Ni leo tena. Nipo kwa dala dala nimekaa na binti tunaelekea njia moja. Nimekaa upande wa dirishani yeye karibu upande wa kutokea.
Basi bwana mvua inanyesha na imetupapasa kwa kiasi kidogo japo...
Ni hisia ya ajabu sana jinsi mtu anaweza kuwa katika maisha yako kwa miezi au hata miaka na kisha siku moja kwa ghafla hayupo tena. Si kwamba katwaliwa toka maisha la hasha. Kakuacha! Hana hisia...
Amekwama - anataka msaada wa pesa aka maokoto
Amepotea - anataka mtu wa kumwelekeza sehem anayoenda
Malizia....
Bandugu tusalimie sio hadi mkwame ndo mnarudi kutusalimia - tutawapotezea!
Habari zenu wakuu.
Nimekuwa naona nyuzi nyingi sana watu wakilalamika wanawake wao kuchepuka nje ndoa na kupelekea ndoa kuvunjika.
Mimi ni kijana ambae nina mpango wa kuoa huko mbeleni (Sio leo...
dada zangu nawaeshimu sana mnaofanya kazi za bar na piss kali haswa,
ila hii tabia ya kuniona nimeanza kupendeza na kuja kuniomba bia mnaniaribia bajeti na bora hatauagize bia ndiyo kwanza...
Habari zenu jamani,
Mimi ni kijana miaka 25 sijaoa ila nina mpenzi ambaye sijawahi fanya nae mapenzi kwasababu anamajini mahaba wawili kichwani kwake mmoja wa kiume na mwingine wa kike, mwezi...
Wakuu sana pokeeni salamu zangu.
Naomba leo nisimulie visa viwili vya kusikitisha ambavyo niliwahi kushirikishwa na rafiki zangu kwa nyakati tofauti.
KISA CHA KWANZA:
Huyu ni rafiki yangu...
Habarini Wadau,
Kwa namna maisha ya Mahusiano na zaidi ya Ndoa yalivyo kwetu sisi Watu weusi, ninaona kabisa baada ya miaka kadhaa kutakuja kuwepo "Ndoa za Mikataba" yaani watu wanasainishana...
Leo nimeona nirudie tena
Kuna watu hawajui faragha ..Unapokutaana na jirani yako guest ukitoka sio lazima utangaze kwakila mtu
Hili la jana limeniumiza sana nilipokea simu sa tano nikamdhamini...
Habari wakuu,
NIna wazo limenijia na kutafakari binafsi. Nimejiuliza katika maisha ya mwanadamu upi wakati sahihi wa kuipata furaha ile yenye uhalisia wake kwa 100%.
Nikaishia kukumbuka miaka...
Wasaalam wakuu,
Bila kupoteza maana na wakati ipo hivi, nimefanya kautafiti kangu na halmashauri ya kichwa changu nimegundua kuwa siku hizi kwenye ulimwengu huu wa mapenzi hususani kwa vijana na...
Ninashangaa sana, wanaume wengi wa mitaa mingi niliozunguka, wako kwenye mahusiano na pisi za kawaida sana; wengine wana uchumi wa kati, lakini wako kwenye mahusiano na pisi ambazo hata huwezi...
Ukewenza si uadui kama mnavyothaminishwa na jamii. Ni bora uke wenza kuliko kutokuwa na ndoa kabisa.
Vijana wakike na wakiume tusaidiane kwa pamoja kutokomeza uzinzi na uesherati kwa...
Ni miaka mingi sana kuna jambo nikiona mwanamke anafanya nachanganyikiwa kabisa. Na huwa napenda sana linanisisimua sana mwili.
Napenda sana kumwona mwanamke anakojoa. Yaani kama ni mpenzi wangu...
Wakuu, mpenzi wangu Leo jioni kanitumia meseji ya kuwa anataka kutoa mimba. Mimi nimemkataza,na nimemuonya na asijaribu kabisa.
Sasa amekuwa mbishi na anataka nimsapoti katika eneo la pesa ili...
Dada yangu mpendwa! Kabla hujaolewa inaewezekana ulikwishachumbiwa na watu wengine. Posa za uchumba huu inawezekana zilitoka kwa watu wachamungu, matajiri, wasomi, wanaotoka koo kubwa , wenye sura...
Mungu nikupe nini? Majuzi mwenzenu nilikuwa sehemu moja hospitalini. Nilimuona mdada mrembo kishenzi. Uzalendo ulinishinda nikaamua kuimbisha,na mambo yakaenda sawa. Ila kumuuliza kilichomleta...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.