Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Like any other failure in life, a failed marriage is a treasure trove of lessons that molds us into becoming the better version of ourselves. Although heartbreaking, it is always a good idea to...
4 Reactions
4 Replies
763 Views
Huwa nachukizwa sana na wanawake ambao katikati ya mechi anakuomba uvue Condom Weekend iliyopita nilikua na manzi flani Lodge sasa mzee mzima wakati nipo round ya tatu manzi akaniomba nivue...
15 Reactions
64 Replies
4K Views
Huwa nakanganyikiwa pale ninaposikia mtu anasema mwanamke fulani bado kigoli kabisa kiukweli sielewi hapa anazungumziwa mwanamke wa namna gani. Je mwanamke kigoli anamzidi nini mwanamke mwingine...
0 Reactions
21 Replies
26K Views
Nawaombeni kwanza ncheke[emoji23][emoji23] Unakutana na wapenzi ambao wamekwisha jiwekea ratiba ya kukutana kila siku mida ya saa 1 mahali X Hivi ninyi watu huwa mnaongea nini...
3 Reactions
24 Replies
992 Views
Muda huu niko hapa Saluni nikiwa nachekwa na watoto wazuri kwa kufanana na Chifu Maleale kichwani. Nusu ya kichwa upande wa mbele kuna nywele, ila nusu ya kichwa upande wa nyuma ni empty set i.e...
0 Reactions
8 Replies
696 Views
Hii hali naona kama imeanza Marekani, baadhi ya wanawake Wa Marekani kule mtandaoni K.v TikTok na insta wanalalamika Kuwa wanaume wengi hawatongozi tena, rate ya wanaume kutongoza miaka hii...
80 Reactions
453 Replies
35K Views
Salute, Kwa vijana wote specifically wa kiume waliozaliwa mwaka 1990s ambao wanataka kuingia maisha ya ndoa. Basi wajitatahidi sana kuzingatia mambo haya wakati wanapochagua wenzi wao wa maisha...
22 Reactions
129 Replies
6K Views
Nina dozi ya malaria plus joto la huu mji lakini waaap! mchumba ananisaidia harakati za hapa na pale nimejikuta tu nimeshaweka kamba 2 na homa imepoa kimtindo baada ya kuvuja jasho la kutosha...
16 Reactions
37 Replies
2K Views
Habari wadau. Ukweli maisha ya kisasa sio rafiki kabisa kwa dada zangu ama wanawake wote. Wanawake wana biological age tofauti na wanaume. Dada zangu wanamaliza elimu mapema wakiwa ealy 20s...
6 Reactions
148 Replies
6K Views
Hello guys, Kama kawaida yangu mm ni mtu wa nightclubs ifikapo weekend, sasa kama mjuavyo ndani ya club kuna wadada wa aina mbili, wanaojiuza na wale wasiojiuza (ambao wamekuja club ku-relax)...
5 Reactions
19 Replies
5K Views
Mwaka 2018 nilimchumbia Mischana mmoja na nikafanikiwa kulipa mahari lakini baada ya muda nikasikia kuwa Kuna MWALIMU ameshatoa mahari na tarehe ya harusi imeshapangwa. Nikafuatilia ili kujua...
50 Reactions
143 Replies
6K Views
Habari wana JF,Poleni na majukumu ya hapa na pale 🤝. Nimekuwa nikijiuliza kama ni kweli mwanamke anaweza kusahau kabisa "EX" wake, hasa anapopata nafasi ya kukutana naye tena. Nimegundua kwamba...
32 Reactions
460 Replies
23K Views
Wakuu kwema? Aisee mwaka jana january 26 2022 nilikua nimeenda kariakoo na demu wangu mmoja mtoto wa kishua kufanya shopping maana nilikua nimehamia geto miezi miwili nyuma so sikua na mapazia ...
14 Reactions
87 Replies
7K Views
Kuna kitu huwa nakiepuka sana! Kuvaa nguo zenye maandishi na michoro nisiyojua maana wala tafsiri yake.. Kwakuwa huwezi jua umevaa kitu kilichoandikwa nini na tafsiri yake ninini Lakini zamani...
8 Reactions
28 Replies
2K Views
Today is your great day beth .. Let it be the very special day. [emoji173] Sent from my LM-V500N using JamiiForums mobile app
3 Reactions
7 Replies
472 Views
  • Closed
Mara nyingine unaweza sema mtu anamtania mwenzake lakini clearly unakuta jamaa liko serious kabisa linadondokea kwa id inayoonesha ni ya KE. Sasa sijui ni mchezo wa kubahatisha kama anaweza...
11 Reactions
88 Replies
3K Views
Nina miaka kadhaa kwenye mahusiano na ndoa, nina watoto pia. Lakini sijawahi kulala kitanda kimoja sijui shuka moja na mke. Bahati mbaya ukimhadithia mtu kwamba haulali kitanda kitanda kimoja mke...
30 Reactions
196 Replies
12K Views
Mwenzenu ninapendwa japo sipatiwi tendo la ndoa. Naimani asilimia mia kuwa ninapendwa. Maana huyu mwanamke huufurahia sana uwepo wangu, huvutiwa na ucheshi wangu, hunitamka mara kwa mara mdomoni...
5 Reactions
14 Replies
1K Views
Nimekuwa kwenye mahusiano na dada mmoja, kwa zaidi ya mwaka sasa, amekuwa na tatizo la kupata ujauzito kwenye ndoa yake kwa zaidi ya miaka mnne ya ndoa, na amekuwa akiniomba nimsaidie kupata...
5 Reactions
31 Replies
992 Views
Back
Top Bottom