Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Salaam wakuu, Kuna huu msemo nimekua nausikia mara kwa mara watu wanasema eti money cant buy happiness ila kwangu mimi I beg to differ wakuu. Lets be realistic here, pesa ina play part kubwa sana...
2 Reactions
129 Replies
5K Views
Dada unatembea na kitega uchumi, halafu unalalamika maisha magumu ? Unakwama wapi? Ili kuyakabili maisha na kuwa na uchumi wa kati jirembe, jibebishe na uwe mtu wa kukaa maeneo ya mawindo...
3 Reactions
47 Replies
2K Views
Habari wana JF, poleni na majukum ya na pale 🤝. Nina mkusanyo wa Nukuu zinazoweza kunukuliwa, maarifa ya kurejesha upya kabisa kuhusu Men's Rights Activist (MRA), ambayo yanaweza kumsaidia mtu...
0 Reactions
13 Replies
571 Views
ni kiumbe kilichojaa utukufu,tuwaheshimu,tuwapende na kuwalea kwa uwezo wetu wote.mwanaume anayemdharau,kumtesa,kumdhalilisha na kumpiga mwanamke,hadhi yako ni ndogo sana
5 Reactions
51 Replies
2K Views
Heri ndugu zangu. Ukifanya tathimini za haraka haraka mpaka kufikia mwaka 2045 kama tutakua hai tutashuhudia kizazi cha hovyo sana kinacho nyumbishwa huku na huko na wanawake zaidi ya sasa na...
1 Reactions
11 Replies
859 Views
Niliwahi kuwa kwenye mahusiano na binti fulani ambae alikuwa nami bega kwa bega. Kuna muda tulitengana lakini alikuwa ana tabia ya kunitafuta na kunisalimia, hata kama utapita mwezi au miezi...
3 Reactions
10 Replies
856 Views
Mnakwama wapi akina dada mnaopotezewa muda na hawa wanaume viruka njia? Yaani una date na mtu mwaka mzima au zaidi halafu haongelei ndoa? Sasa nawapeni mbinu itakayo walazimisha wawaoe. Mbinu...
2 Reactions
20 Replies
723 Views
Kuna nyumba mbili napakana nazo huu ni Mwaka wa Tatu sasa naona tu ndugu wa upande wa Mwanamke (Mke) wakifululiza kuja na hata wakija huwa wanakaa hadi waamue wao kuondoka ila Ndugu wa Mwanaume...
2 Reactions
47 Replies
10K Views
Habarini za Siku Nyingi Kidogo. Nikumbana na hili janga la kupendwa na mke wa mtu yeye anadai hampendi mme wake tena. Yupo tayari kuachana na mmewe tuoane. Wasiwasi wangu ni kwamba nitakuwa...
6 Reactions
109 Replies
19K Views
Maisha yanaenda kasi sana wakuu wala siwashauri kutongoza au kuishi na hawa mademu viruka njiwa watakuroga na utakuwa unatoa pesa bila ya wewe kujijua aisee bila.ya mungu kuongilia kati leo hii...
6 Reactions
25 Replies
2K Views
Habari zenu Wakuu, Vitabu vya Dini havikukosea kusema watu wasiikaribie zinaa, nadhani kila mtu anajua kuhusu hilo. Mtu aliezoea kunyonywa uke/uume siku akifunga ndoa na mtu ambaye anyonyi...
3 Reactions
13 Replies
662 Views
Nimeona kuna mashindano ya MissJF 2023, ilikuwa wazo zuri ila lina ubatili mtupu. Naona kama mbinu nyingine ya udhalilishaji mkubwa wa wanawake unaofanyika jukwaani kila iitwapo leo. Sababu za...
7 Reactions
64 Replies
2K Views
Huyu dada tulikubaliana penzi la kisela kama Vanessa na FA. Tena akasema hataki kupendwa wala kuonewa wivu. Kibaharia nikajua ana mwamba so coz mi sina future nae fresh ntagusa wororo nipite hivi...
10 Reactions
29 Replies
2K Views
Posted, Hakuna maneno meengii.. Yani ni kwanini sauti ya mchepuko ni tamu, inabembeleza, inajali and so many others. Guyz! Why?
7 Reactions
37 Replies
2K Views
HAPA tunazungumza kuhusu mapenzi kama kawaida yetu. Leo nimekuja na mada ambayo naamini itawagusa wengi. Marafiki zangu, kusaidia katika mapenzi ni jambo zuri tena lenye mantiki sana. Suala la...
6 Reactions
47 Replies
11K Views
Habari wakuu, Niende moja kwa moja kwenye mada yetu isemayo watanzania Mapenzi ni ya wazungu, nyie mlizoea kulazimisha. Tokea enzi za mababu zetu wao walikuwa wanalazimisha tu kuoa tu mwanamke...
11 Reactions
38 Replies
2K Views
Habari ndugu zangu, mm Ni wa kiume (25). Nilipokuwa chuo nikipata na mdada ambaye mazingira ya chuo yalikuwa magumu kiasi kwamba ilibaki kidogo kudisco, ila nikapata huruma kunisaidia ktk...
9 Reactions
53 Replies
2K Views
Nataka kufanya utalii wa ndani. Niende wapi kati ya Newala au Songea? Sijawahi kufikia Songea nasikia warembo wa Songea warefu halafu wana misambwanda kama ya ndugu zao wa South Africa. Kuhusu...
4 Reactions
32 Replies
2K Views
Haya mambo nilikuwa nayasikia sana kwenye media kuwa watu wanaenda kupima DNA na kukuta watoto sio wao ila sasa naona live. It's true, story ya watu niliowaona na kuwafahamu. Story yenyewe ni...
7 Reactions
91 Replies
6K Views
Habari wana Jf nipo na ID nyingine niliifungua karibu siku 26 zilizopita. Twende kwenye mada. Mimi nina umri wa miaka 35 kwa sasa nina watoto 3. Nimeoa na nina mke nimezaanae watoto 2. Mtoto...
59 Reactions
242 Replies
20K Views
Back
Top Bottom