Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Habari wakuu, Niende moja kwa moja kwenye mada inayosema, wapelekeni wake zenu vacation kuboresha penzi. Mazingira ya aina moja huchosha hasa kwa wanandoa kwakuwa wanakuwa na mazoea na kuzoeana...
23 Reactions
154 Replies
5K Views
Japo wengi wanashindwa kuelewa nini maana ya salam hasa ile "Shkamoo" inasemekana ukiona mume au mke anamsalimia mwenzake basi ni upendo umeshuka ila sio kweli huo ni heshima
2 Reactions
7 Replies
374 Views
Habari zenu Wakuu, Naomba mnisaidie jinsi ya kumshawishi Mwanamke aje ghetto tuanze kuishi pamoja bila ya Ndoa. Kuna Mrembo ana Dini na amenielewa vibaya sana (ananipenda), ila hataki tuishi...
16 Reactions
62 Replies
3K Views
Endapo Mpwayungu Village atapita hapa. Atasononeka sana, aisee!
4 Reactions
13 Replies
889 Views
Nisiongee sana Inabidi tuwe makini kwenye hii misiba yetu hasa usiku, tukae karibu na wafiwa.
6 Reactions
23 Replies
2K Views
Wakuu tupongezane kidogo[emoji1635] Mimi nikiri wazi tu bila kumpata huyu mwanamke au ningepata mtu tofauti sijui dunia yangu ingekuwaje. Huwa siamini kama kuna mwanamke anayeweza kufikisha japo...
19 Reactions
52 Replies
2K Views
I felt as if my heart would stop beating, and my lungs would exhale their last breath at any moment. My stomach clenches, and I want to scream when I’m not with you. I’m not sure how many times I...
1 Reactions
9 Replies
534 Views
The hardest part about us breaking up is letting go of the last piece of my heart. The saddest part isn’t that we never talk and love anymore, it’s that we never talk and love like we used to...
3 Reactions
59 Replies
2K Views
Sometimes a girl, comes into your life, you think shes the one, without thinking twice, you let her in, show her your life, show her your weakness, show her your strides, let her know you love...
4 Reactions
51 Replies
2K Views
Wakuu, nahisi naongea peke yangu au nacheka peke yangu ila sijapata mtu tu wa kuniambia kwa jinsi life lilivonichapa. Kazi niliyokuwa nayo sina tena, marafiki niliyokuwa na kunywa nao hawapo...
32 Reactions
107 Replies
6K Views
ilikuwa hivi huyu jamaa alitoka kijijini akaja mjini akawa ana fanya kazi za mashmbani kwa watu baada ya miezi kama 4 walipo vuna akawa anarudi nyumbani lakini kabla ya kurudi kijijini alikuja...
12 Reactions
8 Replies
1K Views
Namshukuru sana mungu nimezaliwa kweny kipindi ambacho wanawake walikuwa wanajitambua na wanajiheshimu sana. Namshukuru sana mungu kwasababu nimezaliwa na mwanamke anayejiheshimu, anayejitambua...
3 Reactions
16 Replies
957 Views
Wake kwa waume ,naomba msaada wenu ili niondokane na hili janga,nimekuwa mtumwa wa ngono kwa miaka kadhaa sasa,kabla ya kuingia kwenye mkataba wa ndoa niliapa nikishafunga mkataba kamwe sitofanya...
16 Reactions
199 Replies
19K Views
Mwaka mzima sioni nilichofanya. Boss nnayemfanyia kazi haeleweki. Kazi unafanya lakini ni mpaka ajisikiye yeye kulipa. Nna mawazo mengi sana. Demu wangu naye simuelewi nahisi kanichoka. Baada...
19 Reactions
66 Replies
3K Views
Hello wanaJamii... Kwa uzoefu nilionao, kila nikiomba namba ya binti fulani kwa nia njema tu, kutoka kwa kaka mtu inakuwa ngumu sana na hata wakati fulani kusababisha ugomvi...Hii inasababishwa...
7 Reactions
12 Replies
894 Views
Nimetoka kusoma kisa cha mwanamuziki mmoja wa Zambia ambae amejiua na kuacha ujumbe mrefu kwamba chanzo cha kifo chake ni tabia ya mkewe kuchepuka kulikopitiliza ambapo jamaa ameshamfuma zaidi ya...
6 Reactions
26 Replies
2K Views
Direct kwenye mada Wandugu kwa siku za karibuni nmejikuta nikimchukuia sana jinsia ke ninayo lala nayo kitanda kimoja, licha ya mazuri mengi kinayo nifanyi, lakini naelewa wazi kabisa ni matokeo...
9 Reactions
37 Replies
3K Views
Nimekuja hapa najua wengi mtapinga na wengi mtasema mapenzi ni upendo mara kuvumiliana au hisia ila mapenzi ni kusaidiana na kukamilishana kimsaada na siyo kama mnavyodanganyana, mwanamke masikini...
15 Reactions
99 Replies
5K Views
MWANAMKE UKIMWAMBIA NI MZURI NA UKAMPA FURAHA ANAKUWA MZURI. Anaandika, Robert Heriel Mastermind. Ukitaka Mkeo au Mpenzi wako anone, awe pisikali iliyonyooka mpaka Sisi wanaume wengine tumtolee...
23 Reactions
66 Replies
5K Views
Huyu mwanamke tumekua kwenye mahusiano kwa zaidi ya mwaka. Katika kipindi hicho alikuwa anaishi kwao. Wakati tunaanza mahusiano alinieleza kuwa tayari ana mtoto wa kiume. Na kwasababu pia Mimi...
16 Reactions
100 Replies
6K Views
Back
Top Bottom