Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Hii ni maalum kwenu wanaume wote(hasa vijana) msiowajua vyema wanawake walivyo. Wanawake hawaachi kufikiria. Kamwe hawazipi akili zao mapumziko. Na huwa wanafikiri kwa ndimi zao zinazozunguka...
4 Reactions
41 Replies
2K Views
Naomba nimjibu mdau kwa ufupi wanawake wengi tunavolichukulia hili swala Wanawake wengi naturaly tumeumbwa kwa roho ya huruma na kutunza familia. Pia tunapenda familia issetle kwa upendo na umoja...
14 Reactions
51 Replies
2K Views
Si maneno yangu bali ni maneno yaliyo katika wimbo wa Jimmy soul. Ukizungumzia hasara za kuoa mwanamke mzuri. If you want to be happy for the rest of your life Never make a pretty woman your wife...
4 Reactions
29 Replies
3K Views
Wengi hushangaa kwa nini kajikuta kaoa mwanamke mwenye heshima na adabu msomi lakini sio mzuri,hana umbile ambalo alitamani hapo mwanzo awe nalo mwanamke atakaemuoa. Wanaume wengi utawakuta...
20 Reactions
58 Replies
10K Views
Kwema Wakuu! Yaani unanisonya na kunipandisha na kunishusha kisa hilo wigi lako. Unachekesha sana. Mimi najua unakipilipili kikali sana. Hiyo Makeup yako iliyokuchonga sura na kuyafanya macho...
7 Reactions
15 Replies
628 Views
Wakaka wa kiislam dini inaruhusu ebu mjitahid kuoa wanawake wawili hadi wanne kupunguza ili janga la wadangaji na single mom. Wanaume mpo wachache na miongoni mwenu pia kuna mashoga
2 Reactions
7 Replies
625 Views
Bwana MAPESA amesema biashara yake imeshuka baada ya ndoa. Bwana MAPESA anamiliki maduka makubwa matatu ya biashara ambapo bidhaa za nyumbani na mahitaji mengine hutolewa, biashara ambayo...
3 Reactions
32 Replies
2K Views
Ushauri wangu wa leo ni kwa wanamume tu. Ndugu yangu mwanamke wa kileo Ukifika au akija getoni kwako chakufanya ni KUPANDISHA HISIA, Shusha MZIGO tembea Hio ndio iwe kauli mbiu yako. Sio...
20 Reactions
46 Replies
2K Views
Kuna aina ya watu kichwani hazichaji, ukiwana mahusiano na mtu wa aina hiyo we mchukulie kama sex toy hakuna la maana analoweza kukushauri nje ya 6x6[emoji3]. Ukiangalia na kwa upande wa wanawake...
7 Reactions
20 Replies
1K Views
Kwanza ni rahisi sana kuvunjika, kuvumiliana ni zero, kusameheana ni finyu mno. Migogoro na mafarakano kwenye familia hayaishi. Visasi na vinyongo kama vyote. Ndoa nyingi ni kama uwanja...
3 Reactions
17 Replies
1K Views
Ukiona ndoa ya mtu inaharibika? Inapumua na gesi halafu mmoja anajifanya ndio eti anaonewa . Halafu anakuja kwako eti nataka tuwe marafiki baadae tuoane tupate watoto aisee kimbia futi elfu moja...
18 Reactions
77 Replies
3K Views
Yani wazuri ni wengi sana ila ndo pasua kichwa, hasa mjini, warembo kila kona lakini ni nightmare. Vijana watabisha
7 Reactions
30 Replies
2K Views
Mwaka ndio huo unayoyoma shukrani kwa mwenyezi, ila na vimbwanga navyo havikosekani. Mwaka 2018 niliachana na wanawake wawili niliokuwa na mahusiano nao kipindi hiko, mmoja alipotea tu ghafla...
4 Reactions
14 Replies
795 Views
Hivi mwanaume unapataje ujasiri wa kulala kwenye nyumba or appartment ya girlfriend wako na isitoshe huchangii kodi? Tena unalala na kukoroma kabisaa? What if hapo analipa mwanaume mwenzako...
19 Reactions
47 Replies
3K Views
Hivi kwanini mtu akikataliwa ombi la kuwa wapenzi huwa anakata mawasiliano na yule muhusika?
13 Reactions
170 Replies
11K Views
Siku moja mwanamke alitoka nje ya nyumba na kuwaona wazee watatu wenye mvi kichwani wakiwa wamekaa nje ya nyumba yake. Hakuwatambua na wala hakuwa anawafahamu. Akawaambia, "nafikiri siwafahamu...
3 Reactions
5 Replies
5K Views
Siku zote pesa inatakiwa ikupe mahitaji ya msingi, ndio maana tunatumia nguvu nyingi katika kuzitafuta. Tunaamini na imethibitika, hatuwezi kuishi miaka 150; mara nyingi tumezidi sana tena kwa...
10 Reactions
66 Replies
2K Views
Nilianza mahusiano na dada fulani mwenye watoto wawili awali alinambia wameshatengana na mumewe na wanaishi nyumba moja kila mtu na chumba chake na kweli tulikua tukichat mpaka usiku wa manane...
16 Reactions
103 Replies
6K Views
sehemu ya 1 “hiyo mimba utailea mwenyewe…mimi sihitaji mtoto kwa sasa na hasa siwezi kuzaa na wewe” yalikuwa ni maneno ya Millard kwa Sarah. Millard na Sara ni waaafrika waliokutana Denmark kila...
3 Reactions
26 Replies
7K Views
Habari za ijumaa wadau. Niende moja kwa moja kwenye mada. Nina class mate wangu tupo karibu sana kama ndugu kwenye urafiki wetu. Sasa anachangamoto ya kimahusiano na mke wake ameniomba ushauri...
8 Reactions
40 Replies
4K Views
Back
Top Bottom