Maisha ya sasa mwanaume na mwanamke ni maadui wakubwa sana tusitegemee tena mahusiano ya kimapenzi au ndoa kudumu.
Uhalisia ni kuwa maisha ya sasa yamejaa uadui mkubwa sana kati ya mwanamke na...
Habari zenu Wakuu,
Kwenye pitapita zangu Jf nikakutana na mdau akimshauri jamaa aliepigwa tukio na Mwanamke wake wa ndoa, na moja ya ushauri aliompa huyo alietendwa ni "PENDA KWA KIASI USIPENDE...
Dear friends!
Nimejiuliza muda mrefu Sana, na sipati muafaka.
Imekuwa hivi kwamba mwanamke hulalamikia matendo ya waume kwenye ndoa, ama mahusiano ya kawaida kimapenzi kuwa ni wenye ubinafsi...
Wakuu mulibwanji..
Huku mambo ni nainai tu.
Hapa nyumbani kwangu kuna mdogo wake na mwanamke wangu binti mkubwa tu wa miaka 23 sasa. Alikuja huku kwa lengo la kujiendeleza ufundi baada ya kukosa...
Kwenye pitapita zangu JF nikakukata na mshikaji analalamika kukuta emoj za kikubwa kwenye simu ya mkewe ambazo hajawahi kutumiwa na mke wake.
Kama unavyojua emoj unazozitumia sana ndio huwa...
Assalam mwana MMU, pole na majukumu ya kimaisha.
Niende moja kwa moja kwenye mada, mwaka 2015 baada ya kuhitimu elimu nilanza harakati zangu kitaa, nilitoka mkoa niliokulia na kuja kanda ya ziwa...
Wadau,
Nina bahati mbaya sana, huenda niache mchepuko nitulie tu sasa maana sijatulia vizuri kutokana na ule mkasa wa pink panther wa Jf, weekend iliyokwisha nilimuomba binti wa IFM outing...
Huyu dada nilikuwa nampenda Sana na kwa muonekano alikuwa ni wife material.
Licha ya kuwa nilimpenda na nimekuwa natoa hela ya matumizi Ila akawa ananipikia ugali na mboga za majani, yeye na...
Baada ya kumchunguza mke wangu Kwa muda mrefu nimegundua kazi za nyumbani yaani chores zinamchosha na kupelea kuwa na hasira zisizo na msingi mara Kwa mara.
Hivyo nimeanza utaratibu wa kufanya...
Ulishawahi kutoka na mwanamke wa mjini sister du fulani out? Akiletewa menu anaagiza nusu kuku na chips alafu anakula kiupaja kimoja na vichips kadhaa anajifuta na tishu kwa mikogo vingereza vingi...
Ni muda tena napokea taarifa kutoka kwa familia hii ya rafiki yangu kuhusu mkewe ila nimeshindwa kumshauri hebu, tusaidiane pamoja wana JF....
Mke wangu nimeshindwa kumuelewa yaani maisha yake...
Habari za Muda huu
Nipo na rafiki yangu, nimekua nikiona ana ratiba yake ya kupika na kuosha vyombo.
Watu huku wenzetu wanamapenzi ya kizungu yaani huyu rafiki yangu kila Jumapili huwa...
Barry it is exactly 12 days since you left, I told myself it is not true I am dreaming. I have been holding my tears but today I have failed. I am crying and I am going through your messages and...
Habari Za Muduu Wote Wana jamii forum
Nimeona Kumekuwapo Mijadala Mingi humu Kuhusiana na Suala zima la (SINGLE MOTHERS) Kwa tafsiri ya Mama aliyekimbiwa na baba wa mtoto japo single mothers...
Hellow habari za uzima wana jf,
Naombeni ushauri nifanye biashara gani ..Stori ni hivi mimi ni mama mama wa miaka28 ninawatoto wawili mmoja 3 na mwingine 2 nilikuwa naishi na uyu mwanaume ila...
Sina haja ya salamu maana nimefedheheshwa na kitendo nilichokiona leo.
Nilikua kwenye harakati zangu za kusaka maokoto mitaa ya Malimbe SAUT
Katika pita pita zangu lahaulaaa!! Namkuta njemba na...
Habari!
Kwa lengo la kuelimishana, ili kusudi palipo pazuri paendelezwe na palipo na dosari parekebishwe.
Ewe mwanamke, ni changamoto ipi ulikutana nayo ama unakutana nayo kutoka kwa wanaume...
Leo wewe yajue na ujiepushee..
1. Jiepushe na watu wasio na malengo na wasiojua kusudi lao la kuja duniani, watakupotezea muda na kukukatisha tamaa na hutojifunza kitu cha kukusaidia kwao.
2...
Yaani ile unahustle kiume, mchana kutwa jasho linakutiririka, mwanaume wa shoka unapambana na kazi ngumu ambayo inaweza hata kukuibulia vichomi vya mbavu, mgongo hata kiuno.
Yote hayo unajikaza...
Sijajua imetokea nchi gani nafikiri kati ya Congo au West Africa kule.
Afu Ex wake inasemekana alihudhuria kwenye ndoa.
Nguo za zamani hazitupwi.
Cha kushangaza mbona ex wake hakumchumbia😳😳😳...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.