Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.8K
Posts
220.7K
Threads
7.8K
Posts
220.7K

JF Prefixes:

Wapendwaz MMU...Hivi mwili wa binadamu(dume/jike)...ukiwa kama alivozaliwa... una mvuto?!haijalishi akiwa mtoto au kikongwe?!:msela:
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Embu tumsaidie jaamaa yetu jamani Kuna kijana wangu amependena na binti mmoja pale afrikasana..sasa wana muda gani sijui na sitki kujua sasa amekuwa akiongelea sana maswala ya ndoa jana tukiwa...
0 Reactions
53 Replies
5K Views
Kwamba watu wawili mnaopendana mnaamua kuoana na kuishi maisha ya pamoja bila kutaka kuwa na watoto au kupanga kuwa na watoto. Je hili linawezekana katika jamii yetu au kila ndoa inapimwa kwa...
0 Reactions
55 Replies
5K Views
Kuna familia moja hapa niishipo ndoa yao imevunjika baada ya mwanamke kukuta pieces 2 za kondomu ndani ya suruali ya mume wake. Hadi sasa ni mwezi mmoja umepita tokea kizungumkuti hicho kitokee...
0 Reactions
53 Replies
6K Views
Matokeo ya kidato cha nne yanaonyesha wazi kuwa kwa sasa wavulana (wanaume) sasa ni midebwedo kwa watoto wa kike. Katika shule 10 bora, za kike ni saba, kama sijakosea. Aidha katika wanafunzi 10...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Hivi ni kweli mtu wako wa kwanza uliyeanza nae mahusiano ya mapenzi huwa hamdumu hadi kufikia ndoa? Ataanza wa kwanza halafu atakayefatia wa 2,3,4.... Ndiye utakayemuoa/atakayekuoa. Halafu ni...
0 Reactions
50 Replies
4K Views
Nimeshuka wanajamvi baada ya kukaa manyasini nikichungulia chungulia jamvi. Nimejaribu kujiuliza bila ya kupata jibu, hivi katika karne hii bado kuna mababa wanapiga wake zao!!. Imenitokea mimi...
0 Reactions
31 Replies
3K Views
1)KANUNI YA NENO LA KUPENDEZA Usipitishe siku nzima bila kutamka neno la kupendeza na la kukumbukwa na mwenzio. 2)KANUNI YA NENO "NIMEFURAHI KUKUONA" Usikutane na mwenzio bila kumkaribisha...
0 Reactions
10 Replies
11K Views
Bandugu nawasalimu.. Nina miaka 30 sasa, sijaoa kwa kuwa bado antena ya maisha haijakaa sawa, nakamata chenga.! Kuna tatizo linanisumbua sana, yaani haupiti usiku bila "kujikamua". Ninapopanda...
0 Reactions
46 Replies
5K Views
Uko wapi wetu mpendwa, have been long time since uwepo jamvini? Mburahati huko au mkiolewa siku hizi mnanyang'anywa ujuzi wa kutumia internet?
0 Reactions
31 Replies
3K Views
What Goes Around Comes Around One day a man saw an old lady, stranded on the side of the road, but even in the dim light of day, he could see she needed help. So he pulled up in front of her...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Watani habari gani, nawasalimu jamani, Kumi na moja i ndani, nakuja na hizi ghani, Limenijia kichwani, wazo hili si utani, Ndege akilia sana, karibu kutunguliwa! Akijelengesha tungua...
0 Reactions
101 Replies
10K Views
My dear Brothers and Sisters Greetings from the very bottom of my heart.... Nimekuwa nikiwaza kwa nini kina kaka huwa wanatuaccuse kina dada kuwa tunatumia 'Vitendea kazi" vyetu kuwanyanyasa...
0 Reactions
42 Replies
4K Views
I am like I said doing something abominable and I know. But I cant help myself. I am an existing member of (...) but I cant post this using my ID for fear of the stigma cos some of friends in...
0 Reactions
31 Replies
2K Views
Facebook is an addiction for many. By Darius Mugisha (email the author) Your Email Message Send Cancel Posted Monday, January 24 2011 at 00:00 My friend Dedan recently realised that his...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
wanajamvi,mi nimeoa.mke wangu kapata mimba ina mwezi mmoja.sasa naogopa kwamba nikifanya naye tendo tutamdhuru au kumuua mtoto wetu.mke wangu anasema hamna madhara ila mimi nimekataa kwani naona...
0 Reactions
31 Replies
5K Views
Ukiota unafanya mapenzi na mama au baba yako mzazi maana yake unatakiwa uharakishe mipamgo yako ya biashara. Mwanamme akiota anafanya mapenzi na mwanamme mwenzie ni ishara ya kupoteza heshima...
1 Reactions
34 Replies
19K Views
Nimepokea salamu kutoka kwa mchungaji Masanilo kwa kupitia ujumbe mfupi anawasalimu sana, anasema yeye anaendelea fresh na kifungo alicho pewa, kifungo kikiisha Inshallah tutawakuwa nae tena. Ila...
0 Reactions
60 Replies
5K Views
HALELUYA!!!HALELUYAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! BWANA ASIFIWE WATU WA MUNGU LEO HII ASBH NINAO UJUMBE MWEMA MAISHAN MWAKO NAO NI LINDA SANA KINYWA CHAKO NdUGU MPENDWA...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Back
Top Bottom