Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Sababu kubwa ni 2 tu. 1. Wanaume kwa asili huwa wanamtongoza mwanamke ambaye wanamuona ni mnyonge (ambaye hana sifa zote za uzuri) ili kuwa na uhakika wa kukubalwa. Wanaume huogopa kutongoza pisi...
11 Reactions
39 Replies
4K Views
Habarini Sijui kuandika sana kiufupi ipo hivi. Leo nilikuwa na mmoja wa rafiki zangu sasa wakati wa story za hapa na pale jamaa si ndo akanisimulia kuwa juzi alikuwa na pisi yake room kwa hiyo...
7 Reactions
91 Replies
4K Views
Huyu mzazi anaharibia watoto wake uzao alianza binti mdogo akapata bwana wakawaida tu huyu mama akamfukuza basi akaletewa tajiri tena wamadini akamfukuza akisema amekuja kumtoa sadaka na familia...
9 Reactions
23 Replies
1K Views
Hasa kuhusu wanawake na sababu ya wanaume kufa mapema ..
3 Reactions
8 Replies
529 Views
Ndugu zangu Mwenyezi Mungu mwingi wa huruma na rehema tunaomba utusamehe sisi wanadamu napia tunawaleta kwako ndugu zetu wa mkoani Manyara-Arusha wa kule hanang, Mungu endelea kuwa rehemu na...
1 Reactions
13 Replies
904 Views
Natarajia kuvuta jiko mapema mwakani matarajio yangu ni kuwa na ndoa yenye furaha na ambayo kifo pekee kitatutenganisha sio jambo jepesi ila ndio mipango niliyojiwekea na mwenzangu. Sasa katika...
12 Reactions
120 Replies
11K Views
Kama mwanaume ndio au miongoni mwa waliofanikiwa kwenye familia, usipokuwa makini utagombanishwa na mke wako. Dada zako watajifanya wana extra caring ya kumzidi mkeo + majungu kibao. Kuna muda ni...
5 Reactions
10 Replies
966 Views
Najua mtaona na wasumbua sana na kunichoka ila nahitaji matumaini ndani ya nafsi yangu . Sipo sawa kabisa nikiri mbele yenu. Nisaidieni mawazo nilikua na meza hadi amitrilia nimebadilishiwa na...
7 Reactions
68 Replies
3K Views
Unakuta kijana wa kiume yuko na wapenzi si chini ya wawili lakini haachi kujichukulia sheria mkononi (Kujichua) Je, ni kwamba anakua haridhiki anapofanya ngono na mwanamke wake au mwanaume wake...
4 Reactions
23 Replies
2K Views
Habari zenu, Kwanza ningependa kuipongeza Serikali yetu kwa kufungia wavuti (Websites) za ngono japo kuna watu wanaangali kwa VPN. Wakuu mkiangalia jamii yetu kwahivisasa inazidi kuporomoka...
12 Reactions
88 Replies
8K Views
Habar wana JF Nakerekwa na baadhi ya tabia za watu kuhisi wao ni perfect kuliko wenzao Inashangaza sana Watanzania, mtu yupo kwenye mtandao wa kijamii tena kwenye Jukwaa la Mahausiano na zaidi...
3 Reactions
15 Replies
813 Views
Kuna ex girlfriend wangu mmoja kwasasa tupo mikoa tofauti ingawa hakuna umbali sana katika ya mkoa aliopo yeye na mimi. Simuhitaji tena na ndio maana hata naweza nikakaa hata miezi mitatu au sita...
13 Reactions
189 Replies
8K Views
Habari ya maandilizi ya sikukuu, Kuna hii tabia ya mabinti tena wadogo kwenye early 20s wakipata tu vikazi hata iwe saluni au mgahawani wanakimbilia kupanga ili wajitegemee. Kusema kweli hii...
30 Reactions
134 Replies
6K Views
KAZI YA WANAUME – KUTAFUTA: Sehemu ya I Wanasayansi wanasema na ndivyo ilivyokusudiwa na Mungu. Mwanaume Adamu aliwekwa bustanini Edeni ailime na kuitunza (Mwa 2:15). Hata yeye na mkewe Hawa...
4 Reactions
15 Replies
1K Views
Wadau hii nimeisikia toka redio Times fm, kuna jamaa ametupia kama neno zito la leo! Wakati natafakari kuona kama kuna ukweli wowote, sijui ninyi mnasemaje wakuu?
0 Reactions
98 Replies
14K Views
Wakuu mulibwanji, huku mambo ni mwagalayoo. Kuna thread nliandika humu kuhusu mdogo wa mwanamke wangu, binti aliomba aje ajiendeleze ufundi kwamab kwao hana wa kumsaidia. Nikatuma nauli akaja...
2 Reactions
10 Replies
898 Views
Hizi mvua na hizi baridi baridi, sizielewi elewi kabisa, hii ni hatari kabisa kwa afya ya binadamu, hasa kwa wale wote walio singo; kwangu uzalendo umenishinda kabisa, naamua kufanya maamuzi...
4 Reactions
10 Replies
609 Views
Inafikirisha unapokuta mtoto anakosa heshima kwa dada anayemlea na kukaa naye nyumbani pale wazazi wanapokuwa kazini. Na mara nyingine mzazi anaona ni sawa tu na wala hamkemei mtoto wake kwa tabia...
8 Reactions
13 Replies
2K Views
Ukihitaji salamu nenda Tanga kwa waswahili,kwangu m-bara utaambulia pumba ukalishie vitimoto! Wanawake sijui nini kimewakumba masikini! Aisee nina mwanake wangu mmoja kigoli pisi kutoka pande...
4 Reactions
52 Replies
2K Views
WANA JAMVI HABARI ZENU! Ninachokiandika hapa ni ukwel 100% na imenitokea mm hapa mwenyew wala sio hadithi ya kusimuliwa na m2!! TUANZIE HAPA. Mnamo mwaka 2015 nilihitim elim yangu ya kidato cha...
12 Reactions
175 Replies
19K Views
Back
Top Bottom