Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Ndugu zangu, Kumezuka tabia mbaya sana kutoka kwa wanawake, mwanaume unaielewa pisi unaikimbiza weee na anakuzungusha haswa ila mwisho wa siku anakuambia amekubaliana muwe kwenye mahusiano...
5 Reactions
23 Replies
2K Views
Mi nayeye tulikuwa tumepanga sehem moja. Mtoto alikuwa mzuri yule! shep kama katuni wa kuchora, nyuma kabeba, kifuani kajaza halafu saa6 kiuno kimekatika. Ukimwangalia tuu, kile kingozi chake hata...
12 Reactions
13 Replies
2K Views
Wanawake wapo na Intuition power kubwa Sana hivyo akikuambia jambo ebu nenda ulitafakari kwa umakini Sana. Wanawake huwa wanazilewa Sana sauti za ndani kuliko hata sisi wanaume hivyo akikuambia...
35 Reactions
107 Replies
4K Views
BUSU ni ishara moja wapo inayoonesha upendo, mahaba salamu au heshima. Kama neno la Mungu linavyosema.. "Salimianeni kwa busu la upendo. Amani na iwe kwenu nyote, mlio katika Kristo. Amina." 1...
0 Reactions
1 Replies
730 Views
Dear Gentlemen, Niaje wakuu? Siku nyingi zimepita hatujakutana kwenye vikao vyetu kujadili mambo yetu. Pamoja na mvua zinazoendelea kunyesha lakini, hakuna namna kikao kitaendelea kama...
8 Reactions
11 Replies
1K Views
Habari wanajamii forums Nimekuwa muoga kuingia kwenye mahusiano full maana navyosimuliwa huko ni kwa moto maana sijawahi kupata story za furaha,washikaji wananisimulia habari za kutisha na zenye...
6 Reactions
37 Replies
1K Views
Ndugu zangu, Hivi kwanini ukihisi au kubaini kuchapiwa mke au mwenzi wako huwa inaumiza sana mutima na kuvuruga akili, maisha, uelekeo na mipango ya wababa wengi na hata kufikia hatua kusababisha...
5 Reactions
24 Replies
2K Views
Warning, huu uzi ni special kwa wanaume tu. Wazee, nawasalimu popote mlipo kwenye maangaiko ya kujitafutia, Mungu atubariki na atuongezee rikizi zetu kwenye hii dunia ya majaribu. Wanaume...
13 Reactions
41 Replies
3K Views
[emoji13]
17 Reactions
134 Replies
4K Views
Wadau naomba msaada wenu. Mimi ni kijana mwenye tatizo la usikivu. Kuna mwanamke nilikuwa nataka kumuoa, sasa nimesikia tetesi kutoka kwa ndugu yake anasema hawezi kuolewa na kiziwi anaogopa...
24 Reactions
136 Replies
6K Views
Nimekua nikisoma thread tofauti humu JF za wanaume wakilalamika kuhusu kutendwa na wanawake zao kisa hawana pesa kisa hawana uwezo wakuwahudumia hao wenza wao, nk Nimeona wengi kwenye comment...
37 Reactions
107 Replies
13K Views
Habari zenu wapendwa. Mimi ni binti wa miaka 24. Niko kwenye mahusiano na mchumba wangu ni miaka 6 Sasa tunaenda na ninampenda Sana mwanaume wangu. Shida ya kuja hapa naombeni ushauri anataka...
12 Reactions
186 Replies
6K Views
Inaweza kutokea mtu fulani akakukwaza kwelikweli au kukuweka katika mazingira usijuwe hatima yako itakuwaje. Hapo sasa unakuta anatokea mtu mmoja anakunasihi kwa maneno haya "kaka/dada uwe na...
6 Reactions
18 Replies
873 Views
Habari wakuu, Hii Sasa ni zamu ya wanaume, najua wanajua namna walivyopigwa matukio. Tunaendelea na sehemu nyingine ya kuvunja ukimya na kutoa sumu moyoni.. Ni wakati wa wanaume kufungua moyo...
11 Reactions
60 Replies
4K Views
Habari Zenu wanajamii,hope mmenusurika na mafuriko,pole Kwa waathiriwa wote.Moja Kwa Moja kwenye mada,katika maisha yetu ya mahusiano asilimia kubwa tumeshakumbana na usaliti Yani kusalitiwa na...
2 Reactions
19 Replies
1K Views
Habari zenu wana jamvi, uzima upo. Tuendelee kuipambania nchi yetu isizame. Nipende kwenda moja kwa moja kwenye mda husika. Kila mwanaume huwa ana mbinu zake za kudaka samaki wake, niseme tu...
12 Reactions
110 Replies
7K Views
Usimuone mwanao kama mzigo na wala usimsimange mtoto kwa sababu ya tofauti zilizotokea kati yako wewe na babake act like nothing has happened, lea mwanao kwa upendo usimsimange eti kisa hupewi...
5 Reactions
12 Replies
2K Views
Ukiachana na wale wa mbali kidogo kama washikaji ambao huibuka mara kadhaa pale tu wanapokuwa na shida, nilibakisha watu wawili ambao niliamini ni wa kweli ila sasa nimefikia hatua ya kuwafuta...
31 Reactions
94 Replies
4K Views
Nimeifosi akili yake,mishipa na mwili wake ajiandae aelekee club na ampigie simu mtu rafiki ake wa kike. Ameshakwenda club Y na naona madume wakware yameshaanza kummemdea na kumkonyeza. Naumia...
8 Reactions
59 Replies
4K Views
Habari za weekend wakuu, Kwa wale wataalam wa No strings attached, huwa mnafanya nini ikitokea mwenzako anaanza kufall, unamuepukaje? Unaweza kufanyaje umrudishe kwenye mstari… Na ile uko na no...
8 Reactions
93 Replies
4K Views
Back
Top Bottom