Wakuu,
Nilikatiwa kipande cha ardhi na kanisa, kwa makubaliano kwamba nijenge fremu halafu tutakatana kwenye kodi na makato yakiisha fremu itakuwa mali ya kanisa.
Unapewa miezi 3 ya kujenga...
Ukihitaji salamu subiri kwanza sikukuu ipite!
Nyie wanawake ambao huwa mnaikamata mic kwa ufundi kabla ya show pale jukwaani mbarikiwe sana,kiukweli huwa mnazikonga nyoyo za wanaume wengi mno...
" Uume mkubwa Ni mzuri tu kwa kuutazama ila sio salama kwa matumizi"
Hapo juu ni kauli ambayo nimekuwa nikiisikia kwa wanawake mbali mbali kwamba wao hufurahia tuu kuangalia uume mkubwa wa...
Habari zenu wakuu,
Kuoa ni zaidi ya upendo, kuoa ni majukumu na sio kuitana Babe au Mahabuba.
Kama hujajipata tafadhali nakuomba usiikimbilie Ndoa, maana utaumia na kuichukia hiyo Ndoa kilasiku...
Kuna girl mmoja wa kizungu hapa, foreigner hajui hata Kiswahili, naona anaingia kwenye 18 zangu.
Naombeni tips wakuu, vitu gani zaidi niepukane navyo ili nimnase mazima huyu mrembo.
Natanguliza...
Habarini za asubuhi,
Jana usiku nilikuwa nachat WhatsApp na mwenzangu, wakati tunaendelea nikamuga kidogo niende washroom one time mida kama tano kasoro narudi tuendelee na mazungumzo ndio...
Kwanini wanawake wanapenda kupay attention ikiwa umeachana nae for good ila yeye anakutafuta kukuonyeshea kuwa ana amani kwenye maisha yake ya sasa hii imekaaje wakuu
Kumekua na kipaumbele cha pesa kwenye mahusiano mengi sana siku hizi kutoka kwa hawa wanawake wetu tunaowaita wapenzi, baby, honey, laazizi, mahabuba, nyonga mkalia ini,asali wa moyo na majina...
Nawashauri wanaume na wanawake,msiishi pamoja bila ndoa,fungeni ndoa hata bila sherehe,na sio lazima mvae nguo za gharama,kama ni wakristo nendeni kanisani hata kwa daladala,kama ni waislamu...
Habari zenu Wakuu,
Nina mpenzi wangu na tumekuwa kwenye mahusiano kwa miaka mingi sana. kwenye biashara zangu nimebarikiwa kununua assets tofauti na moja ya assets hizo ni magari 3.
Huyu Mpenzi...
MARRIAGE IS NOT A SCAM..
1. Marriage is not a scam. It is just that some men are getting married with a lowly and negative view of women and some women marrying with a repulsive and suspicious...
Good evening,
Wanawake/wasichana hum jf ninaomba niwakumbushe kitu, umetongozwa na baba ameoa? Namaanisha baba mwenye mke na watoto wake, huyo kula hela zake kama ako nazo, usiwekeze kimoyo kako...
Habari zenu Wakuu,
Ukiona mtu ametulia kwenye mahusiano na hana michepuko wala kutoka nje basi tambua kuwa amefanya maamuzi na sio upendo.
Kama ulikuwa hujui ni kwamba, unaweza kupenda na bado...
Habari za Jumatatu,
Naomba ushauri kuhusu rafiki yangu huyu.
Huyu rafiki yangu alizaa na mpenzi wake miaka ya tisini mwishoni, lakini hawakufanikiwa kuwa pamoja, Baba alioa mwanamke mwingine...
Mwanzoni mwa mwaka 2023 niliunga juhudi (mkono) kampeni ya KATAA NDOA ndoa ni utapeli iliyoanzishwa na kijana mmoja hivi
Haya ndio mafanikio yangu Baada ya kuunga juhudi:
1. Nimeweza kutunza...
Serious Issue
Wiki kama mbili hivi zilizoisha nilienda nyumbani kutembelea wazee, kama mjuavyo mapokeo ya huko Nanjilinji huwa ni yenye furaha na vifijo, ilikuwa vivyo hivyo kwangu mie
Siku ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.