Nipo maeneo ya Same, nimeamua kumpa lift mchaga wa kishimundu anaelekea kwao milimani toka Mombo baada ya bageni ya mda mreefu juu ya nauli, nikaona isiwe tabu, bora nimpe lift tu.
Jamaa ndani...
Jambo dogotu. Unaweza ukavutiwa na demu kwasana na kuamua kumtokea na kumpiga sound hadi polepole akawa anaelekea kibra. Ghafla unazipata za kiintelejesia ya kuwa kumbe ni mama huruma ambaye...
Kama wewe ni mwanamke, tafadhali pokea pongezi na furaha yangu kwa dunia hii kuwa na viumbe adhimu na wa pekee wa aina yenu. Ahimidiwe Mungu aliegundua dunia bila ninyi haikaliki (kama unaamini...
Juzi nilikuwa katika semina fupi ya mambo ya ndoa ,kila mwanamke aliyekuwa akisimama ana-complain mahusiano mabaya ya mmewe na H/G
Mwisho wa mada yetu wakinamama waliokuwepo wakasema wanaamini 95%...
Nilibahatika kupata mchumba hivi karibuni ambaye tulifahamiana muda mrefu tangu kipindi tunasoma sekondari takribani miaka 10 iliyopita. Wakati wote huo alikuwa rafiki yangu wa karibu ambaye...
No relationship is smooth sailing. As much as the love exists, arguments, however petty, are bound to crop up occasionally. What's important, however, is how you deal with them let them simmer...
Napenda kufahamu tatizo linakuwa wapi??
Mnakuwa na mahusiano na mtu mwanamke/mwanaume kabla haMjado ze nidifuli aahhh sms, simu, email nk kwa sana tu lakini mkisha du uwiii mambo yanabadilika...
Salamu kwako PM,
Nakupongeza kwa kutimiza miaka kadhaa, Mungu akubariki, akulinde, na azidi kukutunza.
Nakutakia maisha marefu yenye baraka na mafanikio,
Mungu akujalie uwaone watoto wa...
Nikiwa na huzuni tele kwa kukatariwa ombi langu na LIZZYMIND "Lizzy" sasa nipo kwenye tawi la mti na kamba yangu shingoni tayari kwa kujiua, ila kabla sijajiua nawaomba mkamwambie Lizzy maneno...
Hivi kwa nini ukitoka na demu outing wanapenda kunywa drinks za bei ghali bila hata kujua kama una hela au la. Utakuta anajishebedua eti anataka kunywa cinzano, martin, redbull, amarula. Cha ajabu...
Jamani nakuombeni msaada wenu. Kuna jamaa yangu kaniulizia habari za mabinti wa kipare baada ya kusoma za wasichana wa kichaga. Sasa yeye lengo lake ni kujua tu labda mambo muhimu kama sifa zao...
Kuna msemo unasema ' To love is nothing, to be loved is something, to love and to be loved is everything' Ndio maana nimesema mpende akupendae Mapenzi ni kitu cha muhimu sana katika maisha ili...
When a Girl is quiet ... millions of things are running in her mind
When a Girl is not arguing ... she is thinking deeply.
When a Girl looks at u with eyes full of questions ... she is wondering...
WanaJF naomba nifikishe haka ka kero naamini ujumbe utafikia wengi..
Jamani wanawake wenzangu when it comes to make up naomba tukumbuke usemi wa "Less is more" mambo ya kukandika bila kipimo...
Firstlady1:- anapenda sana siasa,ni mwepesi wa kuelewa na mgumu wa kusadiki. Rose1980:- anapenda sana mambo ya pwani,ni mcheshi na mkarimu sana. Pearl:- ni mtu wa watu,asiependa makuu na mwenye...
WanaJF kusema ukwel nimejarbu kutoa utata kwa wa2 weng ila sasa naona ninashndwa ckatai mwanamke kwenda kusuguliwa miguu na kupakwa rang na Dume na pia ckatai mwanaume kwenda kunyoa nywele na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.