Huyu ni mrembo nilijuana naye yapata mwaka. Tulianza kama friends baadae nikaweka mtego wa kula kimasihara. Akanasa kwenye mtego na kunogewa. Akakolea hasa akawa anaifuata mali mwenyewe.
Kifupi...
Kumbuka hela ya mwezi December ndo itakuvusha mpaka January kwa ajili ya maandalizi ya watoto kuingia shule na ndo hiyo hiyo utahudumia siku kuu za mwezi huu na mwaka mpya
Na nikipindi cha zile...
Habari ndugu zangu..
Mimi kijana wenu nilimfukuzia binti niliyetokea kumpenda kwa muda wa miezi 8 (nane) tena kwa kadiri ni wezavyo na kwakutumia mbinu zote nikiamini mwanamke hawezi nitolea nje...
Nimefika Tabora mara kadhaa sambamba na hilo katika usomaji na ufuatiliaji wa threads za hapa jukwaani, nimebaini pasipo na shaka wala mawaa yoyote yale kuwa mkoa wa Tabora unaongoza kwenye tiba...
Wakuu habari za jioni.
Wakuu naomba kukiri mimi usingekua uhongaji labda ningekua namkaribia msukuma kwa mpunga lakini sijui ni pepo nimelogezewa la kuhonga ama namna gani.
Wakuu, inapokuja...
Wakuuu habari za usiku.
Moja kwa Moja twende kwenye maada. Mimi kwa upande wangu mapungu yafuatayo kutoka kwa mama watoto wangu nimekubali KUISHI NAYO.
1. Kutopokea simu.
Mke wa Mimi hapokei...
Unaume (Masculinity) ni kinyume cha uanamke (Feminity) na hivyo basi ili uonekane au uweze kukamilika then kuna vigezo au sifa kadhaa ambazo zinatakiwa kuonekana ili kuweza kudhihirika uwepo wake...
Najaribu kuacha lakini nashindwa kabisa na sioni furaha ya tendo bila kufanya hiki kitu.
Ipo hivi huwa sipati furaha ya kugegeda endapo sijavaa kichwani chupi/tyti ya mwanamke tunapokua faragha...
Najua tayari hili ni shari na ni heri nusu shari kuliko shari kamili, ni mbinu ipi nitumie mahusiano yetu yawe baina yetu bila kuingiliana kwenye biashara ?
Huyu binti wa dukani siwezi kumuoa...
Wadau katika hili naomba maoni yenu, the scenario is like this, nilikuwa na mchumba wangu ambaye tulidumu kwa miaka 5, na actually last year ndo nilitaka kumlipia mahari ili tufungue maisha mapya...
Kwa sasa inahitajika mbinu nyingi ili kupata mke au mume. Mkibaki kusubiri kuchumbiwa au kuchumbia, mtazeeka bika kuoa au kuolewa. Sasa jaribuni mbinu hizi:
1. Msikae ndani wiki nzima, toka nje...
Habari wanajamvi.!
Nina shemeji yangu amebahatika kupata mtoto wa 4 jana.
Watoto wote ni mabinti, inaonesha hakufurahishwa kabisa na matokeo hayo. Hata tabasamu lake usoni nikaona limepotea!! Hadi...
Wakuu nimwambie au nimyuti tu nisije nikalizua, kuna mtoto wa kike chumba Jirani na Mimi namzimikia kinoma naogopa kufikisha ujumbe kwakua ni nyumba moja na wife asije akajua ukawa ugomvi.
Au...
Nawasalimu.
Juzi bhana nilikuwa naelekea kijijini kwa ajili ya shughuli ya kilimo baada ya kujipa likizo ktk kazi yangu ya kuuza matunda mjini. Wakati nikiwa katika moja ya usafiri wa kwenda bush...
Hivi nifanyeje? Na ukizingatia nimetoa mahari kubwa na kuna kiasi bado na nadaiwa kule kwao na ukizingatia mwanamke mwenyewe ndiyo huyu yaani nilivyotegemea na niliyokutana nayo ni vitu viwili...
Wakuu mmepigaje hapo Leo...[emoji848]
Huku mambo ni takeu style tu.....
Mnakumbuka kuna kisa nilileta humu cha Binti mdogo ake na wife aliyekuja kwangu kujiendeleza ufundi na kutafuta maisha...
Moja ya sababu inayo niweka mbali na kuniondolea kichwani mwangu kabisa suala la Ndoa(kuoa).
Ni kwa namna nilivyo mimi binafsi, mtindo wangu wa maisha hauhitaji kuongezeka mtu mwengine atakae...
Nimefikiria kwa makini sana nimeona ni jambo sahihi kuoa binti wa kisabato, sababu ni zifuatazo;
1. Nitaokoa zaidi ya milioni 2 kwa mwaka kutoka kwenye hela za kuhudumia nywele. Milioni 2 ni kama...
Kazi iendelee! Tukiacha mahusiano yaani kuweka wazi wapenzi, taikon anafanana kitabia na Putin.
Nataka kusema nini? Nataka kusema kuwa kama Taikon haigizi na hii ndiyo tabia yake basi tujipige...
Wana jf na ndugu zangu wa MMU .
Kwa kweli mpenzi wangu sijui anashida gani yani kajipa umuhimu kwenye mali zangu, kazi yangu na hata kufikia pabaya kabisa kajiwekea umuhimu kwenye hela zangu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.