Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Inauma na kusikitisha sana pale ninapomuona mwanamke tena mke wa mtu akinywa pombe mbaya zaidi akishinda Bar au night clubs akinywa. Ukiona hivyo my bro jua tu, unachapiwa, sehemu hizo ni mbaya...
42 Reactions
135 Replies
17K Views
Habari wakuu, Kuna single mama mmoja alikuwa na mahusiano na mtoto wa kishua. Akajiachia mwenyewe, sijui kutegesha mimba ikaingia ili aolewe . Kama ilivyo kuzaa sio kuolewa yule mtoto wa kishua...
2 Reactions
27 Replies
2K Views
Mambo zenu wananzengo, Eee bana nilikuwa kwenye mahusiano na mdada mmoja kwa muda wa miaka minne ambayo leo tarehe 13 November 2023 majira ya saa 4 usiku nimevunja rasmi baada ya kujiridhisha...
56 Reactions
313 Replies
15K Views
Kuna rafiki zangu tulikuwa tunashibana sana, tulikuwa tunasaidiana kwa hali na mali, lakini baada ya wao kuoa tu, mambo yakawa tofauti! Rafiki zangu vipii!😅 Simu tu siku hizi hautupigiani
12 Reactions
153 Replies
6K Views
Za leo wakuu, Nafikiria kupeleka hoja binafsi bungeni, ili kwa pamoja Bunge liazimie na hatimaye kuwe na sheria ya mke mmoja tu. Sababu ni 1. Kupunguza maambukizi ya virus vya UKIMWI 2...
1 Reactions
9 Replies
482 Views
Wasalaam, Iko ivi mi ni kijana kati ya 30 to 35yrs old, Nimekua kwenye mahusiano mbali mbali kwa wanawake wasio pungua 13... Nikijana ambaye bado najitafuta, kuhonga siwezi ila matumizi ya...
4 Reactions
62 Replies
3K Views
Kutokana na mmomonyoko wa maadili kwenye jamii baadhi ya wanaume kuwa na mahusiano ya kimapenzi na wamama kisha anakuwa na mahusiano ya kimapenzi na binti wa mama Swali je wewe mama ukigundua na...
2 Reactions
34 Replies
1K Views
Hii ni mada nyeti, tatanishi na yenye hisia kali. Soma ielewe na changia kistaarabu. Baada ya kupitia tafiti za hivi karibuni zilizotangazwa na kituo cha kupima DNA ambao walitangaza kuwa...
28 Reactions
380 Replies
30K Views
Leo naomba niwashauri vijana tuachane na tabia ya kupenda kuangalia video za ngono ni hatari Sana kwani zinasababisha tatizo la upungufu wa nguvu za kiume. Siku hizi vijana wengi Wana matatizo...
22 Reactions
42 Replies
5K Views
Natatua case kati ya marafiki zangu wawili; wote ni wanaume na best friends since primary kabla hata sijakutana nao; sasa Rafiki A alikuwa ana kazi sehemu fulan kubwa na alimuahidi Rafiki B kwa...
0 Reactions
0 Replies
266 Views
kuna msichana mmoja anaitwa Valentina alimpenda sana kijana mmoja anaeitwa mshana jr mahusiano yao yalidumu kwa muda mrefu sana na kila mtu alipenda sana kuwaona mshana jr na Valentina jinsi...
16 Reactions
59 Replies
11K Views
Habari. Kupitia kisa cha samasoni na delila je nyie mmejifunza nini kuhusu hawa wanawake muwapo nao kwenye mahusiano.? Mimi naona 1: KATAA NDOA , NDOA NI JEHANAMU YA MOTO KWA MWANAUME 2...
1 Reactions
3 Replies
431 Views
Habari wanajamvi, mniwie radhi kwa swali la kizushi na la umbea ninalokwenda kuwauliza. "Umekula nini leo? Na unajifeel aje baada ya kupata hicho chochote kitu? Nani kapika, shemeji yetu ama...
3 Reactions
30 Replies
1K Views
PAKA WAKO UKIMNYIMA CHAKULA ATAENDA KULA KWA JIRANI. Sina shaka kuwa unawafahamu PAKA, kama hujawai kufuga, basi hata kwa jirani zako ushawahi kuwaona. PAKA ni miongoni mwa wanyama wa kufugwa...
4 Reactions
8 Replies
756 Views
Inafahamika kuwa ndoa ni kitovu cha malezi na makuzi bora katika jamii yoyote duniani. Nje ya ndoa mtu wa aina yoyote anaweza kuzalishwa, mzuri au mbaya, japo mara nyingi uwezekano mkubwa ni...
1 Reactions
38 Replies
1K Views
Niwafungue macho wadau wa kukata mbuga angani hasa safari za Asia mahususi nchi maarufu kwa kila aina ya vituko vya shetani. Loveness Tarimo huyu wa kibongo ni ladyboy wa kitanzania na hao wapo...
5 Reactions
54 Replies
5K Views
Pengine hii ndio sababu kuu ya wake na waume kuchepuka nimejaribu kuwaza mfano umekaa na mume au mke wako kwa miaka kumi na kuendelea ndani ya kipindi hicho chote mmekua mkilala kitanda kimoja...
9 Reactions
22 Replies
2K Views
Si vema kila unapompa mtoto jina ukatoa like kila anapokuwa linaitwa. Kwa mfano Frank, Frank, Frank, Frank Yaani jina linaitwa watoto wengii sio poa. Au Anna Anna kila sehem Anna
2 Reactions
3 Replies
527 Views
1. Sherehe ya Harusi ni ya siku moja tu, na Ndoa ni ya maisha yote. 2. Mwanamume/Mwanamke aliyezoea kuchepuka kabla ya Ndoa, ataendelea kuchepuka hata baada ya Ndoa. 3. Upole na ukimya si...
24 Reactions
22 Replies
4K Views
Ndugu zanguni, mkiniona nimekuwa sugu la mapenzi kiasi hiki, jueni tu nimepitia mianzi ya kila kiwango. Nipende tu kusema haya mapenzi hayana mwenyewe. Enzi zile nilipokuwa napata taarifa ya...
11 Reactions
22 Replies
1K Views
Back
Top Bottom