Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Ebana wandugu, Kuna dada nimemtongoza akaniambia ni sawa amekubali lakini hataki mapenzi shatashata. Anasema kila mtu na mambo yake tuwepo kama hatupo. Yaani kwa kifupi anasema hataki kupendwa...
14 Reactions
37 Replies
3K Views
Kisa cha kweli, mwaka Jana katika kurupushani moja uku Singapore nikapata sehemu kuna mtandao wa wadada wanao fanya escort (hunters) nikasema ngoja nifanye research kuhusu suala ili. Nikagundua...
13 Reactions
108 Replies
15K Views
Ukitumia muda wako kufukuza vipepeo, wataruka na kuondoka. Lakini ikiwa unatumia muda wako kutengeneza bustani nzuri na ya kuvutia, vipepeo vitakuja na kujaa kwako Unapozingatia kujiboresha na...
23 Reactions
39 Replies
2K Views
Kuna wanaume wengi sana wamekua blackmailed na wanawake kwa mambo ya kijinga sana. Yaani wanaume wamekuwa mateka wa wanawake bila sababu za msingi . 1: kukuambia bila yeye hauwezi kwenda, hii...
11 Reactions
26 Replies
3K Views
Ni kwa muda mrefu kiasi gani unaweza kukaa bila mpenzi ama kutojihusihsa na mapenzi? Unafanya nini kistahimili mda mrefu?
18 Reactions
416 Replies
18K Views
Hili jambo ni janga kubwa kwa vijana wenzetu. Hasa mzigo unalalia kwa Mwanamke. Kwa uzoefu wangu wa mahusiano na mapenzi nimeona Single mothers wanapata shida kubwa sana kwenye jamii. Hawa...
38 Reactions
214 Replies
10K Views
Stori ipo hivi... Wikiendi fulani mwaka juzi mida ya saa11 jioni baada ya kushinda zangu home tangu asubuhi na kazi za usafi na mambo mengine ya home nikasogea zangu kwenye kiduka cha Mangi hapa...
28 Reactions
288 Replies
44K Views
Katika Maisha tunapitia mengi sanaa ila kuna mengine yanakuweka katika wakati mgumu hadi kufikia hatua ya kuona Mtihani huo ndio Mkubwa na haitokuja kutokea mwingine kuuzidi. Nilipita na mtoto...
91 Reactions
147 Replies
26K Views
Hivi sasa watafiti wengi wameonyesha kukubaliana na jambo hilo. Wanasema kwamba, wasichana wengi hubabaika na kufanya mambo yenye kuwaumiza kutokana na hofu kwamba, muda unakwenda haraka na...
5 Reactions
64 Replies
4K Views
Nikienda migahawani huwa naona wanaohudhuria kula kila siku migahawani ni wababa na vijana tena wenye ndoa zao, ni mara chache sana kukuta mdada anakula kila siku migahawani. Mimi ni bachela...
2 Reactions
41 Replies
4K Views
Habari zenu Mimi nipo dar kimaisha nahitaji mwanamke ambaye atakuwa mke wangu kama ataridhika na Mimi kwani nipo seriously na awe na umbo la kike na mnene. Tuwasiliàne Kwa namba 0713341651. Karibu
4 Reactions
42 Replies
1K Views
Ndugu zangu sijui kwenu wanawake mnawachukuliaje, au ndio mafundisho yenu yale kuwa wanawake wapo wengi hivyo mnawasaidia kwa kuwaoa kwa wingi? Hivi huwa mnawasaidia au ni tamaa zanu mwisho wa...
45 Reactions
163 Replies
10K Views
Nini tafsiri ya uchi? Ama nini tafsiri ya kukaa uchi? Uchi wa mwanamke ni kitu gani? Ama uchi wa Mwanaume ni kitu gani? Lakini kuna uchi wa mnyama, kuna uchi wa mbuzi kuna uchi wa mtoto...
12 Reactions
170 Replies
26K Views
Habari zenu Wakuu, Nimefanya kautafiti na nimegundua kuwa, sababu ya kupenda sana ngono huchangiwa na Kuangalia video za Porno. Unapoangalia Video hizo ubongo wako huwa unatoa vichocheo na...
9 Reactions
44 Replies
2K Views
#HABARI Polisi huko katika wilaya ya Ntungamo nchini Uganda, wanamshikilia mzee mmoja mwenye umri wa miaka 110 kwa tuhuma za kumuua mkewe mwenye umri wa miaka 109 kwa kosa la kumnyima unyumba...
7 Reactions
54 Replies
3K Views
Hi, Humu jf na nairaland vijana wengi tunasema hatujaoa coz hatuna hela, tunajitafta tupate hela ndo tuoe. Cha kushangaza kuna hii kitu nimeona haswa haswa sehemu ninayofanyia kazi, kijana wa...
13 Reactions
141 Replies
8K Views
Kuna ile tabia inapenya sana makazini especially zinapokutana gender mbili tofauti (me & ke). inatokea pale hao co-workers wanajaribu kuwa karibu zaidi kiurafiki hili kurahisisha utendaji wa kazi...
3 Reactions
5 Replies
536 Views
Habari za weekend wakuu... Binafsi tangu siku za nyuma nilijiwekea malengo ya kumuoa Binti ntakaemtoa bikra mwenyewe.... Tayari Lengo langu limetimia but Je?Ntawezaje kudumu nae na nifanye Nini...
2 Reactions
15 Replies
1K Views
Umewahi kuwaza hawa watu wana ugonjwa gani?? Umeshawahi kujua wengi wanaonunua wana ugonjwa wa kuangalia Porto I Jamaa ananunua mzigo..jmosi ananunua mzigoooo jpili anashindaa sikunzima...
1 Reactions
4 Replies
511 Views
Back
Top Bottom