Kuna wanawake wanasema ooh "mimi siwezi kumfulia, kumpikia, kumfanyia usafi mwanaume kabla hajanioa"
Na hapo wanafanya tendo la ndoa bila kufunga ndoa!🤔
Vitu vingine vinachekesha🤣🤣
Kweli Dunia inaenda kasi Na Inapata Watu wapya kila siku na Wengine wanasepa kila leo!! Kero kubwa ambayo inaboa kila uchwao kwa kizazi hiki ni Mwanaume KULIA..
Inatafsiriwa kuwa mwanaume ni mtu...
Nina mchumba angu tulipanga mwezi wa tatu niende kwao nikajitambulishe ila kuna kosa analifanya hajataka kubadlika.
Mwezi wa tisa alichat na mhuni nikamkanya na alilia sana wakati anaomba...
Mtaalamu wa ufahamu wa majina, Shekhie Mussa ametaja baadhi ya majina wanaopenda sana kufanya mapenzi, akisema kupenda kwao sana tendo hilo ni afya. Akataja watu wenye majina yanayoanza na herufi...
Habari Wakuu, twende moja kwa moja kwenye heading hapo.
Wanawake kwa wanaume je, kuna ukweli wowote au uhusiano wa nyonga kwa mwanamke na kufika kileleni wakati wa tendo?
Wadau hawa viumbe huwa wanapatwa na nin..au ndo hormones maana sielewi.
Si mchezo wadau.
Kawa mkorofi balaa.
Kila kitu hataki hasira toka asubuh hadi jioni.
Hizi mambo kwel hazichagui...
Based on true story/ based on experience.
Kama ilivyo kwa wanaume wenye vibamia na ma tango, the same kwa wanawake, ni suala la ki maumbile zaidi na kukiko kimazingira period.
Wakuu nawasalim za muda huu, lakin pia pole kwa wale wenye changamoto znazowakabili.
Niend kweny mada kuna bibi mmoja hivi mwaka juzi alikua ananielez jinsi ya kuishi na mwanamke pamoj na...
MWANAMKE MWENYE MAKELELE
Tarehe 9/10/2021 nipo stendi ya mabasi Iringa, nimekaa karibu na wakatisha tiketi za mabasi waliokuwa wakifanya mazungumzo yao, na katika mazungumzo yale ninawasikia...
Habari jamii forum,hope mu wazima mpaka mme log in humu basi mambo ni yente.
Bila kupepesa macho kisa kipo hivi, Mwanzoni mwa mwezi wa kumi na moja mwaka huu 2023 nilikuwa natoka job,nikiwa...
Habari wakuu..
Niende moja kwa moja kwenye mada,
Kwakweli wale waliowahi kusema kuna wanawake ukilala nao basi unapata mkosi mimi yamenikuta!
Kuna manzi moja nimeshaipiga mara tatu na katika...
Binafsi mimi naona kijana kakosea, huenda alikuwa sahihi kumuacha ila namna alivyomuacha alikosea, ilibidi amuache kivingine, mkasa huu hapa nawapeni.
Kuna kijana mdogo wa kiume miaka 26 tupo nae...
Habari za mda huu wakuu
Utachukuliaje pale rafiki yako anapokuwa na tabia hizi.
Unarafiki ambaye pale anapopatashida anakuitaji umshauri atakusumbua ata usiku wa manane umuweka katika mood ila...
Ni mwanamke mmoja hapa karibu na mazingira ninayo fanyia kazi ni kwa muda sana alijaribu kujisogeza karibu na mimi ila kwa kuwa ndugu yenu sina dhiki na wanawake hivyo sikumpa time yangu sana...
Miaka kadhaa nyuma katika harakati za maisha nilikutana dada mmoja (ameolewa ila mumewe mtu mzima sana) tunatoka mkoa mmoja tukazoeana sana, maana nilikuwa namuuzia bidhaa. Baadae akaomba...
Mathalani umeomba kazi ya kukuongezea kipato, umeomba mkopo benki au kausha damu, umeomba kura kwenye uchaguzi, umeomba ruhusa kazini au shuleni, umeomba urafiki wa kike au wa kiume, umeomba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.