Wakuu
Hivi una mke/girlfriend wako umemkubali kwakuwa mnaendana na mnapendana kwelikweli.
Kwa namna yoyote ikatokea ukagundua anachepuka na mwanaume mwingine akaomba msamaha na ukweli bado...
Hapo vipi?
Kuna miaka fulani hivi, limwanaume mmoja tahira bora angekuwa mti wa mapera..yaani yeye kuna demu sijui anampenda sijui ndio kulogwa.
Ipo hivi, kuna kuna siku huyo demu anampiga...
Binadamu siku zote hanaga shukran hivyo kama unampenda wee mpende tu tena mpe kila kitu ila hatutaki kelele baadae.
Wengi wamelizwa kwa kusubiri kutegemea SHUKRANI kutoka kwa wapenzi wao kutoka...
Ni dhahiri kuna baadhi ya watu hata ukiwastili vipi au kuwaheshimu vipi au kuwasaidia vipi ipo siku watukufanyia ubaya tu bila sababu ya msingi. Lakini hilo lisiwe ndio chachu ya kuwatendea...
Hili jambo la wanawake wenye mwonekano mzuri na umbo kukosa kuolewa na kuishia kuwa malaya lipo kiroho zaidi.
Kwanza ieleweke hivi sio wanawake wote wazuri hawana akili au ni Malaya Ila baadhi...
Nilikuwa nasikia jua likianza kuchowea kwa hawa wenzetu wanapatwa na kiwewe nilifikiri ni utani, ila kwa sasa nimethibitisha ni kweli.
Nina ushahidi wa wanawake 3 ambao nafahamiana nao wenye 26+...
Je, ni sawa au sio sawa?
Ni mkanganyiko wa tamaduni au tupo kwenye "right track"?
Toa maoni yako.
Samahani kama Dr. Mauki yupo huku na hatofurahia kuona picha yake huku.
Nyani Ngabu...
Kwanza hamna papara, pia huwa naenjoy kushika katumbo ka mwanaume kakiwa kadogo, pia hamnuki nuki kama wengine.
Pia mna mionekano fulani hivi, wooow!
Nzuri ni ukimpata sponsor mwenye ka kitambi...
Hongereni bodaboda kwa kazi nzuri ila leo niseme ukweli hapa ili mbadikike na mpige kazi kisawasawa.
Najua mna bembeleza kwa lengo la kuvutia biashara ila wengine wana bembeleza kwa lengo la...
Nimejaribu kuwaza sanaa
Nimejaribu kufuatilia vifo mbalimbali Tanzania na nchi jirani yaani ukisikia vifo vya guest 💯 ni wanaume
Nimewaza hizi guest zina nini na sisi??
Hivi majuzi tu padre...
Wakuu msaada
Hivi yale mambo mnapeana kwa ratiba (timetable) maalum mfano Jumatatu, Alhamis na Jumapili au mnavamiana muda & wakati wowote tu?
Masenior bachelor ruksa kuchukua notes
Salaam sana ndugu zangu.
Najua mahusiano ya sasa hela imewekwa mbele na hawa dada zetu kausha damu kama siyo roho ya mtu basi hela ipo mbele kwa mbele nasiyo vinginevyo.
Kwa mantiki hii ndugu...
Wanasayansi waelezea hatari za kifo cha ghafla wakati wa tendo la ndoa
3 Septemba 2021
Imeboreshwa 21 Januari 2023
CHANZO CHA PICHA,MALAYALAMEMAGAZINE.COM
Tendo la ndoa hufurahisha, na kadiri...
Wakuu,
Umri: 24 years
Wasiwasi wangu, nahitaji msaada wa kimawazo kwenye mambo haya.
Sijawahi kuwa na mpenzi hivyo sijawahi kufanya mapenzi, je nimechelewa au niko nje ya muda?
Niliambiwa mtu...
Katika harakati za maisha imekuwa na ukaribu na mwanasheria mmoja smart sana kijana. Bahati nzuri ana girl friend wake Tupo office Moja.
Yule girlfriend wake ni mwanamke anataka pesa. Ukiwa na...
Natumai mpo sawa ni hivi;
Kulegalega kwa mfumo dume kumeleta mabalaa mengi duniani na katika jamii zetu.
Kuwepo kwa single mother wengi, kukithiri kwa utoaji mimba, kuongezeka kwa wadada poa...
Kuna misemo ipo mingi ila mojawapo ni hii.
Karuka mkojo kakanyaga mavi, au ya leo afadhali ya jana, au asante mungu kwa kunishushia ule mzigo
Je, mahusiono yako yapo katika hali gani tofauti na...
Ni propaganda chafu iliyoanzwa kusambazwa zaidi miaka ya 2010s, kabla ya hapo masuala ya maumbile hayakuwa big deal kwenye mahusiano, miaka hio hata msamiati wa kibamia haukuwepo, kijana enzi hizo...
Kila unavyokuwa mkubwa unakutana na changamoto fulani na misukosuko ya maisha.
Kuna nyimbo za Mbosso nilikuwa nazipenda sasa siwezi zisikiza tena maana nikizisikiliza naanza kukumbuka nyakati...
Utangulizi
Ndoa hutengenezwa mwanzo. Muda ambao hamjazoeana sana jitahidi muoneshe mkeo we ni mtu wa aina gani kipi hupendi, kipi unapenda, kipi kinaweza vunja ndoa na kipi kinaweza jenga ndoa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.