Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Yaani pesa ni zangu, nazitafuta kwa jasho langu, eti jitu from nowhere linifokee kunilazimisha nizitumie pesa zangu ili kutimiza mahitaji yake! Aisee huyo labda sio mimi, vinginevyo nimerogwa...
19 Reactions
291 Replies
11K Views
1. Usiendekeze nyege sana ukataka kula kila mwanamke. 2. Usiendekeze nyege ukabaka watoto na kuwalawiti. 3. Usiendekeze nyege mpaka unasahau kuvaa condom kisa imesimama wewe unataka kuweka tu...
8 Reactions
12 Replies
2K Views
Kiukweli huyu Mama Mkwe ni mwisho wa reli. Ananibamiza haswa. Kabla ya ujio wake, nyumbani kwangu palikuwa swalama waswalamanta. Lakini tangu aje hapa pamegeuka kibiti, ananinyuka kama kifaranga...
9 Reactions
36 Replies
3K Views
Kuna msemo WA kataa ndoa ni msemo WA kioga kwa wAnaume Sababu kuu ya kataa ndoa ni. Éti Wanawake ni wapenda hela, wajeuri hawajatulia.n.k. Unakuta a man ni 29yrs anaogopa kuoa mwanamke mwenye...
29 Reactions
154 Replies
7K Views
Hili suala la kugandiana na mwanamke usiku wakati wa kulala kiukweli limenishinda maana nashindwa kabisa kupata usingizi. Nishazoea kila mtu alale upande wake tena kila mmoja na shuka yake...
73 Reactions
715 Replies
28K Views
Hi, ninavomaanisha platonic female friends namaanisha marafiki wa kike ambao sijawahi kuwatongoza, sijawahi kutembea nao, na sina mpango wa kuja kuwatongoza au kutembea nao. Utakuta nakutana na...
8 Reactions
65 Replies
3K Views
Kwako Mung Chris kipenzi cha moyo wangu na tiba ya maradhi yangu sugu. Ni siku, wiki, na hatimaye imetimu miezi mitatu tangu tuanze safari ya penzi letu tamu na lisilochuja hapa duniani...
38 Reactions
628 Replies
36K Views
Niliwahi pata binti wa kiislam kutoka urangini huko nikampenda sana, nikawa namhudumia zaidi ya mke wa ndoa maana bajeti yake kwa mwezi nilikuwa natumia zaidi ya laki 5 hadi 6. Ila ilipofika...
11 Reactions
26 Replies
2K Views
Kama kichwa cha habari kinavyo ainisha, wanawake wanajiona wao kuwa ni wajanja sana kiasi kwamba cha kutuona sisi ni wajinga wao na wenye uhitaji sana na wao. Sasa ni sababu zipi zinazopelekea...
2 Reactions
12 Replies
704 Views
Nampenda sana mke wangu, inshort ni mrembo sana na amejaaliwa kila kitu ambacho mwanaume anakitaka kwa mwanamke na nimezaa naye mtoto mmoja. Miezi mitatu iliyopita tulikuwa katika hali ya...
3 Reactions
14 Replies
2K Views
Jana nilihudhuria mazishi ya binamu yangu wa karibu. Binamu yangu huyu alilelewa na mama wakambo karibu maisha yake yote. Kilichonishangaza na kunisikitisha ni kuona kuwa mama yake wakambo...
3 Reactions
8 Replies
2K Views
Huyu ni wa kuowa kabisa, Katoka Kigamboni mpaka Kinyerezi ninapoishi Kwa nauli yake. Amenipa mchezo kaondoka kwenda home kwa nauli yake. Sio rahisi kwa miaka ya sasa kwa hawa Dada zetu wa tafuta...
34 Reactions
89 Replies
5K Views
Nini kinasababisha wanawake wengi wa Hii generation kuzaa kabla ya ndoa? Je ni, 1. Bahati mbaya 2. Kuona umri unaenda na hakuna muoaji 3. Kuona mwanume Ana potential so nizae ili mtoto aishi...
3 Reactions
12 Replies
910 Views
Nimejifunza vitu vikubwa sana kwenye mahusiano yangu mimi na mpenzi wangu...kwanza tu nikiri mimi ni mshamba wa mapenzi kwa sababu haya mahusiano hayana hata mwezi ila kwata nilizopigishwa ni...
14 Reactions
65 Replies
3K Views
Kuna tabia hii inaboa sana, mpo mbele ya umati halafu kajamaa kanatokeza na kujikuna sehemu zile nyeti. Tena ukimchunguza unamkuta hana habari kabisa, mpaka ahisi kuna wadau wanamshangaa ndio...
4 Reactions
26 Replies
1K Views
Usitumie face au finger kufungua simu yako, kwa kweli ukilala na simu ipo karibu ni rahisi kubukuliwa. Ni hilo tu,inawezekana unaulizwa masuali ambayo yametokana na viashiria vilivyoonekana...
3 Reactions
20 Replies
1K Views
Nipo apa dilemma nipo kazini mwenzangu ajira bado, kaniambia ili tufunge ndoa inabidi mshahara wangu tugawane pasu kwa pasu ndo anioe. Nipo tu nimebaki njia panda.
20 Reactions
178 Replies
6K Views
Hivi hili jambo linawezekana kutongoza kwa kutumia ishara na ukafanikiwa? Hapa sikusudii zile ishara sugu za papo kwa papo aka part time. Kuanzisha uhusiano wa kudumu na kufanikisha. Na hizo...
2 Reactions
7 Replies
667 Views
Mteja wangu kaniandikia ujumbe ufuatao:- "Kungwi nina mhumba wangu kakulia hapa hapa mjini, siyo mshamba wa mji. Lkn shule aliishia form 2D (nadhani unajua uwezo wa kiakili wa wanafunzi wanaowekwa...
0 Reactions
2 Replies
376 Views
Ndugu zangu wana Jf hakika huyu mwanake sijui kama ana majini au ni uoga wa kuzabuliwa mkuyenge. Katika mazingira nayopitia kwenye haya mahusiano , binti mpole, mzuri, mcheshi, mjanja mjanja na...
9 Reactions
47 Replies
4K Views
Back
Top Bottom