Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.8K
Posts
220.7K
Threads
7.8K
Posts
220.7K

JF Prefixes:

To listen to the Oscar-nominated actress gush about fiancé Benjamin Millepied and their unborn child, one immediately conjures up images of fairytale meeting on the set of "Black Swan." What...
0 Reactions
1 Replies
5K Views
1. According to Playboy, more women talk dirty during love than men. 2. Women do NOT want an honest answer to the question, ‘How do I look?’ 3. A Saudi Arabian woman can get a divorce if her...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Nimekaa nikiwaza hili. Inakuwaje kama wawili wameoana halafu hawakubahatika kupata mtoto? Yawezekana tatizo likawa kwamke au mume ila mara kama tatizo ni la mwanamke basi mwanaume huruhusiwa...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Dear WanaJF............ Habari zenu? Katika hizi siku za karibuni kuna matukio yaliyojitokeza ambayo yamenifanya niwaze na kujiuliza maswali mengi sana. Hasa hili suala la Mainfii ambao wamezaa...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
WANANDOA wanaoendelea kuishi katika misuguano isiyopatiwa ufumbuzi kwa muda mrefu ni vyema wakajifunza kutokana na matukio yanayoendelea kuibuka maeneo mbalimbali nchini. Ni hatari kuendelea...
0 Reactions
15 Replies
5K Views
Dear JF members Kwa mara ya kwanza ninarusha threads mbili kwa mpigo...............ninawaomba mnisamehe nimechanganyikiwa Nauliza tu nini maana ya Usemi wa Uchungu wa mwana aujuaye...
0 Reactions
14 Replies
7K Views
Wapenzi wangu nimewamiss baada ya mtoko wa siku chache kiofisi vijijini. kuna swali ambalo nimeona kuna sababu tujiulize tupate jibu................ ..........................Je mapenzi ni...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Adam and Eve on a Saturday night That's when the trouble started She said Adam let's go for a bite She led him through the garden And ever since then we tried to make sense of this mystery emotion...
0 Reactions
0 Replies
747 Views
Is This Love……. Baada ya Bwana kuona mpenzi wake upendo umepungua alighafirika na akashindwa kujizuia akatoa roho yake na ya mke wake… sababu asingeweza kuishi bila ya mpenzi wake Or is This...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Dear JF Members, Have a Happy friday!!!! Top 10 Things Better Than Sex While researching this article I found so many things listed as "better than sex" that I started to wonder why anyone...
0 Reactions
39 Replies
3K Views
Mke anayependa sana ngono amfanya mumewe akimbilie polisi ISTANBUL, Uturuki MWANAUME mmoja raia wa Uturuki anayeishi nchini Ujerumani amelazimika kukimbilia polisi kuomba msaada baada ya...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
I wish all the families could stick together Getting alot of love and live forever I wish together we could hold a prayer While hoping that GOD will answer our prayers I know we all have our own...
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Nianze yangu kalamu Kuandika muhusia Tena na iwe muhimu Wasomaji zingatia Haya ninawakirimu Pengine yatawafaa HESHIMA KITU CHA BURE ,WAJIBU KUWAZINDUA Werevu chunga heshima...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Katika kusoma soma Blog nimekutana na hili hapa sasa naomba kujua kutoka kwenu hili linaukweli? Aliyefanya utafiti alikuja na majibu haya si mimi naombeni mnifumbue macho .... ''Ni vitu gani...
0 Reactions
160 Replies
12K Views
hapa natetemeka kwa furaha, nimeweka muziki wa rose mhando uitwao MUNGU NITAKUSHUKURU. nimejawa na furaha, lakini niko mbali sana nje ya Tanzania, ningependa kuwepo lakini nimesafiri masafa marefu...
0 Reactions
43 Replies
5K Views
Mpango wa kando nchini Kenya wanauita....................uhawara... faida zake ni zile zile za ugoni na hasara zake zinafuata mkondo huo huo...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
The strength of a man isn't seen in the width of...
0 Reactions
21 Replies
2K Views
HAbari za asubuhi wanaJF. Leo nimetafakari sana kuhusu mwanamke kueleza hisia zake za mapenzi kwa mwanaume anaempenda. Ningependa maoni yenu na michango yenu juu ya hili kwani mimi binafsi sio...
0 Reactions
45 Replies
10K Views
1. Kila niwapo salani, naomba mola nichunge, Nipatetinga ndoani, upendo wako nipunge, Niishi kama peponi, dunia isinizonge, Dedilaini mwakani, ndoa lazima nifunge 2. Butege aliuliza, kwa...
0 Reactions
82 Replies
6K Views
HILI SWALA KIUKWELI SILIELEWI NA NAONA KILA MTU ANALITAFSIRI KIVYAKE. WENGINE WANASEMA ETI WANAOMBA HALAFU ROHO MTAKATIFU ANAMWONYESHA KWENYE MAOMBI HUYO MKE NDO ANAMFUATA NA KUMWELEZ ETI MUNGU...
0 Reactions
27 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…