Habari wana JF,
Naimani mpo poa sana kama haupo poa basi mungu akutie nguvu urudi kwenye ubora wako.
Ujumbe huu nawatumia wote Wana-JF iwe Mwanasiasa, Daktari, Muuza Mkaa, tajiri na masikini na...
Mimi ni mtumishi wa idara X, lakini pia ni mjasiriamali, hapo nyuma mke wangu alikuwa anashinda ktk duka letu dogo lakini kwa sababu za kiafya (anasumbuliwa na maumivu ya Mara kwa Mara ya mgongo)...
Poleni na majukumu ya Kila siku, nimekuja kuomba ushauri hapa Jamii Forums sababu naamini humu kuna watu wenye uzoefu au washawahi kutokewa na scenario kama hii.
Nisiwachoshe, mimi ni kijana wa...
Mwanamke ni mwanamke tuu , hivi mwanaume unajisikia vipi kuona mwanaume mwezako anatembea kwa mguu na demu wake alafu unapaki gari na kumuita demu eti una maongezi nae. Je, huyo aliyekuanae sio...
Ila hawa wanawake tunaoa tu sababu hatuna wasaidizi ila of course wanaboa sana. Asione sms ya jinsi ya kike hata kama sio mbaya anakufokea.
Leo nilikua na safari town kununua mazaga ya familia...
Salaam sana.
1: Je, ni sahihi kumpa hela pamoja na matunzo mwanamke ambaye hujamuoa kabisa kwa kisingizio cha uchumba kuwa wanadai matunzo na vihela vidogo vidogo?
2: Je , ni halali kumpa...
Guys .
Inakuaje mtoto wa kike unakuwa na mwanaume mmoja kwa karne.
Kiukweli mapenzi yametutenda na yakatuumiza sana sana tumelia maumivu yameisha.
Hakuna mwanamke mwenye mwanamme mmoja kwa...
Habari wakuu
Wataalamu wa kutafsiri ndoto, nina swali kwenu. Je ndoto anazoota mtu mchana akiwa amelala zina ukweli wowote kama zile za usiku.
Maana kuna ndoto nimeota (nisingependa kuhadithia)...
KWANINI BINTI YANGU HAWEZI KUOLEWA NA MASIKINI KWA ELON MUSK.
Elon Musk anaelezea kwa nini binti yake hawezi kuolewa na mtu maskini.
Miaka michache iliyopita kulikuwa na kongamano nchini...
Katika miaka ya karibuni kumekuwa na upungufu mkubwa wa wanawake wazuri. Kwa sura, shape au mwonekano hasa mijini.
Pengine hii inatokana na mabadiliko ya tabia ya nchi na ukweli kwamba watu siku...
Starehe tunazipenda ila mwisho wake ni mbaya.
Kuna huyu bibie ni neighbor kitu nachompendea ni simu moja tu anakuwa ashafika mara nyingi simtafuti namtia block mpaka hali ikiwa mbaya namu unblock...
Nimefukuzwa na kupigwa makofi na mke wangu baada ya kukataa kumpa pesa za kununulia gari na na kumkataza kwenda kwenye kuhesabiwa huko kwao Machame aisee yaani sio poa kabisa
Mke wangu ni Mchaga...
Nilivyopata akili nilitamani kumjua baba yangu mzazi hapo nikiwa darasa la 5, baada ya kuona marafiki zangu wote wapo na wazazi wao wawili.
Nikafuata mama na kumliza juu ya habari ya baba yangu...
Mimi naamini mwanamke anaweza kukukataa kabisa na mkaendelea kushirikiana tena bila changamoto yeyote.
Fikiria mko ofisi moja ,mnafanya biashara pamoja,mnasali pamoja, mnasoma pamoja n.k.mtu...
Yaani huyu mwanamke sijui anataka nini kwangu. Tumeachana ila kaona haitoshi kamua kuniunganisha na watoa mikopo mtandaoni.
Sizijui hizi kampuni za mikopo mtandaoni jinsi zinavyofanya kazi zao...
Ndugu zangu wana Jf.
Kuna tabia ya wanawake kutupiga mikwara sana na kututishia kutuacha pindi tunapokua tunawapima kama ni wife material au laha hasha,
wamekua wakituambia haya kama njia za...
Ndoa n jambi jema sana.
Usikubali kuingia kwenye ndoa mmenuniana.
Yaani ile miezi ya mwanzo msipoonyrshana upendo kinachofwata n mazoea ya ndoa.
Jitahidi hata ukiact hii miezi ndio ya kula raha...
Kuna binti rafiki yangu kamuelewa anataka kwenda kwao kujitambulisha! Binti Mnyamwezi anaishi na wazazi wake hapa Dar!
Akiandaa laki 5 za kufunguliwa mlango/mkeka zinatosha au dharau?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.