Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Ukioa mke wako amekuwa mtu wako wa karibu, msaidizi pale unahitaji. Ila mchepuko sio mtu wako msaidizi. Ila asilimia 95 wanaume wanajua mchepuko wake ndio anafaa kutunzwa na kupendwa. Tuanze na...
7 Reactions
19 Replies
948 Views
Habari za sahizi keyboard masters.. Ni muda sasa nimekuwa kwenye mahusiano na huyu mrembo kutoka huko kaskazini, tulikutana chuo tukiwa classmates ila rasmi mahusiano yetu yalianza tukiwa mwaka...
13 Reactions
93 Replies
5K Views
Wakuu. Kuna demu nampenda sana. So huku na huku kwa mara ya kwanza akanipromise leo. Maana kuanzia kesho anasepa kwenda chuo.. So leo ntakula kwa mara kwanza. Sasa sitaki kuwaangusha nkasema ngoja...
34 Reactions
90 Replies
5K Views
Hujamkuta na kazi ukamtafutia kazi mwisho wa siku amekaa vizuri kiuchumi unasikia tu mkeo kajenga au kaanzisha mradi kimya kimya. Je, ni hatua gani utachukua ukishagundua ana mambo yake pembeni?
11 Reactions
31 Replies
1K Views
Napita zangu kuelekea msalani, pembeni wamekaa mabinti wawili. Kwa street cred hawa mabinti ni wale mjini yani wale assets zao ni urembo na ufuska wao. Mazungumzo yao kwa ufupi nilivyosikia...
3 Reactions
4 Replies
643 Views
Moja Kwa moja kwenye mada. Kama mwanaume umezaa nje ya ndoa basi jitahidi umpe msingi wa maisha mwanao akiwa huko huko kwa mama yake. Kama ni kumsomesha msomeshe huko huko na kama ni kumpa mtaji...
15 Reactions
34 Replies
2K Views
Unajua kama kuna wajinga (sio tusi bali ni kutokuwa na ufahamu) wanaamini waume zao hawana kabisa mchepuko? Wapo, ndio hawa mnaowasikia kanywa sumu baada ya kujua ukweli. Nakwambia hivi wewe...
6 Reactions
14 Replies
1K Views
Wakuu goli 5 ni nyingi kufikisha kwa bed. Leo alfajiri nimejaribu hii, jana nilitembelewa na mama yenu mdogo so kulingana na nature ya siku ya jana hatukufanya chochote usiku sababu yeye ni kolo...
28 Reactions
724 Replies
29K Views
RIWAYA: MKIMBIZI MWANDISHI: HUSSEIN TUWA Naitwa Tigga Mumba Marafiki zangu walizoea kuniita Tigga-Mu…lakini sasa sina marafiki tena. Mimi ni mtafiti wa mambo ya kale…lakini...
11 Reactions
262 Replies
104K Views
Kama kichwa cha habari kinavyo sema, Hapa nilipo nina wapenzi wengi sana na hata sioni mke kabisa, yani kila mpenzi wangu ninaye muangalia naona hafai kua mke, nashindwa kuelewa nyie mnapata wapi...
6 Reactions
33 Replies
2K Views
Mi nimeolewa miaka miwili iliopita lakini kutokana kutafta maisha mme wangu anaishi nchi za nje kutafta maisha nakweli mungu mwena tunaendelea vyema pamoja kwamba hayuko hapa. Alimchukuaga...
14 Reactions
161 Replies
18K Views
Habari wadau. Ukweli mchungu soko la mwenza wa ndoa limekuwa gumu sana Tanzania hasa kwa watu wanaojielewa na waliojipata. Mtu kuoa ama kuolewa anatazama mwenza wake yukoje , kwao anapotoka...
6 Reactions
14 Replies
1K Views
Huyu mwanamke alikua na shida sana na hakukua na mtu wa kumsaidia kiwango cha hela alichokua anaomba, alijaribu kukopa kwa kila mtu ila hakuna aliye mpa na mwishowe nikaona acha ni mkopeshe maana...
4 Reactions
66 Replies
4K Views
Habari za jumapili wakuu. Leo kuna kitu kimenichanganya kidogo. Kuna binti nilimpenda kama 10 yrs ago huko, kama mjuavyo mabinti hawa wakiwa in their early 20's wanavyokuaga, baada ya battle ya...
16 Reactions
64 Replies
4K Views
Ni moja wapo ya mambo mabaya zaidi ulimwenguni. Inatokea na kwa namna fulani tunapata nguvu ya kuendelea. Siku zinageuka kuwa wiki, wiki zinageuka kuwa miezi, na kabla hatujajua hapa ni miaka...
19 Reactions
72 Replies
4K Views
Wakuu kwema? Nakumbuka ilikuwa 2010 nikiwa kidato cha tatu baada ya kutoka prepo tulikuwa tunaenda saa nne kulala. Bwenini tulikuwa tunakaa watu nane wanne chini na juu watu wanne pia. Basi...
5 Reactions
10 Replies
941 Views
Habari zenu Wakuu. Kwenye pitapita zangu JF nikakuta na Uzi kuna dada analalamika kuwa Uchumba na mume mtarajiwa kuelekea ndoa unakizuizi cha Dhehebu la Dini. Aisee! Ukiusoma ule uzi utaona ni...
9 Reactions
20 Replies
1K Views
Baada ya kukataa sana kuoa huku nikidai kuoa ni anasa na ni gereza kwa mwanaume, hasara kwenye maisha ya mwanaume, na ajira ya faida kwa mwanamke. Sasa naona sina budi kukubaliana na kuoa nafsi...
21 Reactions
68 Replies
3K Views
WanaJF Kunamuda tamaa inakua juu sana, mtoto wa kike anakupa utamu na mkuyenge unasusa kutuna kwa lengo la kuzagamua, ndugu wanawake na wakisha jua mwamba mkuyenge umekususia anajifanya ndiyo...
13 Reactions
28 Replies
1K Views
Jamani. Sidhani kama kuna mwanaume wa jf anayejua kutongoza. Sisemi kwa ubaya ,ila wanaume wa jf wengi kuandika andika vicaption vya falsafa nyingi kama wanasomea phd ila vitendo asilimia kubwa...
21 Reactions
459 Replies
9K Views
Back
Top Bottom