Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Ndugu zanguni, nataka mjue kuwa kwa sasa napitia kipindi kizito sana. Nimesharudi ofisini mara kadhaa kumuomba boss msamaha ili nirudi kwenye system pasi na mafanikio Nilifanya kosa gani? Wiki...
15 Reactions
57 Replies
4K Views
Kwa anayejua jina la huu wimbo anisaidie ni muhimu sana. https://www.instagram.com/reel/Czn5se0IMrm/?igshid=MTdlMjRlYjZlMQ==
0 Reactions
2 Replies
577 Views
Nimekuwa nikijiuliza swali hili lakini sipati majibu. Nini could be a reason. Sababu mwanamke wa tatu sasa analalamika jambo hilo kuwa Chidy dhakari yako imeongezeka. Nami naona tofauti kiasi...
4 Reactions
33 Replies
2K Views
Guys, ukiwa na girfriend wako uka do nae inatakuwa u do nae tena baada ya mda gani, maana huyu wangu namuomba kwa wiki mara 4 anasema nampleka sana na hata sijamuoa, nikioa si ndio atakuwa hafanyi...
6 Reactions
31 Replies
2K Views
Wanaume December siyo mwezi wa kufungana na wanawake iwe kwanamna yeyote ile, huu siyo mwezi wa kutongoza wala wa kushika mkono na kula kimasihara shetani yupo kazini anatafuta watu wake, shetani...
6 Reactions
12 Replies
724 Views
Kwema Wakuu! Bado nipo natoa mafunzo Kwa ninyi vijana wa Forex, Watoto wa kubet ambao Maisha yanawachanganya. Vijana tatuteni Pesa kwaajili ya Wanawake wanaowapenda ili wawaheshimu na kuwatii...
45 Reactions
188 Replies
12K Views
Habarini? Ninaomba nieleweke kwamba mimi si mgeni, nimekua nikisoma mijadala mbalimbali lakini leo nami nimewiwa nilete kisa changu ambacho ninaamini kwa namna moja au nyingine kitawasaidia watu...
35 Reactions
138 Replies
5K Views
Habarini wanajamvi! Mimi ni kijana wa kitanzania natumai kuoa baada ya miaka kadhaa ijayo,lakini nawapenda sana ndugu zetu wanyarwanda,msaada napataje mawasiliano ya mtu yeyote from Rwanda nianze...
4 Reactions
105 Replies
22K Views
As-salamu alaykum ndugu zangu . Kwa hakika sasa nahman nmekutana na kizingiti., Tangu nianze kudate na kazijua kyupi! Sikuwahi kuvutiwa au hata kujalibu kulala na kua na wanawake wa design hi...
26 Reactions
192 Replies
11K Views
Habari wakuu, Husika na kichwa cha habari, Mwanaume akinyimwa tendo la ndoa anakuwa mkali kama Simba. Hapa nazungumza maana nishaona familia baadhi ambazo wake wanakuwa wanawanyima waume zao...
15 Reactions
59 Replies
5K Views
Wanawake tunawatongoza kwasababu tuliambiwa tuwapende, hatupendi kuishi wenyewe wapweke ndiyo maana tunawafata. Inasikitisha sana mwanamke unamtokea alafu anakujibu tuu direct 1: "SIKUTAKI" 2...
1 Reactions
16 Replies
591 Views
Wahenga wanasema two is better than one umoja ni nguvu walipata kusema babu zetu, ila kwangu naona kama hizo formula zote mbili zinaenda kugoma japo sio kupenda kwangu ila naona kwangu one is...
8 Reactions
27 Replies
1K Views
Juzi kati kuna mfanyakazi mwenzangu mdada aliniletea "external" yake baada ya mimi kua nimemuomba movies na yeye kudai ana ma series ya kufa mtu. Huyu binti ni mtu na heshima zake, hatuna urafiki...
6 Reactions
49 Replies
7K Views
Signed Out
13 Reactions
73 Replies
2K Views
Hadithi ya Kevin de Bruyne na mwanamke aliyemwacha Picha ni marafiki wawili waliokua pamoja ndani timu ya kukuza vipaji nyumbani kwao Belgium mmoja wa kishua Thibaut mwingine wa maisha ya chini...
38 Reactions
190 Replies
11K Views
Habari za Sabato! Kwa kweli Sisi wengine tulishaweka miiko na mstari kuwa Mwanamke asiyeweza kujilipia nauli wala asiyeweza kujinunulia vocha huyo hatuwezi ku-date naye. Kwanza hatuamini kabisa...
86 Reactions
465 Replies
14K Views
Ndugu wana Jf. Kwa masikitiko makubwa sana kumeibuka wimbi kubwa sana la wanaume wambea siyo kawaida yani akiona kitu au kusikia kitu atahakikisha amesambasa na tena wengine kazi yao ni kufukua...
8 Reactions
20 Replies
1K Views
wakuu,niko katika mahusiano na binti wa kikinga na kwa namna tunavyoenda nimemwahidi kumuoa as soon as possible.ila kabla ya yote naomba kupewa sifa za wasichana wa kikinga ziwe nzuri au mbaya poa tu.
2 Reactions
66 Replies
30K Views
Stage ya ujana ndio imezoeleka kuoa lakini lolote laweza tokea, yawezekana mwanandoa akafariki ama mkaachana, n.k. Kwa mwanaume mwenye 43 ambae alishaoa ujanani lakini kapatwa na gharika mojawapo...
5 Reactions
10 Replies
772 Views
Habari za Leo. Kwangu ni lazima kuoa Mwanamke wa Kaskazini au jamii zinazokaribiana Mila, desturi, falsafa na mitizamo kama ya Wanawake WA Kaskazini. Kuoa Mwanamke wa Kaskazini kwangu Sio...
22 Reactions
198 Replies
9K Views
Back
Top Bottom