MWANAUME mmoja anayekadiriwa kuwa na umri wa miaka kati ya 34-35 alipata aibu ya mwaka baada ya kuadhirika ndani ya daladala kwa kile kilichodaiwa ni matamanio yaliyomshika na kushindwa kujizuia...
A father put his three year old daughter to bed, told her a story listened to her prayer which she ended by saying: "God bless Mommy, God bless Daddy, God bless Grandma, and good-bye Grandpa."...
A man comes to his doctor and tells him that his wife hasn't had sex with him for 6 months. The doctor tells the man to bring his wife in so he can talk to her. So the wife comes into the doctors...
Dear Asprin
Natumai waraka huu utakukuta ukiwa physically fit and chemically balanced. Najua utashangaa sana kwa nini MJ1 ameamua kufikia hatua hii ya kukuanika hapa jamvini, but jua tu kuwa ni...
Nina rafiki yangu huu mwaka wa kumi na sita kaoa ila mkewe wa ndoa bahati mbaya hazai, jamaa yeye hana tatizo. Mkewe kamruhusu baada ya yeye kumwomba azae nje then amchukue kachanga huyo wamlee...
Nilimpeleka mtoto hosp for a check up maana alikuwa na ka-homa kidogo! Wakati nasubiri kuingia kwa daktari nikasikia kelele za kilio toka chumba kingine, mama/dada mmoja akawa analia "nataka mtoto...
Kuna jamaa mpaka rangi kucha na kuuza urembo juzi kafumaniwa mtaani kwetu ndani ya geti nyumbani kwa mtu alikuwa anampaka rangi mke wa mtu halafu anammega. Sasa majirani walishtukia issue...
hi jf
kuna msichana mmoja mrembo sana!ana umbo zuri,kiukweli kaumbika.nimempenda.sasa kazi iko hapa,kumwambia nampenda imekua ishu maana hua tukikutana tunaongea mambo ya kwaida tu.
Mawazo!
Nimegundua kuwa nimependa kusiko,yaani nimepotea njia na kuingia choo cha kiume. Pamoja na maumivu yote ninayoyapata i am still in love with that guy and i really hate it. Nifanyeje ili niweze...
Naona kama natengwa humu JF au wasiwasi wangu tu sijui au ndio inaanza kupooza kama forum nyingine za zamani maana nikiandika topiki haichangamkiwi au tatizo liko kwangu mimi funzadume au jina...
Inaonekana wanafunzi wengi wa vyuo/vyuo vikuu hawaaminiki kuwa na mapenzi ya dhati.hii ni asa kwa wanafunzi walio acha wapenzi wao maskani. mnasemaje nawasikiliza
Baada ya Kazi za siku nzima, Simon akaamua kupitia kwa Bi Mdogo (Nyumba ndogo);
Kwa uchovu na aliyoyapata kwa bi dada huyo yalimfanya kusahau kurudi nyumbani kwake........................Asubuhi...
I'm sorry Dear,
I never meant to hurt you,
I never meant to make you cry,
But tonight i'm cleaning out my closet,
I said....
I'm sorry Dear,
I never meant to hurt you,
I never meant to...
Habari za asubuhi ndugu zanguni wana JF,
Ni matumaini yangu mu wazima wa afya na mnaendelea na pirika za kusukuma gurudumu la maendeleo.
Nina maswali yananiumiza kichwa na ninahitaji sana busara...
Kuna wimbo nausikiliza hapa, huwa naupenda sana ingawa sina hakika umeimbwa na nani na bendi ipi ya zamani. Sijui ni Mbaraka Mwishehe (Ndiye mwanamuziki wa zamani ninayemfahamu)
Una maneno...
Watanzania watumia mamilioni kutafuta watoto Kenya Thursday, 20 January 2011 21:29
JOYCE NOREH AKIWA NA MTOTO ALIYEPATIKANA KWA NJIA YA IVF
Na Florence Majani
Mwananchi
WAKATI wengine...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.