Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Aisee, haya mambo tuliyasikia huko Ulaya, lakini nowdays si ajabu kuyakuta Afrika. Inasikitisha sana, huu ni zaidi ya mmomonyoko wa maadili
10 Reactions
78 Replies
7K Views
Nimeishi na muathilika ambaye ni mwenza wangu ambaye naweza kusema ni mke wangu sababu nimeishi naye zaidi ya mwaka mmoja lakini kwa muda huo wote alikuwa akinificha kuwa yeye ni muathilika...
28 Reactions
123 Replies
11K Views
Mwanamke akitulizwa anatulia mf. Hai ni zari ,zari alikuwa anadate na kila mtu kila mtu,hadi akaitwa shangingi ila leo shaby wake amemtuliza zari hasikiki kama yupo. Katulizwa tuli anapewa huba...
6 Reactions
20 Replies
1K Views
Napitia Mamiuvu makali sana kwenye moyo, akili na roho Nisiseme mengi. Tuko kwenye mahusiano ya kimapenzi, japo si ya wazi. Imebaki kuwa siri yangu mimi na yeye. Yuko na room yake (ni single...
8 Reactions
39 Replies
2K Views
Hapo vip!! Katika uchunguzi wangu nimegundua mke mdogo katika familia ananguvu sana na anaogopeka sana na wanawake wengine pamoja na watoto wao. Na kama mwanamke wako anakusumbua na hakuheshimu...
1 Reactions
9 Replies
620 Views
MMU family, happy blue Monday y'all. Ni ukweli usiopingika kuwa dunia imebadilika sana, vijana wa miaka ya 80-90 ni tofauti na wa miaka ya '00-'20, changamoto zimekuwa nyingi, hasa swala la...
24 Reactions
184 Replies
17K Views
SEX IS NO MORE AN ISSUE, KNOW HOW TO HANDLE YOUR MAN. Leo katika pitapita zangu nimekutana na wadada fulani hivi wanapiga story. Mmoja nilisoma nae sekondari lakini hatukuwahi kuonana tangu siku...
12 Reactions
37 Replies
2K Views
Habari zenu Wakuu, Nimekuwa naona wanawake wengi waliozalia nyumbani wakilalamika kuwa sisi wanaume ndio sababu ya wao kuwa single Mother, wengine wanasema "Kwani mimba tulijibebesha wenyewe" n.k...
13 Reactions
62 Replies
2K Views
Haya twende kazi - Mmetoka zenu matembezini uko mnaingia kunako 6*6 mtu anang'ang'aniza mparamiane hivihivi na majasho mwilini bila hata kuosha mwili kwanza. - Anapenda kula denda ila sasa hiyo...
33 Reactions
265 Replies
14K Views
Hivi kwa mfano nimemua ni mchumbie mchumba wa kizungu mwenye maisha ya kawaida nawezaje kumpata? Namzungumzia mwenye utayari wa kuishi hapahapa Tanzania na kuendena angalau kidogo na taratibu za...
2 Reactions
149 Replies
47K Views
Mamboz. Kiukweli nashukuru Mungu kwa kuniumba mzuri na kunipa na shape. Nimepata maisha connection na vingi kupitia huu uzuri wangu mie. Kuna yeyote uzuri umekusaidia ?
7 Reactions
101 Replies
4K Views
1. Mwanamke mwenye mume mchepukaji. Kesi za uchepukaji za mume za mara kwa mara humtengua mke kwenye msimamo wake wa kulinda heshima ya ndoa yake. 2. Mwanamke asiyepata mtoto katika ndoa yake...
15 Reactions
82 Replies
6K Views
Jana nimeenda kununua nikakuta inauzwa 1000 nimeludi bila kugeuka jamn twambiane ni kwann zimepanda bei
7 Reactions
115 Replies
8K Views
Salaaam vijana wenzangu. Naomba mnisaidie kijana mwenzenu miaka 25 nataka nitoke kwenye hii hali ya U single nimeuchoka, Hivi mnapata wapi wapenzi serious yaani yule mwenzi wa kuwa naye maisha na...
19 Reactions
206 Replies
9K Views
Wanaume wanao wakataa watoto damu zao walio wazaa kabla ya ndoa au nje ya ndoa Kuna kitu wanakijua ambacho sisi viherehere tunao wakubali Na kuwalea watoto wa nje/kabla ya ndoa hatukijui. Please...
5 Reactions
19 Replies
2K Views
Mabinti wa Kigalatia kuna cha kujifunza kutoka kwa wenzao hawa maana kwa wastani ni nadra kukuta hawako vizuri kwenye eneo hilo. Ila huu upande wa pili daah! Safari bado mbichi (in mc...
19 Reactions
54 Replies
3K Views
NITAGAWANA MALI 50/50 NA MKE WANGU. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Mali hazikuwa na kamwe hazitakuwa kipaombele changu. Sio mimi tuu bali Watibeli wote. Ikiwa ni mke wangu. Ambaye naye ni...
2 Reactions
11 Replies
930 Views
Kuna thread humu ndani inahusu habari ya dalili ya mwanamke aliyetoka kuchepuka.Hii imenipa ujasiri wa kuuliza swali ambalo limekuwa linanisumbua siku nyingi. I am not naive when it comes to...
4 Reactions
85 Replies
82K Views
Kama mtu haujawahi kukutana nae uso kwa uso usijiaminishe kwamba unamjua. Wewe unamjua kwa namna ambayo ametaka wewe umjue na asilimia nyingi huyo unayemjua ni mtu ambaye ni wa kisadikika hayupo...
13 Reactions
63 Replies
3K Views
Naomba nisaidie, sijui nafanya nini Kaka, mtoto wangu ni mbaya, ana miaka miwili halafu ni wa kike, yaani kafanana na baba yake kila kitu, mpaka naona aibu hata marafiki zangu kuja kunisalimia...
9 Reactions
58 Replies
3K Views
Back
Top Bottom