50 deep questions for couples that'll strengthen your relationship
How well do you think you know your partner? Maybe you just exited the talking stage, so you know their favorite cocktail but...
Ni muda sasa sjahudhuria humu jamvini, leo nina habari ya kuwakumbusha vidume wenzangu.
Juzi Bimkubwa amenipa card yake ya Bank nikamtolee kiasi cha pesa.
Nimefika nikamkuta wakala mdada...
Mim na huyu binti tunatimiza mwaka sasa na tunapendana vibaya mno..tunamipango ming ya kifamilia.
Sasa namwambiaje umri wangu halis..je hatoni mind kwa kumdanganya na kupoteza dodo kibwege...
Let yourself off the hook, or you will never find the one.
Photo: nikkimeel | Shutterstock
I often have clients come to me searching for their soulmates, twin-flames, partners in crime, and “the...
Napata sonona sana wakuu kwa huu umri until now sina mume wala mtoto wa kuzugia. Nachanganyikiwa nafsi inanisuta na napata sonona za mara kwa mara kutokana na kutokuwa na mke wa kunituliza mambo...
Umesema umetoka kwa watu wasiojua kupenda kabisa, wasiofahamu majukumu yao wenye tamaa na uchu. Ambao upendo wao mkuu umelala kwenye kivuli cha matamanio ya uzuri wako, pole sana.
Umeniambia pia...
Ndugu zangu nawasalimu sana.
TAHADHARI: SOMA POLE POLE TYPING ERROR ZIPO NYINGI SANA
Katika harakati za maisha ya hapa duniani baada ya Muumba wetu kuona kwamba si vyema mwanaume awepeke yake...
Kuhonga ni kitendo Cha kuwa mmwagaji wa maokoto ( fedha) Kwa watu ......so kwenye mahusiano ukiwa mhongaji hizi ni faida kubwa utakazopata-:
1. Kustabilize mahusiano, ukiwa mtoaji wa pesa hakuna...
WANANDOA NI LAZIMA WA-SHARE PASSWORD ZA AKAUNTI ZA BENKI NA SIMU
Anaandika, Robert Heriel
MTIBELI.
Dunia ya kitapeli huzalisha ndoa za kitapeli, Wanandoa matapeli, Watoto na kizazi cha kitapeli...
UPDATE. POLE KWA TAARIFA KABLA YA UZI.
KUNA WATU WANATAKA KUPUSH AJENDA KWENYE UZI HUU TAFADHALI WAPUUZIENI TUENDELEE NA UZI WETU WATAPOTEA TUU.
Massage ni huduma muhimu sana kwenye maungo ya...
ninapoandika huu uzi muda huu sipo na wife nilikosana naye kidogo nikampa nauli arudi kwao, japo lengo langu la kumrudisha kwao limefanikiwa kwa asilimia fulani
maana tayari ameshajifunza kitu...
MUMEO AKIKU-CHEAT NA WEWE M-CHEAT
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli.
Najua wapo wanaume watanimaindi kwenye hii mada lakini hiyo ndio namna Watibeli tunavyofanya mambo yetu.
Hatuna msamaha kwa...
Nimemchunguza kama anamchepuko nimejilizisha hana, nimeenda kwa docta kasema njia za uzazi wa mpango zina changia mwanamke kutojisikia kufanya tendo.
Nimeenda kwa mganga wa jadi kaniambia ana...
Leo nimekumbuka tukio lililonishika pabaya mwaka wa 2008 kama sio 2009.
Nikiwa nimejilaza pale Monjes Guest house mitaa ya Kaloleni Mkoani Arusha, nilikua nachat na mtoto mmoja wa kimbulu ambae...
Wenye ujuzi na masuala ya mapenzi mje mtupatie ushauri sie tunaojiingiza na kutoka kwenye mahusiano
Mfano ulikuwa na mpenzi wako mkaachana kwa madharau na kejeli hadi kufikia hatua ya kublockiana...
Kampeni ya kataa ndoa na kuoa inamantiki kwa wasiotoka kingono na wake au waume za watu nje hapo hawa wanachama Ni mazombi.
Ukibisha utapaa mbinguni na mapepo
Wakuu habari za uzima?
Jua lile literemke mama ni moja ya nyimbo wengi wetu tuliokuwa tukiimba pindi tupo mchakamchaka shule. Hii nyimbo ilikuwa inatupa nguvu na hali mpya siku nyingine...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.