Kwanza kabisa tunapaswa kuelewa kuwa ndoa ni kifungo na kiapo chenye nguvu sana...ukichukulia juu juu utateseka sana na kiapo hicho.
Mke kazingua, anabishana na wewe, hataki kuwa chini yako...
Je mnashiriki oral sex? Mnafanya blowjob? Je mna masharti kwenye kufanya tendo la ndoa? Je ni nani kati ya mume na mke ndio mmiliki wa tendo la ndoa na kwamba ndiye mwenye uamuzi wa muda wa...
Hapa duniani nimeshawahi kuwa na ndoto nyingi. Kuna ambazo zimeshatimia, zilizofeli na zingine michakato inaendelea. Sasa jana ndoto yangu ya hivi karibuni imefikia mwisho bila mafanikio. Ni...
Natarajia kuoa hivi karibuni na mke mtarajiwa ana mtoto wa miaka 5. Huyu mtoto namhudumia kwa kila kitu na namuonesha upendo wote kama baba yake mzazi.
Kuna shida imejitokeza baada ya kumpeleka...
"Mwenendo wa Wanaume" hurejelea kanuni za kijamii na tabia zinazotarajiwa kutoka kwa wanaume katika hali mbalimbali. Ingawa mwenendo unaweza kutofautiana kulingana na mila na matarajio ya kijamii...
Igweeeee,
Heri ya sikukuu ya sabasaba.
Waswahili husema mwanamke mjinga huivunja ndoa yake kwa mikono yake mwenyewe na sio MWANAUME.
Hawa waswahili walikuwa sahihi kabisa, katika ndoa mwanaume...
Habari wadau.
Ndoa changa za Kikristo ambazo mume na mke wanaanza kuishi mbalimbali baada tu ya kufunga ndoa zinashika kasi sana kwa kisingizio cha kazi ama ajira.
Ndoa inafungwa ila mume na...
Hawa dada zetu wana hali mbaya ila ukiitizama ni ya kujitakia na ndio maana wengi wao wana tamaa ya fedha. Based on utafiti nilioufanya kwa wanawake ambao ni marafiki zangu.
Ukichukua sample ya...
Wakuu mi niende mazima kwenye mada husika bila mbambamba.
Kwa muda mrefu sana nimekua nikijiuliza, wale viongozi heavy weight wa kike wananyanduliwa kwa namna ipi?
Ni hii hii ya pelekea moto? au...
HAYA maisha yamesheheni sana umaridhawa. Je, sikukwambia?
Life is so wonderful, didn't I tell you?
Leo inapofika, inaweza kukushangaza kuhusu jana.
Leo hupatanisha maadui wa jana. Hufarakanisha...
Wale ambao tunategemea kupata watoto mwaka huu tukutane hapa tujuzane mambo ya kuzingatia.Mimi ni mmojawapo ambae mwaka huu Mungu akijalia kwenye mwezi wa nane mwezi niliozaliwa mimi basi nitapata...
Habari za kutwa wana JF.
Leo nawapa mbinu za hawa wake zetu/wapenzi wetu wanazozitumia hasa wanao fanya kazi mbali.
Ilikuwa Jumamosi moja hivi nilikuwa kwenye harusi ya jamaa yangu mmoja hivi...
Habari wakuu, kama mada inavyosomeka hapo juu,
Mimi ni kijana miaka 34 sasa nimeoa nina watoto wawili, Mwaka 2021 nilikutana na huu mchepuko katika harakati za utaftaji na tukaanzisha mahusiano...
Siku ya Valentines Day asili yake ni kutoka Dola ya Warumi. Ni siku ya kumbukumbu (memoria day) na sehemu nyingine ni (festum) maana yake siku kuu ya daraja la kwanza kwa kumkumbuka Padre...
Wakuu,
Nina shemej yangu mmoja wa kike yuko serikalini, ni mchumba wa rafk yangu mmoja wa karibu anafanya kazi maliasili uko mkoani.Huwa anakuja Dar mara moja moja sana kwa mwezi.
Huyu binti ni...
Wiki ilopita Mwanamke wangu alikuwa na ziara ya kikazi mikoani kwa gari ya ofisini kwao na wenzie watatu (jumla 4 na dereva wao) kwenda kukagua hesabu za vituo vyao vilivyopo uko mikoani.
Siku ya...
Hivi ni kwa nini lugha inaonekana kukosa mvuto hasa kwenye suala la mapenzi? Utamwakaji wa maneno kama vile: nakupenda sana hauna mvuto kama vile '' i love you so much'' pia maneno kama vile '' i...
Aisee, bila ujanja, hawa viumbe hutowafaidi. Utaishia kujichukilia sheria mkononi hadi iishilie.
Basi bhana. Wiki mbili zilizopita niliamua kumsarandia baada ya wanaume karibu wote kumshindwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.