Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Naombeni msaada nataka kwenda ustawi, baba wa watoto huduma ananisumbua maana ni mfanyakaz serikalini na mimi ni mke wa ndoa tuna watoto wawili
15 Reactions
624 Replies
25K Views
Aisee asikwambie mtu ukutane na hiyo chuma hapo chini uikute ipo kwenye ubora wake , hana njaa kashiba , hana madeni vikoba. Kama pumnzi na stamina huna unaweza kata moto maana hadi soka...
8 Reactions
17 Replies
2K Views
Habari, Husika na kichwa cha habari, Kama kuna kitu cha kuangalia wakati wa kuoa na kuolewa ni hili suala la mume au mke ambaye kila linalotokea kwenye ndoa yenu yeye anaripoti kwao. Katika...
17 Reactions
34 Replies
2K Views
Hello guys, mnaendeleaje? Nimekuwa nikisumbuliwa na tatizo la kujimalizia mwenyewe hasa pale nilipokuwa nikimynyonyesha mwanangu na hata sasa nikiwa nimempaka usiku wakati akiwa amelala. Iko...
32 Reactions
174 Replies
13K Views
Wakuu habari za jioni? Kuna mdada mmoja nilimpenda sana, nikafa nikaoza; nilikuwa tayari nilale njaa ili tu yeye aweze kufurahi. Mahusiano yangu naye, yalikuwa na changamoto sana, huna hela...
3 Reactions
36 Replies
4K Views
Habari zenu wakuu, kuna jambo lilikuwa likiniacha njia panda sana, Kuna binamu yangu umri wake kwa sasa ni 33 to 34 hajaowa mpaka sasa na amekuwa akipambana kujiweka sawa kiuchumi na huku...
3 Reactions
17 Replies
2K Views
Kuna pahala nimesoma eti yule kaka kaandika ya kwamba mwanaume kuwa na uume mkubwa ni mateso tu kwani wanawake hawapendi! Weeeeee thubutu! Nani alikwambieni hatupendi naniliu kubwa? Huyo...
20 Reactions
124 Replies
10K Views
Kwa Waliolewa na Kuoa Zingatia: Hata kama umeolewa na mume bora duniani, usipouchunga moyo wako, unaweza kuishia "kumpenda" mtu tofauti na mwenzi wako na hatimaye kuharibu ndoa yako. . 1. Usiwe...
2 Reactions
4 Replies
639 Views
Habarini wana jamvi. Nimesoma hii story NAJUTA SANA: Nilizaa nje ya ndoa, mke wangu haniamini tena. Natamani siku zirudi nyuma nikakumbuka yalonikuta miaka ya mwanzo kabisa naanza mahusiano, sio...
58 Reactions
117 Replies
13K Views
Naomba tujengane kwenye masuala ya mahusiano. Majuzi nilicheki uzi ambao watu wanasema kataa ndoa, wengine wanalaumu, wengine wanaponda ndoa na wengine wanazisifu, mimi binafsi nilijenga hoja...
9 Reactions
16 Replies
1K Views
Wapendwa habarini, Mimi ni mwanamke ila sasa nakutana na changamoto kwenye ndoa. Mwanaume hana kazi wala kipato chochote kile anachoingiza ila ulevi wa pombe ni January hadi December...
19 Reactions
104 Replies
7K Views
Hivi ni kweli kwamba mkiishi kwa muda mrefu huwa mnachokana hata kama mnapendana kweli? Yani naamanisha kuwa, kuna muda unatamani kutoka nje ya ndoa kwa kumkinai mwenza wako na kutaka vitu vipya...
0 Reactions
17 Replies
615 Views
Miongoni mwa mambo hatari katika Mahusiano ni kuaminiana na kuambiana siri zenu. Naomba nitumie andiko la Biblia katika Kitabu cha Mika siyo kwa lengo la kufundisha imani fulani au dini ila...
6 Reactions
5 Replies
653 Views
Habari, Mimi ni kijana wa miaka 28 ambae bado sina mbele wala nyuma kwenye maisha yangu, bado najitafuta ila uhakika wa kipato kiasi ninao. Changamoto yangu ni kwamba nilikuwa naishi na mwanamke...
9 Reactions
57 Replies
4K Views
Salaam wakuu. Binafsi sijaoa ila inaeleweka kuwa ndoa zina changamoto nyingi sana zinazowesha kusababisha kupishana kauli, kupigana (sometymz), kunyamaziana n.k.... Nawapa kisa kimoja Miaka...
1 Reactions
3 Replies
482 Views
Akizungumza katika Kipindi Kizuri na ambacho GENTAMYCINE nakipenda na nimejiteua Mwenyewe kuwa Balozi wake Kivuli cha Mazungumzo ya Familia ya Radio One kila Jumapili kuanzia Saa 1 na Nusu hadi...
4 Reactions
3 Replies
901 Views
Nimeona post za member mmoja akisakama ma binti wa kijita waziwazi kwa kujiamini kabisa anawaambia vijana usioe mjita tena anakazia kama yéyé na dada zake ni wema sana. Wewe kama unamchukia...
2 Reactions
5 Replies
529 Views
Katika harakati zangu za kujitafutia ugali wa kila siku nikakutana na pisi moja kali sana yaani matata mno.. Figure fulani ya kibantu iliyojaliwa kila kitu Yule dada akiniambia anatafuta...
9 Reactions
21 Replies
4K Views
kijana usioe kataa ndoa
0 Reactions
6 Replies
64 Views
Back
Top Bottom