Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.8K
Posts
220.7K
Threads
7.8K
Posts
220.7K

JF Prefixes:

Jamani huyu binti nampenda sana tena sana, lkn tatizo ninaishi mbal na mpenz wangu! Mwili unapohtaj sex mara moja namkumbuka mpenz wangu na kama nilipanga kufanya upuuzi naacha. Kinachoniumiza...
0 Reactions
4 Replies
4K Views
natafuta rafiki jaman, wa kike, vigezo: umri kati ya 22-28, mwanafunzi au mfanyakazi, na anayependa utani!
0 Reactions
0 Replies
999 Views
Kwa mwanaume wadau wanasema ni kawaida kutamani kwanza kisha anapenda baadae kutokana na huduma atakazo pata na kufrahisha moyo wake lakini kwa wenzetu akina dada wao wanapenda moja kwa moja bila...
0 Reactions
101 Replies
9K Views
mwenzenu yamenikuta, ninaye BF wangu ambaye 2mekuwa pamoja kwa muda wa takribani miaka 6. Tulipendana sana ktk hiyo miaka sita, hivi karibuni baada ya wote kuanza kazi naona mwenzangu tabia zake...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Leo nipo maeneo ya Matejoo Arusha. Kwa mara ya sita sasa sikio langu limekosa mipaka ya kusikiliza hili jambo. Jana wadada fulani hapa maeneo niliyo fikia, walikuwa wakimteta mwenzao ambaye...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
1.) Fine : This is the word women use to end an argument when they are right and you need to shut up. 2.) Five Minutes : If she is getting dressed, this means a half an hour. Five...
0 Reactions
42 Replies
3K Views
First law: A boy in love with a girl continues to be in love with her and a girl in love with a boy continues to be in love with him, until and unless any external agent(brother or father of the...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Hivi ni kwa nini wawake wanapenda kutumia MAKEUP ? Na ni faida gani wanapata ? Je kuna kasoro zozote zinazowafanya watumie makeup ? Nasikia wakijipaka makeup wakiamka asubuhi uso unakuwa kama...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Nampenzi wangu amenizidi elimu yeye ni mwanamke ana masters of chemical engineering na mie ni mwanume elimu yang form six... Sasa tunataka kuoana, kwenye ndoa huyu mwanamke hawezi kunisumbua kwa...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Mods, naomba lianzishwe jukwaa maalum kwa ajili ya wanawake, ambapo tutaweza kuyajadili kiunaga ubaga mambo yetu yanayotuhusu na kutukereketa moyoni. Kuna baadhi ya mambo hatuwezi kuyaongea hapa...
0 Reactions
40 Replies
4K Views
It's 10 pm, been hanging out in one of Iringa hot points(first time to visit this town).. a beatiful lady approaches and greets me -she said she resembles me to someone... I said NO.. -she asked...
0 Reactions
15 Replies
1K Views
Habari zenu waheshimiwa mabibi na mabwana Naomba ushauri wa jinsi ya kutatua tatizo langu la mapenzi ambalo mwenyewe linanikera na nahisi mwenzangu anakuwa mnyonge. Ninahisi nawapenda zaidi...
0 Reactions
49 Replies
4K Views
mimi ni clinical officer jioni nakuwa pharmacy nkihudumia wateja wengi ni wadada, for successful conduct ni lazma wateja wawe maswahibwa na washkaji zako,KUNA WAKATI MAONGEZI YANAVUKA MAADILI NA...
0 Reactions
87 Replies
7K Views
Should I confront girl over sex text? 18/01/2011 Dear Coleen, I hope you can give me some advice. I’ve been dating a woman for the past year and I’m completely in love with her but a...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Wadau Kuna jambo linanisumbua kweli wiki hii... I hvae been asking myself juma jumla sana, how to be a good partner?? Nauliza hivi kwa sababu ukisoma humu, ukisikiliza kitaa na hata nyumbani...
0 Reactions
87 Replies
6K Views
Unakuta mkeo anajifungua, ukampeleka kwa daktari (ambaye ni mwanaume)....! daktari huyu anakuamuru umuache mkeo hospitalini under his care for say two weeks....! Kila mara anamtembelea na...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
habari zenu mabibi na mabwana??.... vipi mnashiriki walau mlo milo mitatu kwa wiki na familia zenu? vipi mmeona matokeo mazuri ya hiyo kanuni?..... ahsanteni sana mabibi na mabwana... STRAIGHT...
0 Reactions
114 Replies
8K Views
mie nilikuwa kwenye uchumba ambao umedumu kwa muda wa miaka 2, tulikuwa na plani kiangazi che mwaka huu tungefunga ndoa. ikiwa kafumaniwa na wazazi wake mwenyewe, je mimi nifanye nii?. na...
0 Reactions
28 Replies
3K Views
Tuliza moyo wakooo kubali mapungufu yakooo Rahisisha mahitaji yakooo Ongeza kipato chakoooooooo Chunga tamaa mbaya chunga tamaa mbaya... wekeni verse najua huu wimbo unapendwa sana na wana JF
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Make-up, flirting, bling outfits. But this beauty contest has a twist - the men dress up, the women pick the winners. What does the Wodaabe people's pageant tell us about male beauty? Tembelea...
0 Reactions
0 Replies
783 Views
Back
Top Bottom