Habari wadau.
Kwa research yangu isiyo rasmi. Kazi ya kusaka mwenza wa maisha ni ngumu sana ukianza kuifanya ukiwa na age above 30s..
Imani yako kwa watu inakuwa ndogo sana kutokana na uhalisia...
Kweli Hawa viumbe wa kuishi nao kwa akili.
Katika kupiga story na mabinti kama watatu hvi kuhusu mambo ya relationship kila mmoja akasema anatamani kuwa ktk mahusiano na mwanaume mweusi japokuwa...
Kuna kitu kimoja nakiona saizi wanawake ni kama ile akili ya kupenda pesa kutoka kwa mwanaume inaanza kuwaisha.
Wanawake sasa wanatafuta mapenzi ya dhati kutoka kwa wanaume.na huku wanaume akili...
Kama hamtajitahidi kutengeneza pesa vizuri ujanani ili uzeeni uishi vizuri
Wewe nisomeshee wanangu wakipata kazi mikoani mimi ni kuzurura tu huko kwa wanangu najua wewe huwezi kwenda kuishi kwa...
Umezuka mtindo wa mabinti wadogo kupita na vibabu.Mbaya zaidi wanapooingia humo hawaangalii afya za wazee wnyewe.Wao ni kuwakimbizia tu mot....Siku ya siku unaskia mzeee flani kazidiwa,mara mzee...
Tunakutongoza sisi wa uswahilini unatukataa
Eti unataka bwana wa uzunguni ilihali kila siku uko na sisi hapa huo wa uzunguni utampata wapi?
Yaani ni sawa kumtaka mwanaume mwanajeshi ilihali...
Wanawake bwana walichoongea na shetani pale Edeni ninyi ndio mnajua, yaani baada ya jamaa mambo kwenda isivyo na mwanamke ana shughuli ya kumuingizia hela kidogo ya kumudu matumizi ya ndani ndio...
1 WAKORINTHO 7:3-5
"Mume na ampe mkewe haki yake, na vivyo hivyo mke na ampe mumewe haki yake.
Mke hana amri juu ya mwili wake, bali mumewe; vivyo hivyo mume hana amri juu ya mwili wake, bali...
Kama kawaida ndugu yenu hapa kwenye harakati za maisha kwa upande wa starehe.
Basi huku na huku kuna bidada nilitokea kumtoa out siku ya kwanza sikutaka mambo mengi nika mtreat kawaida tu bila...
Hii Kwa wanandoa walioana wakala kiapo na kuvalishana Pete madhabahuni.
Biblia inasema apataye mke apata kitu chema naye ajipatia kibali Kwa Bwana, Mwanaume unapooa mke sahihi Mungu hua...
Ashura ni nini ulitaka kutoka kwangu sikukupa, japo sikuwa na kazi ya kueleweka lakini nilipambana kwa ajili yako na mtoto wetu huku nikijipa moyo wanaume tumeumbwa kuteseka, licha ya magumu yote...
Kulingana na Uzi uliopostiwa humu Je, ni kabila gani uliambiwa usioe/ usiolewe nalo na kwanini?
huu ni mrejesho wa maoni ya wanajf walio share makabila magumu / tata kwenye ndoa
Based on...
Usiku wa Jumamosi saa 7 usiku nimelala na wife, simu yangu iko chaji, ghafla wife ananiamsha kuwa nikapokee simu iko inaita.
Kwenda kupokea ni yeye anasema eti anajiskia homa sana, mwili mzima...
Ni hapo hadi mida ya mchana ulio kolea bado nilikua sijui weekend yangu naimalizia kwa nani na kivipi.
Basi kama kawaida nikawacheki wadau wangu na kuwaeleza kuwa hii weekend na wao kama...
Habari ya asubuhi waungwana.
Ninapenda kumnunulia mchumba wangu wa kike zawadi kidogo kwa kutambua thamani yake kwangu, kwa uwezo wangu mdogo wa bajeti ya kuanzia shilingi 10,000 --- 50,000...
CHUNGU na TAMU katika NDOA ndio maisha yenyewe. Tusingeweza kuijua RAHA kama kusingekuwepo na KARAHA. Nyakati ngumu katika maisha huwa zinakuja na kuondoka lakini baada ya yote, FURAHA inapaswa...
Nisiwafiche, Nyie ni vibonge tuu... Msijione kama Nyie ndo namna gani vipi sio.... Mnariiiinga kisa hayo manyama? Nyie ni vibonge tu kama vibonge wengine.
Leo nimeingia tawi moja hivi la NMB hapa...
KAMA NI RAFIKI KWA NINI UWAONEE WIVU WANAUME WENZAKO WANAO DATE NAE?
Ni mwaka 2016 niliweza kuwa na mahusiano na binti flani wa chuoni , sasa katika kumchunguza ndani ya siku 2 tu nikaona ana...
Nahisi sheria hizo ndio chanzo kikubwa cha wanawake wengi wa kiislamu kuwa ni wenye maadili na wanaothamini sana ndoa zao. Sheria ya talaka inawabana sana, hawana namna zaidi ya kutumikia ndoa na...
Habari.
Wakuu mke wangu amekuwa na rough budget yaani ana matumizi mabaya ya fedha.
Mwanzo nilikuwa ninamuachia kila siku kiasi kadhaa.
Baadae nikaamua niwe namwachia hela ya mwezi mzima ambapo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.