Mahari iwe walau laki 5, gharama za sherehe ni sehemu ya mahari itayogharamiwa na upande wa binti.
Binti hatongozi, ni sisi ndio wenye uwezo na kauli hio ya kuanza mahusiano, Na hata tukiingia...
Ama kweli kua uyaone,nilijuwa magorofa.
Ni siku ya pili leo hii tunakula milo miwili baada yamambo yangu kukwama kidogo. Hanipi unyumba na hanijibu kwachochote.ingawa milo tunakula ni miwili,ila...
Habari wakuu?
Kuna binti nipo nae kwenye mahusiano kwa miezi sita sasa. Nilikutana nae kwenye mgahawa mmoja nilipokuwa naenda kupata chakula. Mimi bado sijaoa na sina familia maisha yangu mengi...
MONEY IS NO MORE AN ISSUE, KNOW HOW TO HANDLE YOUR WOMAN.
Leo sikwenda kazini, nikaona nipitepite mtaani kwetu nipige story na marafiki. Nilifika kijiwe kimoja cha bodaboda nikakuta ubishani...
Kasumba ya mabinti wengi wa kileo ni kutaka kuishi maisha ya kujiachia ila at the same time kuwa na ule ulinzi wa kijamii anaopewa mwanamke.
Mfano, leo mabinti wengi wanataka wasiolewe ila wazae...
Back in a day ilikuwa unaweza kuwa kimawasiliano na binti hata mwaka mzima mkibadilishana taarifa mdogo mdogo mean while mkitoka out ya matembezi, au kuhang pamoja uwanja wa mpira, Beach...
MWANAMKE USIACHE KUSOMA HILI
Ni hakikisho la uhai wa mahusiano yako ni dawa ya NACHUJA.Ukitumia hii dawa;
1.Hautaumizwa tena(Mwanaume wako hatakua na mda na mwanamke mwingine zaidi yako.)...
Habari ndugu zangu nawasalimia[emoji112][emoji112]
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu. Ipo ivi nimepata mchumba kibint kidogo ila pia nimefanya utafiti wangu kuhusu familia yake...
Wakuu nawasalimu!
Moja Kwa moja naandika.
Nilizaa na dada mwaka 2006 kama sikosei, nikiwa na ndoa, mke wangu alijua yakaisha. Nilitunza mtoto na kulipa huduma ila baadaye tukagombana tukatulia...
Nilikua na mahusiano na binti, tulikua wadogo yeye O level mimi advance, alinipenda kwa dhati ila mimi nikiri sikua najua maana ya upendo na maumivu yake, nilipomaliza advance nilimuacha tu bila...
Back then nipo kwa bro alikuwa na huyo manzi yake beautiful, educated, ana kazi yake (kazi kapuni) and of course alikuwa na characters za wife material.
Akija pale kwa bro atapika, amfulie nguo...
Aliyesema tuishi na mwanamke kwa akili hakukosea, Hawa viumbe wana mbinu nyingi za kivita Leo nawaletea hii moja iko hivii
Kuna mbinu imezuka mtu anakutembelea akitoka anaacha chochote, Hereni...
Za weekend?
Hivi mwanaume timamu kabisa mke wako kagombana huko na wanawake wenzake halafu wewe unaenda kuingilia ugomvi na kuanza kusutana na wanawake?
Kwanza mwanaume unatoa wapi ujasiri wa...
1st of all niwashukuru nyoote mliofunguka maoni yenu, truth of all yanatia hamasa na kidogo mtu unapata mwangaza wa kuthubutu
Nimefikia hatua nimeafiki biashara ya kutembeza mchanganyiko wa...
Ni pale unakua na mwanamke unae mpenda sana na kumuamini sana.
Yaani hakuna jambo lililo ndani ya uwezo wako ushindwe kumfanyia.
Inafikia demu wako hata chumvini unazama bila shida na siku...
Yani ile siku hata nikiona text isiyoelewaka katika simu yake nisipanic, nimuulize tu nani huyu? asiponipa majibu yakueleweka hata isiniumize kichwa nilale kwa amani kabisa asubuhi niamke niende...
Mpenzi wngu nialike kwenye harusi yako. Kama ukitaka naeza kua shaidi yako pia. Haikuandikwa mbinguni tuwe pamoja lakini naeza fanya kila kitu ili tu ue na furaha. Furaha yako ni ktu muhim sana...
Ndugu wana Jf tunaomba mtuombee sisi wa kosefu.Amina
MAJUKUMU MAKUU YA MWANAUME HAPA DUNIANI*
1: KUTAWALA (uongozi wa viumbe hai na wasio hai wenye mwili na wasio na mwili kwa namna zake)
2...
Kila ndoa ina changamoto zake,
na maana halisi ya ndoa ni ule uwezo wa wana ndoa kuvumiliana katika changamoto hizo. Kuna changamoto za kimungu ambazo wana ndoa hawawezi kuziepuka.
lakini kuna...
Wakuu tupeane abc maana sifurahii maisha haya na sometimes dhamiri yani inanisuta kwanini nimechagua njia hii.
Kwa wasiojua maana ya anasa ni vitu vyote visivyo na ulazima unavyoweza kuvifikiria...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.