hisia ndio mtihani mgumu sana kwenye maisha ya mwanadamu na hii kwangu mimi binafsi ndio inanipa tafsiri ya wanadamu kuwa hatuko kamili!.
mtihani upo hapa sio tu kuzishinda hisia zako ndio...
Wandugu hoyeeeee
Kiukweli suala la kuchepuka kama njia ya kulipiza bi Atari,unakuta Katika mahusiano mmoja kacheat, wa ubavu anapofahamu anatafuta mjumbe chap anaiparamia .Kwa vile anafanya hivyo...
But also Kenyan women must stop being cheap sluts for scammers & sex-tourists. We refuse to shoulder the blame for your poor life-choices. If your dumb mothers didn’t tell you to get your act...
Kitu pekee kinachofanya watu waendelee ku-engage kwenye Mapenzi ni nature yake tu kuwa kitu cha lazima ambacho hakiupukiki kwamba by nature tumeumbwa utake usitake lazima ujihusishe na...
Niharakati za maisha ya kila siku umeamka asubuhi huna mbele wala nyuma, hujui kesho huku majukumu mengi kama kijana yanakusubiri:
Kujenga,
Kuendeleza wadogo kielimu,
Kuanzisha miradi,
Kulea...
1. Nchini CHINA, wanawake hawaruhusiwi kutembea ndani ya chumba cha hoteli wakiwa uchi isipokuwa akiwa bafuni.
2. Nchini INDIA kubakwa kwasababu ya kukataa kutoa unyumba haichukuliwi kama ni...
Kwa kawaida maisha ya mwanadamu hupitia katika hatua mbalimbali ambazo ni hatua ya kuzaliwa,kuoa/kuolewa,kufa.
Circle hiyo hujirudia karne na karne sababu hiyo ndiyo asili.hivyo hatua hizo ni...
Aisee..baada ya kuchukua mtoto mkali wa race nyingine kabisa na kumpost tukila maraha kona zote kuanzia instagram, facebook na whatsapp.
Naona taratiibu ma x...
Kitu cha ajabu sana hiki. Utakuta mume ameweka password very complicated na mke nae vivyo hivyo. Hii n tabia za wachepukaji. Huwezi kuweka password mkeo au mumeo asijue.
Unaficha mapicha yako...
Hivi wakuu mwanamke anaweza kukupenda bila kuhitaji mawasiliano naye?? Maana hapa kama nipo njia panda hivi.
Kuna binti nilijaribu kumtongoza baada ya kunipa namba yake sikuwa mtu wa maneno...
Nimekuwa katika mahusiano na mademu wa jamii mbalimbali, lakini baada ya kupata demu wa kizaramo na baadae mluguru nimepata experience kubwa sana:
Yaani kila unapokutana naye au kumpigia...
Ni week ya tatu sasa kijana hanitoki kichwani jmn[emoji23][emoji849] sielew Duuh natamani arudi au nimrudisheje [emoji23] nipeni connection za wataalam [emoji16]
Anyway nyiee mnatumia mbinu gani...
Kazi zangu za tofar zimenikutanisha na mtoto wa kirangi mama ntilie.
Huyu mtoto nashindwa kutambua ameniroga au ni michezo brand new anayonipa, sisikii. nikiwa naye simu
naweka mbali naiona...
Habari zenu,
Kumekuwa na kasumba ya wanawake kuomba hela kwa kigezo cha kuumwa au kuomba hela kununua Dawa.
Ewe Mwanaume mwenzangu nakuhisia! usijaribu na wala usitume muamala mpaka pale...
🖓🖓🖓🖓🖓🖓🖓 🖓 🖓 🖓
~Sote tunaamini kwamba, "Wanaume wote ni sawa, ila tabia zao ndizo zinazo watofautisha....
Ndiooo!! Tabia zao ndizo zinazo pelekea uwepo wa makundi tofauti tofauti ya WANAUME...
In any Relationship, either Married or still in Courtship, there are things you should not tell another person. You never know who will be the Judas over your relationship. There are high secrets...
Habarini za kuuona mwaka 2024, siyo kwa akili zetu Bali ni Neema ya MUNGU tu. Hatuna budi kumshukuru MUNGU wetu.
Basi me nafungua na uzi huu wa Jambo ambalo limenipa mashaka huenda labda nimepata...
Habari zenu,
Kama wewe ni Mwanaume unaejitafuta kimaisha ningependa kukupa ushauri huu, Mademu wasiokua na hela waachie wababu wanaokula pension na washkaji walioachiwa pesa za urithi...
Ili mahusiano yawe imara mwanaume lazima awe juu ya mwanamke katika kila nyanja, kiumri, kiuchumi, kielimu nk. Hawa wanawake walikusudiwa na Mungu wawe chini tena chini kabisa ndio wanakua na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.