Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Elimu ni bahari haina mwisho, Leo nawapa darasa la kibailojia linalotoa elimu kuhusu njia ya kufahamu ukubwa wa maumbile ya mwanaume Pindi nikiwa nasoma boarding kuna rafiki alikuwa anapenda sana...
4 Reactions
22 Replies
3K Views
Habari zenu Wakuu, Kwenye maisha ukiona kuna jambo unaambiwa na watu wengi ulifanye basi fanya uchunguzi kwanza huenda hao watu wanataka kukuingiza KING ili nawewe upate cha mtema kuni kama wao...
5 Reactions
3 Replies
448 Views
Nawasalimu ndugu zangu. Nimekuja hapa kuuliza kwanini binadamu wa sasa mnauchungu sana na vijana ambao hawataki kuoa. Ni kwanini basi wadada ukiona kijana hataki kuoa unachukia kwani ni lazima...
13 Reactions
83 Replies
4K Views
USIPOKUWA MWANAUME WA MAANA MKEO HAWEZI KUBALI KUITWA KWA MAJINA YAKO. Anàandika, Robert Heriel Mtibeli. Moja ya dalili kuwa wewe sio mwanaume aliyefanikiwa ni pamoja na kuangalia kama mkeo...
10 Reactions
46 Replies
2K Views
Je, una tatizo la nguvu za kiume? Je, unahisi kama libido yako imepungua? Ikiwa NDIO, basi unaweza shangaa kwamba baridi inaweza kuwa suluhisho lako Utafiti umeonyesha kwamba joto la chini...
1 Reactions
0 Replies
379 Views
***VEROSSA*** Inside a Verossa you'd think it’s some sleek automobile There she lost her virginity, her dignity and her guile, Inside a Verossa, she hopped in a lift home There she was...
55 Reactions
2K Replies
89K Views
Kila mtu anapenda sifa (kusifiwa), si wanawake pekee wanaopenda kusifiwa isipokuwa tofauti yao na sisi ni reaction baada ya kusifiwa au kutosifiwa. Mfano, Mwanaume ukimsifia kwakitu fulani...
3 Reactions
1 Replies
289 Views
Jirani yangu kafikwa na mkasa wa kuhuzunisha. Mkewe alikuwa anapitiapitia sms za simu yake akagundua jamaa ana mchepuko ambao unampa huduma ya "Pandezote" yaani huku kwa bibi na kule kwingine kama...
5 Reactions
153 Replies
8K Views
Kumekuwa na ongezeko kubwa la wanaume na wanawake wenye watoto, ndio ni wanaume na wanawake, na si wakina baba na mama. Kwa sababu, kuwa na mtoto hakukuvishi maana zote za kuwa mzazi moja kwa...
2 Reactions
0 Replies
647 Views
Nimepokea maswali meeengi kwa wadau wangu huku jf kuwa Money Penny ni nani, Money Penny ndio nani?! Wengine mnasema money penny ni lara 1 wengine mnasema ni Mange Kimambi wengine wanasema...
39 Reactions
457 Replies
83K Views
Haiwezekani uonevu umezidi Hii sasa ni too much Tunaonewa sana Ikiwezekana tuunde chama kupigania maslahi yetu Kero konki namba MOJA ni kuombwa hela ya kutolea - yani mwanzoni mnaongea fresh...
1 Reactions
2 Replies
235 Views
NIMESHINDWA KUKUSAIDIA LEO USINICHUKIE, KESHO YETU NI FUMBO. Based On True Story Miaka kadhaa iliyopita, rafiki yangu wa miaka mingi alipata ajali mbaya sana. Ilibidi afanyiwe operation ili...
7 Reactions
6 Replies
638 Views
Salute jf members. Ni bahati mbaya sana hamna Chuo wala Shule kinachofundisha elimu ya mahusiano kwa sehemu kubwa tunajifunza kutokana na makosa yetu au ya watu wengine. Moja kwa moja kwenye...
33 Reactions
38 Replies
3K Views
Kwa jinsi watoto wakike wanavyoingia broke na kupoteza thamani yao, Ni bora hii siri wakaifahamu kuwa uzuri wa nje hauna msaada wowote katika kutoboa Maisha. Wanabidi kupambana kujiziboresha...
10 Reactions
14 Replies
1K Views
Ndo hivyo wakurugenzi. Mwaka jana nilikuwa na nia kabisa ya kitaka kuoa kutokana na upole, unyenyekevu, heshima na adabu aliyokuwa nayo huyo binti licha ya uzuri na rangi yake Mahari yenyewe...
7 Reactions
14 Replies
1K Views
Habarini, husika na kichwa cha habari hapo juu. Toka mapenzi yameanza kuhusishwa na pesa ndio utamu ulipopotea. Yaani hapa nazungumzia mapenzi yale ya hisia ya kupendana bila kujali pesa. Huwezi...
12 Reactions
108 Replies
4K Views
Zipo tofauti nyingi kati ya MWANAUME na MWANAMKE zinazosababisha migongano mingi kwa wahusika kwa kutokujua, laiti kama wangezijua tungepunguza migongano na migogoro isiyo ya lazima. 1) MWANAUME...
8 Reactions
33 Replies
3K Views
Jamani kwema? Ila wanawake ni wasiri jamani, mbona hata hamsemagi kwamba hizi "morning sickness" hilo ni neno tu ila inashinda siku nzima jamani? Natamani hata mtu angeniambia kwamba ni...
57 Reactions
233 Replies
13K Views
Ni kijana wa Miaka 25, shahada ya Ualim, ila hakubahatika kupata ajira rasmi. Amejiajiri kwa kufungua twisheni za mitaani na kabahatika kupata mchumba ambae ni binti wa Miaka 21 ( Ila tayar ana...
12 Reactions
159 Replies
14K Views
Back
Top Bottom