Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
To all men let us rethink this together. Wanawake wamekua wadangaji, ombaomba na kausha damu huku wakijitetea izo hela wanaume wanatoa kwa hiyali yao hata baadhi ya wanaume wanawaunga mkono kwa...
10 Reactions
56 Replies
2K Views
Nimekuwa nikufuatwa na wamama/ wanawake na hata mabinti wa rika mbalimbali wakiomba ushauri wa mambo ya kiuchumi na mahusiano. Ila katika malalamiko mengi utasikia mwanamama akilalamika kwamba...
5 Reactions
24 Replies
2K Views
Naitwa John niko kwenye ndoa mwaka wa 9 na tumejaaliwa na mke wangu watoto wawili. Nilikuwa muajiriwa lakini niliacha kazi na kuanza biashara zangu binafsi miaka miwili iliyopita. Kiukweli mke...
7 Reactions
46 Replies
3K Views
Naam , it is a good day to stay alive. Kama kichwa cha habari kisemavyo, Kuna katabia fulani hivi page za insta esp clubs na big bars wanapiga picha na video za wateja bila hata kumshirikisha...
5 Reactions
19 Replies
2K Views
Wadau habari zenu. Naomba nijielekeze moja kwa moja kwenye mada husika. Hivi karibuni kumekuwa na utitiri wa thread ambazo zinaletwa hapa na wadau mbali mbali ambazo kwa namna moja ama nyingine...
9 Reactions
73 Replies
5K Views
Kuna wanawake kazi kuishinao hujapokea simu kwa wakati utaona meseji inatumwa we Malaya uko wapi [emoji2] heee! Hajali upo kwenye hali gani pengine Una dripu hospitali[emoji2] Ukimkuta...
12 Reactions
50 Replies
2K Views
Tunakoelekea kama hakutakuwa na jitihada mahsusi, idadi ya wanaume kamili au timilifu itaendelea kupungua kama sio kutoweka kabisa. Kuna wanaume wengi saivi tena wengine wamefikia hata hatua ya...
8 Reactions
27 Replies
1K Views
Salaaam... Kwanza kabisa niwe mkweli tu mie nimechakata sana hawa watoto, ila kuna dem mmoja nlikutana nae mtaani nikiwa likizo miaka ya nyuma kdg ), tukazoeana na ndo nikawa nna mpango aje awe...
13 Reactions
79 Replies
7K Views
Mimi nimea ,Nina mke na watoto,kazi yangu ni kazi ya kusafiri safiri ,Huwa ni siku chache sana naweza kupata nafasi ya kuwa nyumbani na familia.tatizo nimeanza kuona mabadiliko Kwa mwenzangu ...
18 Reactions
75 Replies
5K Views
MWANAMKE AKIKUDANGANYA NAWE UKADANGANYIKA ATAKUDHARAU NA KUKUONA HAMNAZO. Anàandika, Robert Heriel Mtibeli. Wanawake wanapenda wanaume playboy, badboy, Kwa sababu wanajua kuwa ndio wanaakili...
8 Reactions
19 Replies
2K Views
Mafanikio yako ni mafanikio ya watu wengi.wapo wengi nyuma yako wanasubilia uainue. Ukipiga hatua moja ya mafanikio piga na ya pili alafu hatua ya tatu wainue ndugu na marafiki zako na jamii...
6 Reactions
5 Replies
432 Views
Hebu sema ukweli wako? Swali kwa wote, hivi unaweza kuwa na urafiki wa karibu na mume wa mtu au mke wa mtu bila kuwanae kwenye mahusiano ya kimapenzi? #nyumayapazia
3 Reactions
27 Replies
2K Views
Ndoa ni muhimu, na huwa muhimu kwasababu ni kitu kinachowaunganisha mume na mke na kuanzisha familia, na huleta baraka nyingi kama vile watoto na nyinginezo nyingi. Hata hivyo siku hizi, ndoa...
3 Reactions
7 Replies
3K Views
Sio Kila point ya JITU BANDIA NI BANDIA! Wahunii!.... Niaaje! Siku hizi mazee ndoa nyingi zinaishia kuvunjika tu kimasihara...msemo wa rickyboy... kutokana na sababu shazi tu ( nyingi), hususan...
14 Reactions
48 Replies
8K Views
Habarini za asubuhi wapendwa Kama kichwa cha habari kinavyoonekana leo napenda kuchukua nafasi hii kuwakumbusha vijana awe wa kike au wakiume kwamba wawe makini sana kwenye kuchagua wapenzi wa...
6 Reactions
17 Replies
983 Views
Katika pitapita na maisha kwa ujumla nimegundua kuwa masikini wanaongoza kwa kuwa na wapenzi/mahusiano lukuki yaani sio wawazi hata kidogo muda wote anataka aonekane yuko juu kiutambuzi na...
5 Reactions
24 Replies
3K Views
Sadio Mane kwa sasa anachezea timu ya Al Nassr, Mshahara wake kila wiki ni takribani dola za kimarekani 830,000 ambazo ni sawa na shilingi za kitanzania bilioni mbili kila wiki. Kwa nchi kama...
14 Reactions
67 Replies
23K Views
Jiandae kwa diet hii Asubuhi saa moja: maziwa fresh ya moto na mayai ya kuchemsha mawili. Saa nne asubuhi: glass mbili za juice ya miwa. Saa saba mchana: ugali wa dona na foil ya samaki au nyama...
14 Reactions
177 Replies
17K Views
Usije kujidanganya hata siku moja kwamba mwanamke atakupenda kuzidi watoto au mtoto wake, tena yule wa kwanza huwa ana nafasi yake maalum huwezi mwambia mwanamke chochote kuhusu mtoto wa kwanza...
20 Reactions
86 Replies
7K Views
Back
Top Bottom