Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Nilipokea jumbe leo kupitia mtandao wa kijamii wa Whatsapp kutoka kwa mmoja wa rafiki zangu ukisema "Kaka navuta jiko",,, Baada ya pongezi na utani nikakumbuka kumuuliza anayemuoa akanambia...
26 Reactions
125 Replies
6K Views
Kwa sasa wimbi la wasichana wasioolewa ni wengi sana wengine ni bikira, wengine ni wajane, wengine ni mashankupe wengine ni vigagosi wengine ni mama huruma.nk Suluhisho la haya yote ni kukubali...
2 Reactions
18 Replies
3K Views
Ujumbe wangu kwa wote wanaopitia maumivu ya Mapenzi, usiteseke wala usiumie kwa mtu anayetaka kuondoka kwenye maisha yako haujazaliwa naye huyo usitumie nguvu nyingi kwake. Akitaka kuondoka...
20 Reactions
81 Replies
4K Views
Tabia ya kubambikizia akina baba watoto wasio wao imeendelea kushamiri miongoni mwa akina mama. Swali langu kwenu, mnakuwaje na amani katika maisha yenu kwa kukaa na siri kuu namna hiyo? Unakuta...
2 Reactions
4 Replies
371 Views
Mzazi tambua huyo mtoto wako ni mke na mtu ajae. Wazazi wanaishi na watoto mda mfupi kuliko mda ambao mtoto ataishi pekee yake, ikiwemo kumaliza muda wake kwenye ndoa yake. Kwa miaka ya kibiblia...
4 Reactions
19 Replies
1K Views
Mara paah unaamka mwenyewe unajikuta una jinsia tofauti na hiyo uliyonayo sasa. Yani kama wewe ulikuwa KE umebadilika kuwa ME na wale ME umekuwa KE. Ungeishi vipi? Ungefanya nini? Haya sasa...
8 Reactions
77 Replies
2K Views
Wanawake wote njooni hapa mpate kufundwa kidogo na huyu mwanamke mwenzenu. Siyo kila siku mnakaa kuwalalamikia wanaume tumebadilika kumbe ni nyie hampendeki. Kuwa mzuri ni jambo moja, ila...
3 Reactions
8 Replies
467 Views
Msije sema sijawaambia!Angalia yaliyomkuta mwenzenu
9 Reactions
18 Replies
2K Views
Inashangaza sana siku hizi kuona wanaume wengi (sio wote) wanakula sana chips mayai. Hii inapelekea wanakuwa wavivu, uwezo wao wa kufikiri unakuwa mdogo, hawajitumi, tena kitandani ndio...
6 Reactions
34 Replies
3K Views
Vijana miaka ya nyuma kuona sehemu nyeti za mama nje ilikuwa ni nadra sana, lakini kipindi hiki imekuwa ni kawaida uroda wa dingi kuwekwa hadharani bila wasiwasi. Imefikia kipindi hata mama...
19 Reactions
45 Replies
2K Views
Kuna mahali huwa nakwenda kupata huduma. Mmiliki wa hilo eneo ni mwanamke. Mfanyakazi wake wa kike huwa naelewana nae sana. Sasa nikiwa nazungumza nae namuona huyo bi mkubwa ana mind sana. Kwa...
18 Reactions
22 Replies
2K Views
Ndugu zangu.. Katika harakati za kutafuta hela nilikua nasafiri kuelekea dodoma enzi hizo tunazungukia singida manyoni then dom, siti yangu ilikua ya dirishani mtoto mzuri chuga girl pembeni...
3 Reactions
9 Replies
926 Views
Habari wakuu, Husika na kichwa cha habari, Kama kuna kipindi ambacho kinakuwa kina matamu na machungu ni kipindi hiki Cha mahusiano ya mapenzi kwa wadada. Nasema kitamu kwakuwa ni kipindi...
34 Reactions
550 Replies
28K Views
Habari za asubuhi? Jana niliomba ushauri kuhusu mke wangu, wengi walinishauri, maybe kutokana na uzoefu wa ndoa zao au kutokana na kushuhudia mengi kutoka kwa wazazi wao, ila naamini hakuna alie...
5 Reactions
23 Replies
2K Views
" Nimekupa kila kitu na bado umeniacha?" Alisikika dada mmoja akilalamika Kwa mashemeji JE wanaume?! Sentensi hii ukiiskia, huyu aliepewa kila kitu unamwelewa kweli? Kwani wanaume hii sentensi...
3 Reactions
180 Replies
6K Views
Niaje wakuu kumekuwapo na wimbi la wanawake kutoshika mimba mitaani na hata wakishika zinatoka, wataalamu wamekaa kimya ila it's gonna be a disaster soon. Nimeishi na wanawake ambao wamekuwa...
12 Reactions
151 Replies
8K Views
Naswali la heshima why mnacheat. Na mna mke mwema, mke anakupenda na kukusaidia, nakukujali anakuzalia anafanya uitwe baba fulani. Ila nyie kazi kuwa malaya tu ndio kazi yenu, sijui kwanini...
16 Reactions
129 Replies
7K Views
Kwa ufupi nina mke tumejaariwa watoto wawili,nampenda sana mke wangu lakini kutokana na distance tuliyonayo (yupo mkoani) najikuta nashawishika kumcheat yani ni ile mwili unatamani,nafsi na moyo...
4 Reactions
23 Replies
2K Views
Habari ya jioni wakuu, Maisha ya mahusiano ya kimapenzi yana visa vingi sana. Inawezekana umewahi au upo kwenye mahusiano na mtu aliyekuzidi umri, ebu tupate experience mbali mbali ilikuaje kuaje...
30 Reactions
1K Replies
64K Views
Mimi sio mzee wala sio kijana, Mimi ni mkunga kwenye kituo cha afya,sasa huku wanaume wote tunaofanya kazi idara ya afya tunaitwa madoctor,bila kujali area ya specialization yako, Sasa sijui...
18 Reactions
53 Replies
2K Views
Back
Top Bottom