Mweekee bajeti ya kiasi cha pesa, muonge mara ya kwanza, ya pili, ya tatu mpaka ya tano. Mara ya sita omba mzigo. Walahii Aruki!!! Ukiingia kwa sound, mtafika kigoma kwa treni na kurudi hata...
utakuta mwanume na mwanamke wanajuana miaka mingi, ila hawako karibu sana
tena, wanaheshimiana miaka yote, ila siku wakila TUNDA au wakifanya tendo la
ndoa wanakuwa karibuuu, tena wanakuwa HURUU...
Habari wana JF!!!
Siku hizi hii issue ya WALIMU kutembea na WANAFUNZI imekuwa kawaida sana,lakini najaribu kujiuliza maswali mengi sana.
1. Ni kweli walimu wa siku hizi wana TAMAA sana??
2...
Haya tena hii ni kwa wale wanao tudharau ma engineer kuwa hatujui kuimbisha demu cheki style zetu za kuimbisha demu
"Hi dear
Yesterday, I was passing by your rectangular house in...
Tuko katika wakati mgumu sana! ingawa tuna kabiliwa na matatizo mengi yanayo pelekea hata Maaskofu, Masheghe, Mapadri na watu tofauti ambao hapo awali hawakuonekana katu kujihusisha na Siasa hata...
Eti nasikia wanawake wa kusini hasa Wamakonde na Wangoni ni watalaam sana kunako 6 kwa 6! wenye uzoefu na wanawake wa kusini tafadhari mchango wenu!!!!!!!!!!!!!!!!!
Habari zenu binafsi wapendwa, kaka,dada, baba,mama,babu/bibi.
Hongereni kwa kumaliza weekend salama, natumaini ilikuwa nzuri, hata kwa wale ambao haikuwa nzuri kama walivyotarajia poleni ila la...
Mwanaume wa zamani akiwa anamtaka mwanamke
1: Akiwa Bar na wamekaa meza moja atazungusha raundi hata kwa hela za kukopa
2: Daladalani atakuwa gentle na kukulipia nauli hata kama ilikuwa yake...
jamani nisaidieni mwenzenu, huyu bwana anapenda sana kutumia vipako vyangu vya kike! yaani utakuta nina perfume yangu naye ana yake lakini atatumia yangu kisa eti zinanukia vizuri, hivyo hivyo kwa...
Hii nimeiona mahali nikaona ni vema kuiweka hapa.
Kwa heshima na taadhima, naomba kwa wale wote waliosoma degree ya sociology kwa ngazi yoyote, iwe ni Tanzania au nje ya nchi bila kujali ni mwaka...
Mapenzi,mapenzi ,mapenzi,mara mwaume huyu kanitongoza,mara mwanamke huyu hivi lkn ni vizuri pia tukajua na kuchambua mapenzi na pia kuwakumbuka haswa wale watokao ktk muungano wetu wa mapenzi,hapa...
watu bwana wanapenda kula vya wenzao vyakwao wanabanabana,sasa unataka vyako ukale na bibi yako,acha ako ka tabia,ukijua kula ujue na kuliwa ebooo?inahusu:A S shade:
David Cato, shoga aliyegeuka kuwa mtetezi wa haki za mashoga
Thursday, December 10, 2009 3:54 AM
Wakati Marekani baadhi ya majimbo yanaruhusu ndoa za jinsia moja, Mashoga watakaokamatwa nchini...
Kuna rafiki yangu wa karibu sana, jana mida ya saa 10 hivi jioni aliniomba ushauri, yeye anataka kufuga kuku kwa kuwa amekuwa mtu mzima sasa! Anaomba ushauri, atafute kuku wa aina gani? Je aende...
I was so jealous of my sister that I ended her love
S
File | NATION Jealousy can cause big havoc to relationships. Your sister may need to know certain truths from you...
Nimetoka Masasi Mtwara jana, leo nipo Mkuranga mkoa wa pwani. Kisa cha kushangaza, familia ya wenyeji wangu watoto wao awafanani, wapo 5. Moja mrefu, wawili wafupi, wawili wa Wastani, rangi zao...
Hi my people! Kunamambo hua najiuliza nakosa jibu naishia kucheka mwenyewe, hivi kwa nini wanaoongoza kwa vituko niwanaume? Utakuta amechumbia mwenyewe akaoa baada ya muda ooh sikutaki nilikuoa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.