Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
AIBU Kama kawaida mzee wa visa nakuletea kisa kingine iki apa twende sawa. Dada naomba nipeleke huko kwa wamama kuna aibu imenipata nilikuwa ukweni yani nilienda kwa mara ya kwanza na nilifika...
15 Reactions
44 Replies
3K Views
Hii ni sentensi yangu, imejaa Falsafa. Naona wengi wanfuta wakat wengine wanaendelea kuona ulichofuta. Binafsi naona madam umeandika usifute. Acha uko sahihi. Kinaacha wengi tunaandika...
12 Reactions
177 Replies
9K Views
kwanza Namshukuru Mungu kwa sikuu hii tukufu ya leo kwa kutujalia kupata baby boy, hakika yeye ni Muweza 🙏 Pili nipende kutoa pongezi zangu za dhati kwa members wote wa JF mlionipatia ushauri...
3 Reactions
19 Replies
804 Views
Salamu kwenu, hili liwe fundisho kwa wote wanaume na wanawake kuwa Mwanamke hajaribiwi kwa hela 🤣🤣
11 Reactions
41 Replies
3K Views
Wanawake haijalishi awe kicheche au awe wife materials Hawa wote jicho lao moyo na nafsi wanaomba kwa Mungu na Shetani ili wampate mwanume mwenye vigezo hivi Mpole ambaye haongei Sana Msafi wa...
13 Reactions
79 Replies
6K Views
Wakuu natumai wazima wa afya, poleni na majukumu. Nije direct kama mada inavyo jieleza, mara nyingi nimekua nikishuhudia hafra ya kuvisha pete ya uchuma mwanaume kupiga goti chini tofauti na pete...
6 Reactions
107 Replies
10K Views
Kuna mwanamke ambaye tayari nimeshamuwekea mahari lakini bado yupo kwao. Kulingana na mila za ukoo wao ukioa katika ukoo wao kabla ya wewe kumchukuwa mke wako lazima familia Yao wa kutane wacheze...
7 Reactions
37 Replies
2K Views
Ex girlfriend wangu aliolewa miaka mitatu nyuma, tena aliniacha kwa kuniumiza moyo kuwa mimi sina hela wa maisha. Kasikia kuwa kesho naoa, leo kasema ataniletea mchango wake 1mil. Tumekubaliana...
10 Reactions
56 Replies
5K Views
Ndugu zangu wana jf najua nyie ni wataalamu wakuyasoma matendo ya mtu na kutoa ushauri sahihi. Wakuu nataka kuishi na huyu mwanamke kama mke wangu ila ananitatiza kidogo msomeni tabia yake alafu...
16 Reactions
99 Replies
4K Views
Hivi Mumeo au mkeo akikupiga kofi mbele ya umati wa watu Unafanya je wewe kama mke au mume bora?
2 Reactions
46 Replies
2K Views
Mwanamke wa Dar ni muongo. Akijua tu kudanganya basi hiyo imekula kwako. Atakuwa na sura mbaya, atakudanganya na urembo. Atakuwa mweusi tiii atakudanganya na mkorogo. Atakuwa na tabia mbaya...
2 Reactions
61 Replies
7K Views
Ndoa yetu imeunganishwa na wazazi, mwenza wangu hakuwahi kujihusisha na mapenzi, nimempita miaka 10, na tumefunga ndoa baada ya kumaliza kidato cha sita. Shida ni kuwa yuko so hype na sex, mimi...
63 Reactions
255 Replies
14K Views
Bila kupoteza muda niende moja kwa moja kwenye maada. Mapenzi yana nguvu sana pale unapopenda kisawasawa unaweza tembea umbali mrefu kufuata penzi bila kujali umbali, gharama zozote ili mradi...
11 Reactions
337 Replies
30K Views
Wife yuko mkoani kwa ajili ya kujifungua. Tuliamua aende huko kwa kuwa ni uzazi wake wa kwanza na hapa mjini hatuna ndugu wa kuweza kusaidia mambo ya kumkanda, kumpikia na huduma nyingine kwa mama...
16 Reactions
249 Replies
26K Views
Kila mtu anapenda sifa (kusifiwa), si wanawake pekee wanaopenda kusifiwa isipokuwa tofauti yao na sisi ni reaction baada ya kusifiwa au kutosifiwa; Mfano, Mwanaume ukimsifia kwakitu fulani...
3 Reactions
29 Replies
1K Views
Kama mwalimu ambae ninakutana na watoto wengi kutoka katika 'background' tofauti tofauti, naomba niseme watoto wanaolelewa na mzazi mmoja hususani mama (single mother) ni jipu kubwa ambalo...
3 Reactions
1 Replies
750 Views
Eti Wanawake wafupi ndiyo watu wenye uvumilivu kwenye mahusiano na wanajuwa kupenda kweli?
9 Reactions
247 Replies
5K Views
Ebu jaribu kuvuta picha, upo kwenye bustani ambayo wewe ndiye mlinzi na mtawala. Bustani ambayo, simba na wanyama wote wanakutii, wanaitikia uwaitapo kwa sababu wewe ndiye sababu ya wao kupata...
15 Reactions
38 Replies
3K Views
Wapendwa, Kumeibuka kasumba na tabia isiyo ya kiungwana ya kuchepuka nje ya ndoa au uchumba hivi sasa. Na inaonekana sasa jambo hili ni kama la kawaida tu. Hapana. Si sawa hata kidogo. Tabia...
14 Reactions
51 Replies
2K Views
Nawachukia wanaume. Wanaume wa sikuizi wengi wao. Hawana mapenzi ya dhati. Wameacha kutujali kama zamnai. Hawatusikilizi. Wanatudharau. Kiukweli nawachukia tu
5 Reactions
53 Replies
2K Views
Back
Top Bottom