Ndugu wana jf, hv mtu akiwa mtwara na mpenzi wake yuko bukoba na wala hakuna mawasiliano yoyote kati ya hawa wapenzi kwa sababu zilizo nje ya uwezo wao, je kuna uwezekano wa ndoto zao kutimia...
Wana-jamvi mshakaji wangu wa tokea form one hadi university level analalamika kuwa ndoa yake kwa sasa ipo hatarini kuparaganyika baada ya yeye mwenyewe ( mshikaji huyo) kususia tendo la ndoa...
Huwa najiuliza hawa waeka threads zenye title labda wadada tuu, wakaka tuu, wenye ndoa tuu, wamama tuu nk.
Huwa wanadhamiria kweli hao watajwa? je kimtazamo huwa wanalenga hisia flan ziwe kama...
WanaJF tuna mawazo mazuri sana ya kukutana na kufahamiana, ila kinachosikitisha ni kwamba ndani ya mikutano hii majibaba mengine inatumia kutufataki! Inatongoza kila mdada!! Tuwafanyaje hawa...
Habari zenu dada zangu wapendwa.
WIFINISM
Kuwa na wifi ni kitu amabacho kila dada mwenye kaka hukisubilia . Na kwa uzoefu ugomvi kati ya dada na wifi huweza kuleta matatizo ambayo hata...
Je umeshawahi kujiuliza maswali haya? Na uliyapa majibu gani? na uliyafanyia kazi? Nini matokeo yake? Na umepata faida gani?
1. Ni nini kinachohitajiwa ili kuwa mume mzuri?
2. Mwanamke anawezaje...
Matrimonial separations, divorces on the increase
By HASINA MJINGO, 22nd January 2011 @ 22:00, Total Comments: 0, Hits: 22
MATRIMONIAL separations and outright divorces are on the rise...
UTANGULIZI (RADHI)
Siku tatu zilizo pita, tumeleta maada ya bikra, ambayo imeleta hisia tofauti miongoni mwa wachangiaji katika jukwaa hili. Naomba radhi kwa wale ambao iliwakera hatukuwa na nia...
Habari zenu wana JF.
Hua najiuliza maswali lakini sipati picha.
Hivi ili uwe maarufu wa jambo lolote lazima ufanye jambo au kitu tafauti katika jamii.
So hapa nawaombeni tuyaweke majina...
Ndugu, nina kijana amepanga kwenye apartment ya house yangu, kijana alikuwa ni mtu wa kawaida mwenye majukumu yake ya kiofisi mazuri tu. Ninachoshangazwa nae siku za hivi karibuni ameanza...
leo nimepata furaha kubwa sana. kuna mkaka mmoja aliwahi kuniapproach miaka ya nyuma akitaka kunichumbia na aliniambia ukweli kuwa alishadivorce na alipata mtoto mmoja kabla ya hiyo talaka. siku...
Nakushauri nenda kwa wanyaru koz wana sifa zifuatazooooo:-
wafupi sana.
wana vigimbi.
wamekomaa sura
wavumilivu ( unaweza mlaza na njaa wiki nzima)
utakula mbuzi wa kisasa(dog)
wanajua kupika...
So I'm at work yesterday and the mailclerk starts handing out letters from upper management. At this point, I'm thinking "Oh crap, how am I gonna tell my family I got laid off?" Fortunately, I'm...
Nimetokea kuwa na uhusiano na mabinti wa kisandawe,kwa sura, shepu na tabia ni wazuri.Tatizo ni kuwa mabinti hawa wamekeketwa.
Naomba niwaulize mashemeji zangu kwanini mnaondoa kiungo hiki muhimu?
Nasikia akina mama wote duniani hawajui kutofautisha ukweli na uongo hasa pale anapokuwa anatongozwa!!hata angekuwa ba PhD!anaweza akatongozwa na mubeba kago shimoni kariakoo kwa uongo...
Ni sauti toka chumba cha kati, sikuelewa nini atoe, unapeleka mbali, sikupata jibu tuuu, sikutaki tena maana wewe ni muharibifu wa mali za wengine, nikatoka kapa tena, mamaaaaaaaaaaaaa, sauti kwa...
Did you know that those who spend their time protecting others are the ones that really need someone to protect them?
Did you know that when you help someone, the help is returned in two...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.