Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Habari za weekend wadau, Jumatano nilishika simu ya mchumba wangu nikakuta msg kutoka kwa Binamu yake wakichati kimahaba sana wakiambiana maneno kama "sweetheart" my love" "nakupenda sana" hivi...
0 Reactions
13 Replies
4K Views
Wana Jamii Naomba Msaada Wa Mawazo Mke Wangu Hakuna Kitu Ambacho tunaweza Kuongea Tukaelewana Labda Niongee Kuhusu Chakula kizuri ndio tunaweza kuelewana Lakin Kuhusu Maendeleo Yetu Yeye Amekuwa...
4 Reactions
7 Replies
492 Views
Mimi nipo Dar kimakazi nahitaji mwanamke ambaye tuje yangeja maisha hadi ndoa na aliye tayari naomba tuwasiliàne Kwa namba 0754292989.
2 Reactions
15 Replies
651 Views
Hivi inawezekana vipi ukawa na Mwanamke mlevi? Haujui kuwa Kuna 100% za yeye kukusaliti akishalewa! Hata kama anakunywa chini ya uangalizi wako Kuna siku hautakuwepo atalewa na kuishia kukusaliti...
29 Reactions
145 Replies
7K Views
1: Ataendelea kuzini na wengine akipata nafasi. 2: Msingi wa ndoa utakuwa ni mashaka na kujishtukia. Msingi huo utaarika kurogwa na limbwata kwa mwenzi ili ajiongezee konfidensi. 3: Tendo la...
9 Reactions
42 Replies
2K Views
MADHARA YA KURUDIANA NA MPENZI WA ZAMANI: Kwa kawaida watu walioishi kwenye mahusiano wanajua mazuri na mabaya waliyokutana nayo, wanajua kila aina ya changamoto walizopita.. Uzito wa mapenzi...
9 Reactions
20 Replies
18K Views
Habari. Huu ni ujauzito wetu wa kwanza. Mimi na mpenzi wangu hatujawahi kupitia kipindi cha ujauzito kabla. Jamani shemeji yenu ana shauku sana. Ameshampenda huyu mtoto hata kabla hajazaliwa...
3 Reactions
53 Replies
2K Views
Ni siku ya leo nimekumbuka nikiwa kwenye mahusiano hapo miaka ya 2015 na binti moja mrembo, mapenzi yalinoga sana lakini baada yakuanza kuishi nae niliona mapungufu mengi sana, la kwanza kabisa...
10 Reactions
86 Replies
4K Views
Habari JF, Juzi nmekutana na kitu kizito kwa mchepuko. Baada ya kuniomba a download whatsapp GB katika simu yangu na kuanza kuchati baadae alipotoka akaniachia simu yangu bila kufuta. Ikaingia...
4 Reactions
16 Replies
1K Views
Nita-summarize mnooo, ili nisikuchoshe! Iko hivi; Walikutana chuoni (2008), first date ikapelekea mimba, mtoto alipozaliwa kutokana na mashaka mengi kwa jamaa akaamua kupima DNA, ikasoma...
7 Reactions
23 Replies
1K Views
Habari za asubuhi... nimeumia sana nilipojaribu kuvaa viatu vya watoto namna watakavyo feel baada ya kugundua kuwa uliwatilia mashaka na ukapima DNA. Wataumia sana... na mke wako atajisikiaje...
15 Reactions
82 Replies
4K Views
Kuna scenarios nyingi ambazo kwa mtu mwenye uelewa anaweza jiuliza bila ya kupata majibu. Mfano; 1. Unakuta mwanamke amezaa na mwanaume watoto 3 na wanaishi pamoja ila mwanamke analalamika kwamba...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Habari ndugu wanajf? Kuna mjadala uaendelea humu JF kuhusu single maza, wanaume kwa pamoja tumekubaliana HATUOI single maza. Turudi kwenu wanawake, hivi na nyinyi mkikuta mwanaume ana mtoto...
12 Reactions
133 Replies
5K Views
Habari za muda huu Wana jukwaaa. Tuhame kidogo kwenye migegedo tuje huku kwenye malezi. Sisi watoto wa kiswahili na uswahilini tulivyolelewa tunajua wenyewe (ukitoa wale wa mboga Saba) ukizingua...
2 Reactions
2 Replies
292 Views
Wazee tufundishane hapa! Kwenye maisha yetu Kama waume hii inatokea Mara nyingi tu. Mzee penzi limenoga kwa mchepuko, mara tu mimba hii hapa. Wengine wanakataa ujauzito na mahusiano yanakufa...
3 Reactions
13 Replies
1K Views
Pamoja na mambo yao yote ila kuna hili hapa limenikuta hadi naandika huu uzi. Sikatai kushea ila kwa hili sikubali jaman ...huyu dada ni classic ila kwenye moja na mbili nimemuona tunae kula nae...
8 Reactions
59 Replies
2K Views
Habari zenu Wakuu, Nimekuwa nikiona nyuzi nyingi sana za wanaume wenzangu wakifurahia Maex zao kuharibikiwa na maisha baada ya kuachana kwao. Nikajaribu kuchunguza na nikagundua kwamba, hao...
9 Reactions
11 Replies
939 Views
Nilimkuta huyu mwanamke akiwa katika hali duni sana ya kimaisha, sina nia mbaya ya kutangaza shida zake kwakuwa hakuna anaemjua ila nikisema hali ngumu namaanisha ngumu, yaani ile hata ya mlo...
107 Reactions
353 Replies
20K Views
Dah hii ishu ilinihuzunisha sana maana yule msichana nilimpenda sana ila ndio hivyo kazi ya mola Haina makosa. Inaniuma sana ila naona Bora jamaa hakumfaidi.
6 Reactions
39 Replies
4K Views
Wakuu mmebarikiwa sana Mimi ni Kijana wa miaka 48, ninaishi kwa amani na wazazi wangu maana me ndio mtoto wao wa mwisho, mwezi uliopita nilipata mwanamke kibahatibahati tu basi katika kunogesha...
46 Reactions
200 Replies
8K Views
Back
Top Bottom