Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Kabla hatujaendela hapa; nikupe pole na hongera kwa kazi kama baba, kwa sababu uzi huu ni mahsusi kwa ajili yako. Karibu. Tumuangalie mtoto wako wa kiume, nimelenga huyo kwa sababu yupo kwenye...
7 Reactions
8 Replies
946 Views
Mambozz dear. Leo asubuhi nimeaka baada ya uchovu wa viwanja jana my boyfriend from USA amefanya money transfer ya 1000us dollar. Nampenda sana huyu Mwanaume jamani. Jamani mwenzenu napendwa...
8 Reactions
195 Replies
5K Views
Wakuu, kwanza heshima mbele kama tai. Jamaa yangu kaniomba ushauri hapa naona nishee na ninyi hapa. Amepata lishangazi limoja la huko facebook/insta na wamekubaliana wakutane hivi karibuni. Ni...
1 Reactions
13 Replies
568 Views
wakuu kwanza mnisamehe sana. yapata miaka kadhaa mwanamke niliyejikuta na mgaramikia aliniacha kwa fedheha sana na katika mazingira magumu sana ya maradhi. Ilikua ni ngumu mno kukubaliana ila...
3 Reactions
54 Replies
4K Views
Wiki tatu zimepita tangia nitoe thread ya kutaka kujua kwanini shahawa zangu hazipenetrac kwa manzi wangu. Majuzi ijumaa huyu mdada alikuja geto nikapiga mechi fresh tukalala imefika kumi usiku...
3 Reactions
37 Replies
2K Views
Ndugu zangu Wanaume marijali wote na wale wenye akili timamu wasioyumbishwa na Wanawake na hasa wale kataa NDOA. Yule role model wetu Ashraf Hakimi yupo Dar es Salaam kwasasa akiwakilisha timu...
11 Reactions
27 Replies
1K Views
According to ze Generali him self, ni rahisi kufahamu hili na sio roketi sayansi. Anasema kama upo Dar na mpenzi wako ana mshahara chini ya milioni 6 take home, ana gari na anakula bujiii, basi...
3 Reactions
7 Replies
880 Views
Mimi binafsi nimewahi kumtongoza mke wa mtu ambaye ananizidi miaka 2 na akanikubalia kucheza mechi ya kirafiki. Japo mipango yote ya kupiga mechi ilifanikiwa lakini suala halikuweza kutekelezeka...
10 Reactions
281 Replies
46K Views
Hapo vip!! Kama kichwa cha habari kinavyojieleza. Mimi ni mtu ambaye nilikuwa siamini katika kumuoa single mother ila baadaye nikajikuta nimekutana na single mother nikaona nitengue msimamo wangu...
36 Reactions
414 Replies
29K Views
Wakuu mulibwanji? Huku mambo ni mwagalayoooo. Leo baada ya miaka 5 ya kuachana kwa matatzo na mtoto wa kinyiramba nimemtext leo kwa mara ya kwanza. Nilianza kwa kumtext kwamba if i made u cry am...
17 Reactions
97 Replies
5K Views
Hivi mwanamke anakuwa na roho mbaya kiasi gani mpaka amfanyie huu uhuni mme wake ? Hii kitu naishuhudia daily kila uchwao, kuna co worker anamlipisha mwanaume pesa za matumizi wakati si mtoto...
10 Reactions
30 Replies
2K Views
yourtango.comNov 20, 2023 7:00 PM If you're lucky enough to love an oldest child, here's what you need to know. Photo: Tobi Toun | Pexels Oldest children are the best kind of children. (But, of...
1 Reactions
2 Replies
349 Views
Habari zenu wapendwa, Mimi ni msichana niliyemaliza chuo lakini natafuta kazi. Naishi na wazazi wangu na wadogo zangu wa kike ambao nawapenda sana. Nimekulia na kulelewa na bibi sana na mama mdgo...
30 Reactions
238 Replies
30K Views
Chai sijanywa kutokana na kushangazwa na haya! Nina miaka zaidi ya 10 ninamiliki silaha ya moto kisheria, na ninaihifadhi chumbani. Mke wangu hafahamu hata kuhisi kwa muda wote huo. Siyo mke...
15 Reactions
105 Replies
5K Views
UMASKINI MBAYA SANA! Umaskini mbaya! Unaumiza, Unaogopesha, Unatisha  Umaskini unafanya Tufanye kazi ngumu za kuchosha, Kwa mishahara midogo isiyolingana na thamani ya kazi tunazofanya na...
11 Reactions
19 Replies
2K Views
Wadau niwaulize kwa mfano umeoa upo na mke kwa bahati mbaya ukafanya uhalifu ukakamatwa kufikishwa mahakamani ukahukumiwa miaka kumi bila faini sasa mke wako nyumbani akawa na mawazo kwa jnsi...
6 Reactions
32 Replies
2K Views
Serikali ya Uingereza imesema itakutana na maafisa nchini Uturuki kujadili kanuni kuhusu utalii wa kimatibabu na urembo, baada ya vifo kadhaa kutokea. Melissa Kerr, 31, alifariki dunia katika...
12 Reactions
149 Replies
4K Views
Habarini ndugu wana JF Kwa mlioko huko dodoma hawa wake zetu wa ndoa watarudi salama kweli? Maana shemeji yenu najitahidi kumtafuta kupitia video call naona hataki kupokea simu anadai ya kwamba...
12 Reactions
82 Replies
5K Views
Wale ndugu zangu wa kataa ndoa, ndoa ni utapeli. Naomba mtupishe kidogo tuongee na wakubwa? Leo nilikuwa nimepanda dala dala kulikuwa na mdaharo usio rasmi (mabishano) baina ya abiria mada...
12 Reactions
161 Replies
5K Views
Good morning Familia, Katika jambo nimejifunza kubwa kabisa japo nimechelewa kufahamu ni kwamba kuna baraka kubwa sana katika kutoa hasa unapolenga kuwasaidia watu wenye mahitaji. Rafiki yangu...
11 Reactions
21 Replies
927 Views
Back
Top Bottom