Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Habari wadau. Vijana wanasema talaka ya malaya ni makofi. Je wapo sahihi Nimeona tik tok vijana wanaimba na kucheza kwamba Talaka ya malaya ni makofi
3 Reactions
6 Replies
383 Views
Mke wangu alifiwa na wazazi wake wote wawili kwa ukimwi mkali ule wa zamani, hivyo akalelewa na baba yake mdogo tangu akiwa na miaka 8, darasa la pili. Wife alipofika darasa la saba alibakwa na...
29 Reactions
140 Replies
12K Views
Siku moja, wanangu watakapokuwa na umri wa kutosha kufahamu kile kinachomsukuma mzazi, nitawaambia.... Niliwapenda kiasi cha kuwasumbua kuhusu mlikokuwa mmeenda, watu mliokuwa nao na saa ngapi...
9 Reactions
25 Replies
1K Views
Siku hizi kumekuwa na wimbi kubwa la singo mama, wanawake ambao wapenzi wao wamewazalisha kisha wamewaacha, wengine wana mtoto mmoja, wawili mpaka watatu. Lakini pia siku hizi kumekuwa na vijana...
1 Reactions
1 Replies
534 Views
Hawa ni wale mnaishi pamoja kama mtu na mkewe lakn hamjafunga ndoa na sio hawa wa ingia toka (one night stand). Hawa bana ukishawabadilisha wawili watatu utaishia kuona hamna jipya chini ya jua...
0 Reactions
4 Replies
538 Views
Hili swali nimeamua kuwaletea Wadau humu Jukwaani, baada ya kujiuliza kwa muda Mrefu sana bila majibu. Je kwenye Mahusiano ya Nowdays , ,ni nani hasa anaweza kurejesha Mapenzi mubashara pale...
3 Reactions
20 Replies
1K Views
Habari zenu. Kiufupi, Kuna kitu kinanichanganya sana kuhusu maisha ya sisi vijana, haswa tuliopo kwenye age ya 20-30, nahisi kuna kitu hakipo sawa, either kwa upande wangu au kwa upande wa...
11 Reactions
49 Replies
3K Views
Wakuu mko poa lakini. Niwape story kdgo. Kuna demu nimefahamiana nae miez 4 nyuma,tulikutana sehemu moja hivi ikiwa ni katika harakati za kutafuta maisha na mambo kadha wa kadha ili maisha...
5 Reactions
19 Replies
1K Views
Habari zenu. Aisee kuna mwanamke nimeingia naye kwenye mahusiano nina kama week sasa kasha nitoboa pesa kibao, yani sijui kaniona nina pesa sana, akikaa kidogo lazima aje ofisini anitoboe pesa...
3 Reactions
26 Replies
1K Views
Mazee nataka mwanamke ambaye atasema tuanze chini kwenda juu. Nataka mwanamke ambaye wangu u jobless ata fuel up to the top. Nataka mwanamke ambaye atakuwa ananikera kwa kuitisha hizo cholo hadi...
6 Reactions
24 Replies
1K Views
Mambo 10 Mwanaume hutafundishwa popote 1. Kama upo naye simu yake inaita hapokei anaweka silence jikatae mapema 2. Kama upo na mahusiano na mdada simu yake ina password kila kona mpaka kwenye...
10 Reactions
54 Replies
2K Views
Habari za wakati huu Kusema tu ukweli mimi nitaoa single mother, mwanamke mwenye mtoto nikikosa bikira. Kwa sababu; ~ Mtamu sana. ~ Anajua kupenda. ~ Amekomaa kiakili. ~ Wapo makini sana...
24 Reactions
205 Replies
13K Views
Hajanikosea lolote Ila naona anahatarisha uhai wa ndoa yangu Nina nia ya dhati kuachana naye Ila sasa haya mahaba anayonipa sijui nitayapata wapi kwingineko Natokaje viongozi mbona kama...
6 Reactions
19 Replies
1K Views
Jamani WanaJF ushauri naombeni maoni yenu. I will be 27 by November niko na mtu anaenijali Sana Sana, he loves me kwakweli lakini eti mzazi wangu hususani baba hamtaki sababu ni muisilam na...
31 Reactions
272 Replies
9K Views
"Wakati niko chuo kuna manzi nlikua nae nilimpenda sana na nlkua na mipango nae mizuri tu tukimaliza kusoma tuwe pamoja. Siku moja nikamkuta yuko na rafiki zake wamekaa nkamwita pembeni nikaongea...
6 Reactions
44 Replies
4K Views
Wadada naomba mlishike hili, hakunaga mimba za bahati mbaya ama ajali. Biblia inasema Mungu alituumba kwa namna ya ajabu sana. Katika uumbaji huo alilenga kuzaana na kuongezeka ili kuijaza dunia...
7 Reactions
31 Replies
2K Views
Ongezea pia comments za watoto, ndugu wa upande wa wake na masulia pamoja na majirani. Jamaa angeupiga mwingi sana. Mtandao X wangempa blue ticks mpaka wakome. Halafu anatokea mtu katika zama...
4 Reactions
9 Replies
580 Views
Mke wangu ameniambia kuwa kuanzia leo nikichepuka nitakachokipata nisimlaumu sasa hapa sielewi nifanyaje ukizingatia kuwa nini mchepuko wangu ambaye kwakweli kumuacha ni ngumu. Je ananitisha au ni...
7 Reactions
81 Replies
13K Views
Mimi naamini kati ya mtihani mkubwa ambao mungu amewapa wanawake ni kusubiri atongozwe,maana yake ili kumpata unayemtaka inabidi utongozwe Sana vinginevyo inabidi ukubaliane na yoyte hata kama...
7 Reactions
80 Replies
4K Views
Nimemfuma mara ya kwanza akinisaliti kwakuwa sikuwa na udhibitisho nikamsamehe nimemfuma mara ya pili akichati na kuongea na michepuko nikamuonya leo mara ya tatu anadai ananipima kama kweli...
1 Reactions
17 Replies
899 Views
Back
Top Bottom