kutokana na kukosekana kwa uaminifu hasa kwa wadada walivyo wepesi kutumiwa hasa makazini, kama kazaa na MTU utagundua...
4 Reactions
4 Replies
594 Views
Back
Top Bottom