Aisee kama ndoa zenyewe ndizo hizi aisee sio poa kabisa nitajiengua kabisa muda si mrefu maana nahisi maluwe luwe kila siku na mbaya zaidi nimetoa mahari si haba lakini naona uzalendo unanishinda...
Katika maisha yetu kuna baadhi ya matukio tulishawahi kufanya au kututokea ambayo huwa ukiwaza unabaki unacheka kulingana na aibu iliyojitokeza. Kwangu mimi haya ni matukio ya aibu kabisa katika...
Nataka kujua fani ya digital printing kwa ukubwa zaidi nataka niprinti mifuko mabango na vingine vingi. Je ni wapi wanafundisha kozi hii na ni sh ngapi?
Habari za wakati huu wanafamilia wote wa Jamii Forums, hasa wa jukwaa hili la MMU.
Nimekuja kuleta tatizo langu kwenu hapa jukwaa ili kama kuna mtu/daktari/mtoa ushauri/mwanasaikolojia...
Wakuu mmebarikiwa
Mimi ni kijana wenu na rafiki yenu wa siku zote.
Katika mihangaiko yangu ya kutafuta kiburudisho, juzi nimekutana na mwanamke pisi kali tukatongozana tukakubaliana safi. Sasa...
Ukisoma katika biblia Mwanzo 2:24 haijalazimisha kuwa ili unganiko lenu liwe halali ni lazima ndoa ifanyike kanisani (kwa Wakristo).
Kufunga ndoa kidini ni UTARATIBU WA KIBINADAMU ULIOPANGWA AU...
Ego -when you will be driven by Ego either positive or negative you need to know you will sink on break up ,disappointment , Jealous and Etc
Kill Ego ur Ego at any price the all Damn shit in...
Happy birthday kwako (kwangu) Msanii
Leo umetimiza miaka kadhaa tangu uanze kupumua juu ya ardhi hii ya wadudi. Natumaini umejifunza mengi na kuona mengi kwenye dunia hii hii ambayo ni nzuri kwa...
Wana jf..
Naanza kwa kusema , wanawake sisi wanaume tuna nia njema na nyie tunapenda tuwaoe na muwe wake zetu ila punguzeni basi mizinga na kujiona mnahaki ya kuhudumiwa ilihali hamjaolewa na...
Huyu ndugu ni moja kati ya ndugu walio zifumania pesa. Basi bana kutokana na pesa zake kuwa nyingi jeuri na ujuaji vikaongezeka na maneno na majigambo ikawa ndio sehemu yake ya maisha.
Ila pamoja...
Sasa naelewa kwanini zamani wazee wetu walikuwa wanarudisha wake zao wakajifungulie nyumbani kwa wazazi wa mke baada ya kuwa wajawazito.
Jamani mama vijacho wana visa kwa wiki ananuna hata mara...
Pale unapotaka kujua huyu niliye nae je ni muaminifu au ndio wale wale ili ujue unaishina mtu aina gani ili ujipange kisaikolojia kwa maana ukimjua utapunguza maumivu na mwisho ujiue andaa...
Kwenye pitapita zangu JF nikakutana na Uzi unaosema "kipi kilisababisha uachane na mwenza wako wa maisha".
Aisee! Ukiusoma ule uzi utagundua kuwa watu wanao oa/kuolewa ni Option tu na sio kwamba...
Ambao mna uzoefu na watoto wa kike tunaomba mtupatie mwongozo. Ninashuhudia familia nyingi sana huku majengo mapya ushuwani, ukaribu uliopo kati ya baba na mtoto wa kike unakuwa wa kushtusha...
Hata kama wewe ni mkali na una mahasira hasira.
Hii kitu ina raha yake, ukipiga uso unakuwa na furaha moja kwa moja.
Watu wengi tulioko Bar tunafuraha sana kuliko watu walioko maeneo mengine...
Naomba wajuzi mje mniongezee hekima hapa kidogo uwenda yangu imepunguka..
Katika jamii zetu kuna vijana ambao wanafanikiwa kujipatia kipato na kuanza maisha...
Katika utafutaji inaweza kuwa...
Kuna watu wengi ambao wanapitia maumivu ya namna hiyo, hii ni kwasababu unajikuta umewekeza sana kwa mtu huyo, endapo ikatokea akakuumiza basi maumivu yanapita ndani kabisa, wengi hawawezi vumilia...
Baada ya kuwa na mahusiano na mwanmke flan kwa miaka mi 4, baadae akaja kubadilika baada ya kupata kazi, inshot mm ndio nilikuwa na muweka mjini,
Nimtoa kjjn na kumeltaa, mjini nikamuandliaa...
Mapenzi ni sawa na maji ya mafuriko,
Huwezi kuyazuia kwa mikono,
Niliwahi kuumizwa sana na binti niliyempenda sana.
Niliumia kwasababu ulifika wakati hawezi kuwa wangu tena kutokana na mazingira...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.