Kiukweli sikufahamu ila kutokana na majambozii ya jf yananifanya nitamani kukufahamu haswaa.Sifa zako za vyupa zinaniiiii furahisha.
Napenda kukualika katika sherehe ya graduation ya binti wa...
Habari zenu wapendwa katika jina la bwana?
Nawapenda nyote, ila sijui kama nina wivu na nyie ama la!
Nimekuwa nikijiuliza mara kadhaa na kutambua kuwa kuna sababu nyingi zinazoweza kumpelekea...
Ni kama ifuatavyo:-
Kuoga D+,
wivu B+,
uvumilivu E,
uchokozi C+,
kuzurura A,
kulala uchi A,
kuchukua bibi za watu A,
siasa A,
kupewa maji A,
kutumia kondom E,
kwenda kanisa E...
wakuu kama siku tatu hivi zimepita kuna mwanamke ambaye nilikuwa nawasiliana naye.Najuzi usiku akanialikwa kwake nikaenda usiku na tukapiga stori na nikalala kwake hadi asubuhi,kama mida ya yaa 12...
Kwa jinsi ndoa za sasa vijana wetu wanavyoziendesha kwa kweli nimeanza kuogopa
sijui kama watoto wetu kutakuwa na ndoa..nadhan kuna umuhimu mkubwa wa wachungaji kuwaeleza vijana umuhimu wandoa na...
Kuna siku nilitokea kuwasiliana na mdada fulani(jina kapuni),ingawa hatujawahi kuonana uso kwa uso.
Huyo dada kuna siku nilim-sms kwa meseji kama salamu, ikafika mahali, nilimuuliza amekula...
Every person was a child once,how you were raised,what you saw in the family might have affected you in one way or another,.Your relationship with your friends,co-workers,husband etc can be...
Wakuu: habari ya wked? Kuna hili linanisumbua. Inaonyesha ndoa nyingi zinaingiliwa (kunakuwa na cheating) na ma house boy/shamba boy, house girl, marafiki, majirani, wauza urembo, mapedejee na...
Huwa najiuliza lakini sipati jibu, Hebu Wadau nisaidieni.
Kwanini tunalipa mahari tunapotaka kuoa?????
Je wewe kabila lako wanatoza shilingi ngapi kama mahari kwa mwanamke BK na kwa mwanamke ambae...
Yamenikuta mwenzenu.....nina mchumba taratibu zote tayari bado kuanza vikao tufunge pingu za maisha august.. hapa nilipo nina ujauzito wa miezi nane yani na expect march mwanzoni nijifungue ndo...
Jamaa mmoja mkazi wa Arusha jana amemuua kondakta wa daladala kwa kushilikiana na mke wake. Jamaa huyo alikubaliana na kondakta nauli sh.750 lakini alipo fika kituo anacho shuka akatoa sh.200...
A mans lie is, "I was at Kevins House...", A woman lie is like, "its your Baby".... CHRIS ROCK
MY TAKE
Although the guys is a comedian and he was Joking...., Lakini je kuna uongo mkubwa zaidi ya...
Ukubwa haimaanishi umri kwenda tu.
Ukubwa una maana nyingi, kulala uchi, kufanya maamuzia magumu, kujihukumu mwenyewe kutokana na maamuzi yako, na kadhalika.
Ukubwa ni jalala, ujilee, umlee mwenzi...
How does it danger if i get all the facts about the pasts of my spouse....? Am I wrong when I tell her/him everything about mine? And Am I wrong when I ask her/him about her/his pasts? Can you do...
Kugombana katika mahusiano au ndoa ni kawaida na sehemu ya maisha watu mnachukuliana maisha yaende sasa kuna yale maneno utakuta mwanaume anamasea mwanamke
' ndio maana malaya wewe'
'peleka huko...
Wapendwa Katika BWANA.....!
habari zenu binafsi kwa ujumla wenu?...ni matumaini yangu kwamba Wote mnaendelea vyema na mchakato wa kuutafuta mkate wenu wa kila siku.
Kama vile wote mnajua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.