Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Wadau kadhaa nimewasikia kwa masikio yangu ya nyama wakiwalalamikia mababy sweetie mom wao kula kupita kiasi. Mmoja yuko hapa Mbeya majuzi kanidokeza kapata pisi alishapanga kuiweka ndani mwaka...
16 Reactions
89 Replies
4K Views
Habari wana jamii.... Mke wangu anapenda kuanika nguo zake za ndani nje ambapo kamba imepitia kwenye vyumba vya wapangaji wenzangu na wote ni wa kiume akidai kuwa zinatakiwa zipigwe jua kwani...
60 Reactions
348 Replies
20K Views
Habari zenu wanaume wenzangu mlio kwenye ndoa natumaini mko salama Nimeleta kikao hiki ili tupeane ushuhuda jinsi ya kukabiliana na hawa ndinjii ambao wamekuwa hatari sana kwenye ndoa zetu hawa...
12 Reactions
38 Replies
4K Views
Karibu katika uzi maalumu wa kuelimishana masuala yanayohusu ndoa katika jamii zetu. Ndoa ni katika mambo muhimu sana kwenye maisha ya mwanadamu. ndoa imebaba nusu nzima ya maisha ya mwanadamu...
10 Reactions
138 Replies
5K Views
Jaman Habari zenu wanajamvi,,,,ngoja nishuke kwenye punda ili tuongee vizuri Jamani hapa juzi kuna kitu alifanya nikawa namkemea(kufoka) shemeji yenu tena kwa kumtunzia heshima nilisubiri...
15 Reactions
150 Replies
6K Views
Unaogopa nini kuoa, unazuia vipi matamanio yako na uko baleghe hutaki kuoa. Badilika ow ustarehe na mkeo, ndoa Raha sana. Badilikeni vijana ambao bado hamjaoa muoe. Karibu katika Darasa la...
12 Reactions
104 Replies
4K Views
Alikuwa mshauri wa mahusiano ya watu na kuponda wanaume kwamba hawajui kuwa-handle wanawake wao. Amesafiri na mkewe sehemu kibao, mapikiniki na mavisiwa huku akiweka caption za kuonesha mahaba...
30 Reactions
227 Replies
17K Views
Wakati mijadala ikielekea mwishoni kuhusiana na kijana Lovness Tarimo na jinsia yake ambaye kwa mwonekano tuu huwezi kumuweka kwenye jinsia ya like bali ya kiume. Na hata kama ni mwanamke basi...
14 Reactions
86 Replies
7K Views
Kwanza niko na hofu kuu kwa sababu kuna bi mdashi flani nilimtafuna mwaka huu bila kujua chochote, bi mdashi mweupe pee tako ndio lililoniponza. Nilipata taarifa zake za ndani kwamba tayari...
3 Reactions
52 Replies
5K Views
Heshima kwenye wananzengo. Mm ni mtumishi wa umma Sasa leo asubuhi nimejifanyia usafi kwa kujinyoa sehemu zangu za Siri upara swafi pamoja na makwapini then nikaenda kuoga then nikapigilia pamba...
28 Reactions
87 Replies
3K Views
Ndugu zangu. Katika ulimwengu wa mahusiano tusijisahau sana wakuu, hawa wanawake tunawapenda ila wanatuacha vibaya sana Wakuu haijalishi wanawake wana ulimi wa kubembeleza, haijalishi uzuri wake...
28 Reactions
57 Replies
3K Views
Umuofia kwenu!! Kama mada ilivyo, nimempeleka kwanza kwao kwa muda usiopungua miezi miwili.....akajifunze kitu (kama ni mwenye kujifunza). Siku moja tu baada ya kutoka kwake; 1. Leo kwa mara ya...
118 Reactions
421 Replies
17K Views
Habari za asubuh wana ukumbi, Mweh mweh mweh, nimeingia Mwanza juzi kikazi nikatimiza majukumu yangu. Nilipomaliza nikasema nikamwone kijana wangu anaishi Bwiru hapo kwa matajiri (kwa wakwe...
44 Reactions
966 Replies
29K Views
1. Mtu ameweka picha kwenye page yake kumbe sio yeye bali ni picha ya rafikiake/mdogoake au nduguake gani sijui. 2. Mnakubaliana for a meeting, mwenzio anaanza kulia njaa mara anataka atumiwe...
8 Reactions
18 Replies
2K Views
Nina tatizo ambao wanajua naomba wanisaidie toka niowe mke wangu kwasasa tuna wiki 3 na nusu toka tuoane Ila kila nikipiga game na mke wangu uume wangu unasimama kwa mda mrefu bila kulala na kwa...
6 Reactions
48 Replies
5K Views
Kama mada inavyojieleza Kama wewe sio Muha wa Kigoma basi usithubutu kuoa mwanamke Muha. Waha wanawezana wenyewe kwa wenyewe kutokana na tabia zao ambazo kwa mwanaume kutoka kabila lingine...
23 Reactions
73 Replies
8K Views
Habari wakuu.. Katika harakati za hapa na pale nikakutana na huyu mrembo wa kitanga kabila mzigua. Tumekutana kwenye site ya ujenzi yeye ni chief cooker hapa na mimi ni electrician. She's so cute...
23 Reactions
106 Replies
6K Views
Ikiwa leo ni siku ya wanaume duniani... [emoji94]Wakati ambapo wasichana/wanawake wanaamshwa kwa makongamano na semina za kuwainua kiuchumi. Mikutano na mijadala yenye kuwajengea kujiamini na...
4 Reactions
3 Replies
700 Views
Ivi ushakutanaga na mwanaume ambae yuko insecure, hajiamini? ikawaje? ulitemana nae vepe? ulitemana nae baada ya muda gan? Hadithi kamili pita kwa youtube channel yangu
5 Reactions
32 Replies
1K Views
Mke wangu anaelekea kuivunja ndoa yake kwa mikono yake mwenyewe. Najuta sana kuoa mwanamke kutoka mwambao wa pwani. Sijui ni kwanini nilimkimbilia nikijua nitafaidi mauno feni pekee, kalio skonzi...
16 Reactions
148 Replies
12K Views
Back
Top Bottom