Kila mtu na mapenzi yake apendayo.
Kila mtu na malengo yake kwenye mahusiano. Mwanaume kuwa na mwanamke zaidi ya mmoja ni jambo la kawaida, pia ni vyema afanye hivyo. Lakini inategemea maamuzi ya...
Ilikuwa siku mmoja nilikuwa kwenye mapenzi na kijana mmoja wa mwanza tulikutana ofisi fulani baada ya mazoea ya pale aliomba namba nikampa tukawa tunawasiliana kawawaid kila siku mpaka nikajikuta...
Habari zenu wana jamvi,natumaini mko salama salimini kwa kudra za muumba wetu.
kuna baadhi ya wanaume mishipa ya aibu ilishakatika kabisa ikabakia kwenye dushelele zao tu,kuna bi shostito mmoja...
Je, Mahusiano gani mtu anatakiwa kuwa na familia yake?
Kwa kutumia akili timamu mahusiano yote yanatakiwa kuwa kama ya mfanyabiashara na kanuni za biashara kwa maana yatushirikiane na watu kwa...
Ni matumaini yangu mmependelewa kuiona siku ya leo mkiwa na nguvu na matumaini mapya ktk maisha.
Kama mjuavyo hali ya maisha imepanda sana kiasi cha kuumiza vichwa vya watu wengi,hasa pale...
Walianza leta sababu za ukame na mabwawa kukauka,Leo hii mvua Hadi za mafuriko ila mgao is the worst,wikiend yote mmekata nkadhani leo jumatatu mtatuachie tufanye kazi Ili tulipe Kodi mueze...
Waache wazeeke kwa upendo uleule waliokulea nao.
Waruhusu waongee na wasimulie hadithi tena na tena kwa subira na shauku ile ile waliyokusikiliza ukiwa mtoto. Waache wawe washindi, kwani mara...
Wakati nahamia mtaani ninapoishi nikiwa na mke wangu na mtoto wangu wa miaka miwili nilimkuta jamaa jirani yangu nae anaishi na mkewe na mtoto wao mdogo wa mwaka miaka miwili hivi, wakati huo mke...
Ukweli huyu ninayemuita mke wangu, hatuna ndoa kamili ya kanisani, pamoja na kuishi miaka 8 na kubahatika watoto wawili (Miaka 7 na miaka 3).
Sasa msukumo wa ndoa umekuwa mkubwa sana kutoka pande...
Usiwe na maamuzi ya pupa kisa njaa unakula chochote unachokiona mezani hata kama hakifai.
Wapo watu wanaangukia katika mahusiano na mtu asiyesahihi au asiye chaguo lake toka moyoni kisa kujiona...
Huyu jirani yangu tunaheshimiana sana yaani katika watu safi hapa kitaa ni huyu jirani yangu, maisha safi Hana njaa na ni mtu tunapeana advice ya hapa na pale yaani Kwa kifupi jamaa ni mtu mmoja...
Habari wakuuu, ninaona jumapili inatupungia mkono magharibi inakaribia.
Dada wa rafiki yangu ninamuona kama dada yangu.
Twende kwenye mada
Huyu dada aliolewa na jamaa mmoja maarufu kwa jina...
Habari ndugu zangu..
Wanawake weupe hawana mvuto kabisa na wala hawana ladha hata kidogo kunako sita kwa sita.
kwa upande wangu mwanamke rangi ya andazi au mweusi wa asili anavutia sana nani...
Katika siku za hivi karibuni imekuwa ngumu sana kumfariji mpenzi wako pale anapokwambia hayuko sawa na ukimuona haumwi maana wengine huwa wameuziwa na wapenzi wao so asipokupa sababu genuine una...
Hapo vip!!
Kwawale ambao walikuwa hawafahamu kama mimi,ni hivi kuoa sio lazima.
Hivi hata Mungu wetu hajalazimisha watu waoa ila amekataza uzinzi,uwasherati n.k
Ninachoamini Furaha kubwa katika...
Wakuu mulibwanji?
Aisee hapa nlipohamia sasa nina miezi 8 nilikuta kuna mpangaji 1 na mwenye nyumba mimi nikawa mpangaji wa pili, huyu ndugu niliyemkuta alikuwa anaishi na mkewe na hawana mtoto...
Ibaki kuwa hivyo. Previous nilikuwa natongoza mabinti wabovu wabovu nikiamini kuwa wataona ni bahati kutongozwa, hivyo nitawapata kirahisi sana na hata mbususu nitakuwa napewa kwa kubembelezwa...
Wadau kwani nyie huwa mnatumia mbinu gani kuwakimbia wake zenu,maana mi huyu shemeji yenu anakaba hadi penati kila niendapo naye yupo huyu hapa kama mkia,nimejaribu kumtoroka mara kadhaa...
Kuna Guest House moja mbali na mtaani kwangu huwa napenda kwenda kufanyia tabia mbaya. Hii Guest ni imetulia sana, hata entrace zake ni rafiki kwa ajili ya wanachama wa ndoa zao
Imeibuka tabia...
Huwa siwaamini kabisa kwenye kila kitu sijui kwanini
Hasa hawa wanaovaa dela au kijora upande mmoja unashikiliwa na sidilia bega wazi ukifanya masihara UTI Sugu nje nje
Wengi huwa kama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.