Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Hivi ushawahi kuwa na mpenzi kubwa jinga akili haimo kichwani? Lakini kitandani yuko vizuri balaa? Niambie uliendelea nae kimahusiano au ulimbwaga?
8 Reactions
63 Replies
4K Views
Ukiona umemtumia mpenzi wako/mchumba wako/mchepuko wako/mke wako au hata rafiki wa kike wakati mwingine SMS ya kawaida tu kwaajili ya kumsalimia lakini yeye akakujibu moja kati ya majibu...
22 Reactions
134 Replies
16K Views
Habari, Kipindi nipo jobless hapa mjini, wanawake wengi walikuwa wananiringia hata salamu tu. Mtaani hapa nilikuwa Kila nikitongoza wanatema nje. Lakini baada ya kuajiriwa nashangaa Kila mwanamke...
18 Reactions
95 Replies
4K Views
  • Closed
Wakuu za usiku . Leo baada ya kutoka kwenye mihangaiko yangu nikaamua kupanda daladala za kwenda Makumbusho. Sasa siti zilikuwa zimeisha nikaamua kusimama tu, cha kushangaza aliyekuwa amekaa...
19 Reactions
44 Replies
3K Views
Wakuuu habarini za mchana poleni na miangaiko ya apa na pale katika kutafuta riziki zenu, Mimi sio mzoefu Sana katika mahusiano nilianza mapenzi mwaka 2017 Toka mwaka huo Hadi hivi sasa nishakuwa...
8 Reactions
46 Replies
2K Views
So kiss me and smile for me Tell me that you'll wait for me Hold me like you'll never let me go 'Cause I'm leavin' on a jet plane Don't know when I'll be back again Oh babe, I hate to go...
2 Reactions
10 Replies
544 Views
Anasema ikitokea tumeoana hatutoboi miaka 5…. Namnukuu “ Mkitoboa miaka 5 niko pale uniite mbwa” Ni kaka yangu mtoto wa mama yangu mdogo alielelewa nyumbani kwetu… yeye tayari ana familia yake...
3 Reactions
87 Replies
4K Views
Basi boss ashampoo huwa napenda kuandika kama diary mambo ambayo siwezi kumsimulia mtu raha ya jamii forum ni unakuwa unknow mara nyingi naandika nikiwa usiku nikiwa natafakari kwa hisia...
5 Reactions
18 Replies
2K Views
Vijana wengi wanafikiri kumposition mwanamke kama ilivyo kweny filamu za ngono ndio ujuzi wa mapenzi. Zipo normal style lkn nyingi ni kuwezesha kupata angle ya kuchukulia sehemu nyeti wakt wa...
10 Reactions
30 Replies
2K Views
Nilikuwa nataka nikajitambulishe kwa wazazi wa huyu binti sasa katika kumhoji napaswa kupeleka zawadi gani? Nikaona ananiorodheshea zawadi za mama yake tu. Nikamuulize zawadi za baba je? Akajibu...
7 Reactions
45 Replies
2K Views
Ndugu zangu katika JF tujadili jinsi ya kuanzisha hili vuguvugu ambalo litasababisha mabadiliko ya sheria. Kila mtu aondoke na alichochuma. Hii itasaidia sana kuimarisha ndoa
21 Reactions
74 Replies
4K Views
HABARINI FJ PEOPLE Nimependa leo niseme kitu kidogo juu ya tatizo la HIV/AIDs. Hamna asiyejua kwamba HIV ni janga kubwa hasa katita nchi zinazoendelea. Am sorry najua humu kuna baadhi wapo na...
17 Reactions
52 Replies
5K Views
Wanaume wengi sana, tuna dhana kwamba mke ni adui, na mara nyingi tunatumia vitabu vya dini eti vinasema tukae na wanawake kwa akili, kweli? Huyu Mungu ambaye ndiye aliowaumba anaweza...
2 Reactions
14 Replies
448 Views
Mwaka jana nli kutana na dada mmoja ambaye mtu wangu wa muda kidogo. Actually mimi ni mtu ambaye nazingatia sana masuala ya usafi kwa mpenzi. Shida ya kwanza ikawa mdada amekuja Hotel ananuka...
18 Reactions
69 Replies
5K Views
Habarini wana JamiiForums, Kwanza niweke wazi mimi ndio nilikuwa wale waumini hatuamini kama uchawi upo lakini now nimeamini. Pia niweke wazi familia yangu iko very structured, hata nikisema...
14 Reactions
136 Replies
13K Views
Changamoto za ndoa zipo Toka enzi na enzi ila wakati huu zimekuwa nyingi mpk kupelekea ndoa nyingi kivunjika zikiwa na miaka 3 au 2 wengne mpk 1. Na ukiona ndoa imedumu kizazi hichi ujue kila...
1 Reactions
6 Replies
978 Views
Habari zenu Wakuu, Kuna kauzi kana trend hapa JF kanaitwa 'Kula tunda kimasihara', kiukweli ukikapitia kale kauzi utaona ni jinsi gani vijana wanavyojisifu kula wanawake malaya ambao wameshazoea...
26 Reactions
160 Replies
7K Views
Wasalaam Hii nimeshuhudia sana. Kama mtu anakunywa pombe ni rahisi kuwapata Wanawake ila kama hunywi ni ngumu sana. Najiuliza sana sababu ni nini.
19 Reactions
347 Replies
14K Views
Dadaz, hebu leo tumalize huu mjadala! Eti, wewe kama wewe unavutiwa na mwanaume mwenye sifa zipi? Kati ya hizi: 1) Mwembamba, mweusi, na mrefu 2) Mnene, mfupi (kiasi), na mweupe Kwanini?
0 Reactions
5 Replies
812 Views
Back
Top Bottom